miaka ya 60 wakati tuna uhaba wa wasomi katika taifa letu darasa la saba walikuwa mameneja, maafisa, walimu n,k katika utendaji mbalimbali katika nchi yetuJana nimemsikia waziri wa mambo ya ndani akidai wameita waliofeli katika ajira za mambo ya ndani kwa kuwa wanahitaji watu wa kubeba bunduki mtaani.
ni wazi fikra za wizara hii haziendani na kasi ya ukuaji wa sekita ya elimu katika nchi yetu kwamba nchi yetu imeongeza shule nyingi sana na vyuo vingi sana na tunakoelekea hata boda boda, mama lishe, machinga watakuwa na shahada.
hatuwezi kufanya mabadiliko makubwa katika sekita ya elimu kwa kuhakikisha watu wengi zaidi wanapata fursa za kusoma na kufikia elimu ya juu na tukabaki na dhana za zamani kuwa wasomi wanatakiwa kuwa maafisa wanaokaa maofisini tu na huku fursa za kukaa ofisini kwa wasomi wetu hatuna na wasomi wanabaki nyumbani na tukiamini kazi fulani ni kwa watu wasiosoma.
swala la kupanda vyeo au kujiendeleza litaendana na nafasi zinazopo na siyo kigezo cha ufaulu tu na kujikuta jamii ina wasomi wasio na ajira huku upendeleo ukitolewa kwa wasiosoma.
kadiri tunavyopiga hatua katika sekita ya elimu ndivyo mazingira fulani yanavyobadirika na kutoa kipaumbele kwa wanaojituma katika sekita ya elimu.
Kauli aliyoitoa jana kwamba jeshi la polisi halihitaji watu wenye ufaulu mkubwa kwasababu kazi ya polisi ni kucheza gwaride na kuilinda Benki ni ya udhalilishaji sana.
Mimi wiki kadhaa nyuma niliponea chupuchupu kufa kwa kipigo, baada ya wananchi kujua Mimi ni polisi.
Maumivu hayajaisha bado nakuja kutukanwa na waziri wangu.
Watoto wangu wanajua Mimi nilikuwa nakuwa wa kwanza darasani, na pia wanajua kuwa mtihani wa form 4 nilipata one ya point 7.
Kauli ya waziri imesababisha watoto wangu waniulize maswali magumu ikiwemo kuniomba vyeti vya taaluma ili wapime Kati yangu na waziri nani ni muongo.
Waziri Simbachamwene tuombe radhi ASAP
Tuliza mshono,mkuu,kuna madaraja matatu ya binadamu,Kauli aliyoitoa jana kwamba jeshi la polisi halihitaji watu wenye ufaulu mkubwa kwasababu kazi ya polisi ni kucheza gwaride na kuilinda Benki ni ya udhalilishaji sana.
Mimi wiki kadhaa nyuma niliponea chupuchupu kufa kwa kipigo, baada ya wananchi kujua Mimi ni polisi.
Maumivu hayajaisha bado nakuja kutukanwa na waziri wangu.
Watoto wangu wanajua Mimi nilikuwa nakuwa wa kwanza darasani, na pia wanajua kuwa mtihani wa form 4 nilipata one ya point 7.
Kauli ya waziri imesababisha watoto wangu waniulize maswali magumu ikiwemo kuniomba vyeti vya taaluma ili wapime Kati yangu na waziri nani ni muongo.
Waziri Simbachamwene tuombe radhi ASAP
Kaka, endelea na Kazi..ya in charge muachie in charge mwenzieKauli aliyoitoa jana kwamba jeshi la polisi halihitaji watu wenye ufaulu mkubwa kwasababu kazi ya polisi ni kucheza gwaride na kuilinda Benki ni ya udhalilishaji sana.
Mimi wiki kadhaa nyuma niliponea chupuchupu kufa kwa kipigo, baada ya wananchi kujua Mimi ni polisi.
Maumivu hayajaisha bado nakuja kutukanwa na waziri wangu.
Watoto wangu wanajua Mimi nilikuwa nakuwa wa kwanza darasani, na pia wanajua kuwa mtihani wa form 4 nilipata one ya point 7.
Kauli ya waziri imesababisha watoto wangu waniulize maswali magumu ikiwemo kuniomba vyeti vya taaluma ili wapime Kati yangu na waziri nani ni muongo.
Waziri Simbachamwene tuombe radhi ASAP
Kauli aliyoitoa jana kwamba jeshi la polisi halihitaji watu wenye ufaulu mkubwa kwasababu kazi ya polisi ni kucheza gwaride na kuilinda Benki ni ya udhalilishaji sana.
Mimi wiki kadhaa nyuma niliponea chupuchupu kufa kwa kipigo, baada ya wananchi kujua Mimi ni polisi.
Maumivu hayajaisha bado nakuja kutukanwa na waziri wangu.
Watoto wangu wanajua Mimi nilikuwa nakuwa wa kwanza darasani, na pia wanajua kuwa mtihani wa form 4 nilipata one ya point 7.
Kauli ya waziri imesababisha watoto wangu waniulize maswali magumu ikiwemo kuniomba vyeti vya taaluma ili wapime Kati yangu na waziri nani ni muongo.
Waziri Simbachamwene tuombe radhi ASAP
Mie naona kasema kweli. Kama RPC hajui hata PGO ina muelekeza nini si kweli kwamba polisi mna elimu ndogo?Kauli aliyoitoa jana kwamba jeshi la polisi halihitaji watu wenye ufaulu mkubwa kwasababu kazi ya polisi ni kucheza gwaride na kuilinda Benki ni ya udhalilishaji sana.
Mimi wiki kadhaa nyuma niliponea chupuchupu kufa kwa kipigo, baada ya wananchi kujua Mimi ni polisi.
Maumivu hayajaisha bado nakuja kutukanwa na waziri wangu.
Watoto wangu wanajua Mimi nilikuwa nakuwa wa kwanza darasani, na pia wanajua kuwa mtihani wa form 4 nilipata one ya point 7.
Kauli ya waziri imesababisha watoto wangu waniulize maswali magumu ikiwemo kuniomba vyeti vya taaluma ili wapime Kati yangu na waziri nani ni muongo.
Waziri Simbachamwene tuombe radhi ASAP
Mkuki kwa nguruwe.........Kauli aliyoitoa jana kwamba jeshi la polisi halihitaji watu wenye ufaulu mkubwa kwasababu kazi ya polisi ni kucheza gwaride na kuilinda Benki ni ya udhalilishaji sana.
Mimi wiki kadhaa nyuma niliponea chupuchupu kufa kwa kipigo, baada ya wananchi kujua Mimi ni polisi.
Maumivu hayajaisha bado nakuja kutukanwa na waziri wangu.
Watoto wangu wanajua Mimi nilikuwa nakuwa wa kwanza darasani, na pia wanajua kuwa mtihani wa form 4 nilipata one ya point 7.
Kauli ya waziri imesababisha watoto wangu waniulize maswali magumu ikiwemo kuniomba vyeti vya taaluma ili wapime Kati yangu na waziri nani ni muongo.
Waziri Simbachamwene tuombe radhi ASAP
Jamani tafadhali sana msilaumu Polisi.jeshi la polisi ni chombo kinacho mali na watu.
kuna siku IGP na wakuu wengine wa polisi wanalala mika kuhusu watu kutoripoti matukuo.
visa ambavyo vinafanya watu kuogopa matukio ni kama.
•uvujaji wa siri kati ya mtoa ripoti na mtuhumiwa.
visa hivi ni vingi sana huku mitaani.
•kesi za mauaji
Hili swala ndo hatari kabisa watu wengi ujipata kuwa matatani asilimia kubwa !
wanaotambua !
Polisi ni wasomi sana, hawataki kutumia PGO wanataka watumie Four FigureMie naona kasema kweli. Kama RPC hajui hata PGO ina muelekeza nini si kweli kwamba polisi mna elimu ndogo?
Tukisema vyeti mnavyo tumia ni vya ndugu zenu tuna kosea??
Aiseeee !!Yuko sahihi, hakuna Polisi mwenye kujielewa aliyesoma akaelimika akakubali maagizo ya kuchukua kura fake na kuweka kwenye ballot box, huyu ni mpuuzi kama wapuuzi wanaokuwa wamemtuma tu.
Facts zipo nyingi sana zinazothibitisha kuwa Polisi hawana ajili, sio kweli kuwa kila order ni ya kutekeleza, only in Tanzania.
Umeua 🤣🤣Nampongeza waziri na kumuunga mkono100%
Kwani hamwoni utendaji wa polisi wetu,ni kama watu wasioelimika kabisa kuanzia asiye na cheo mpk Igp. Kitendo cha kubambikia watu kesi ni cha mtu mwenye elimu?
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Hivi wakisema wana mgomo wa siku 2 tu, wewe kagari kako ka mkopo, Simu yako na laptop yako utakatiza nayo tandale kwa mtogole? hako kanyumba kako wakija masela kumi nje kumi ndani utampigia simu nani aje kukuokoa? acheni dharau wakati nyie wakiachiwa wahuni wafanye watakavyo nusu saa tu utajiharishia weweElimu yake inamruhusu kuongea hivyo. Polisi ni zero brain creatures.
Kwa hiyo majeshi yote wanaocheza magwaridi ya heshima mbele ya viongozi ni wajinga?Waziri kasema kweli kabisa na kuna mengine kawasitiri angesema mngemponda mawe-division one haiwezi kwenda kupiga gwaride, kulinda benki, ...