kelvin john
Member
- Oct 15, 2014
- 25
- 14
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafsiri ya kitambi "Uzi wa pamba unaonyonya mafuta ili kibatari kiwake"
Huyu hafai kabisa kuwa askari!Sipati picha huko aliko kama presha haijapandaView attachment 1457628
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa nakuelewa sana "Retired". Ila nimeshangaa kuona unapinga hili. Kuna watumishi wakiwa na vitambi hatuwezi kuhoji wala kushangaa. Lakini kwa Askari kuwa na Kitambi haipendezi hata kidogo na ni ishara ya mtu mvivu na Mzembe. Askari anatakiwa kuwa Mwepesi.Amri ya ajabu! Sijui ujinga huu wanautoa wapi?
Kitambi ni hobby yeye Kama Hana kitambi asionee wivu wenye kitambi.
Askari yeyote hatakiwi kuwa na kitambi, bila kujali Kitengo anachofanyia kaziHatimae vitambi vinawaponza.
Kuna ukweli fulani hapa!!Hilo ni agizo ,linalohitaji kutafsiriwa kwa matendo katika kulitimiza.
Wapo kweli Askari wa aina hiyo katika kila ofisi wakiwa na vitambi huku utendaji wao ukiwa duni kutokana na tumbo kubwa.
Japo wapo wengine wanakitambi lkn wapo vzr kikazi. Hivyo baada ya agizo kinachofuata ni kutambua tambi zembe na tambi ngangari.
Vinginevyo agizo hili likichukuliwa jinsi lilivyo bila kutafakari kwa kina , litakuwa na uonevu maana wengine ni miili ya ugali toka kwa mama zao.
Sijui hao wa GAIRO.