Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Humjui Simbwachawene weweMimi niliona kama Simbachawene anasisitiza hoja za Mpina kwa kuzirudia kwa umakini ila baadae akajifanya kumpamba mama ili asionekane kama kamuunha mkono Mpina.
Ila kwa jicho la tatu Simbachawene kapigilia msumari hoja za mpina
Hoja hujibiwa kwa hoja“Lipo jambo moja lilisemwa na Mpina, ni jambo nzito na ukilichukulia kwa wepesiwepesi unaona amezungumza kitu chepesi lakini mpina amezungumza kitu kizito” na ni lazima tukijibu kama Serikali
Waziri Simbachawene ametaja tuhuma za Luhaga Mpina kama ifuatavyo
- Mpina anasema Ilani na Utekelezaji wa Serikali haviendani.
- Mpina anasema kuna uvunjaji mkubwa wa Sheria bila hatua kuchukuliwa, yaani utawala ambao hauna sheria, No enforcement.
- Mpina anasema Watanzania wanauawa.
- Kuna wizi wa kutisha.
- No Separation of Powers.
- Teuzi za ajira bila ushindani.
- Kuna ufisadi wa kutisha na akitolea mfano wa miradi ya SGR, JNHHP.
- Deni la taifa halieleweki.
- Viongozi hawaheshimia.
Haiwezekani ukaacha kujibu kwasababi yeye ameshaipeleka kwenye Mitandao. ni nchi gani hiyo ambayo ina sifa kama hizi ikbaki stable kama ilivyo nchi yetu? nchi hiyo inaitwa Tanzania ambayo Demokrasia chini ya Uongozi wa Rais Samia iko kwenye viwango kuliko wakati mwingine wowote. Simbachawene ameongeza kuwa vyombo vya habari viko huru, vyama vya siasa viko huru vinafanya kikutano vinavyotaka na kuandamana vinavyotaka, halafu wewe unasema nchi hii imevurugugika.
Anachojaribu kusema Mpina hapa ni kuwa nchi hii kuna a failed State, anataka kusema kuna a weak state, sasa a weak state ina sifa zake. Sasa moja ya sifa ya a weak state ni kuwa mipaka yake haidhibitiki. Sasa katika ukanda huu kuna nchi ambayo mipaka yake inadhibitika kama Tanzania? Nchi haichezewi.
😂🤣Ila kwa jicho la tatu Simbachawene kapigilia msumari hoja za mpina
Ni kama Kigwangala alivyosema CHAWA hawamjibu Kimambi 🐼Mimi niliona kama Simbachawene anasisitiza hoja za Mpina kwa kuzirudia kwa umakini ila baadae akajifanya kumpamba mama ili asionekane kama kamuunha mkono Mpina.
Ila kwa jicho la tatu Simbachawene kapigilia msumari hoja za mpina
Sisi wagonjwa wa moyo kwakweli ni shidaaaa !!Uchunguzi wa nini mtu alikua anatumia pacemaker miaka 10!!
Hamjui VIP? Mbona hakuna hoja iliyojibiwa? Halafu huyu mgogo hamjui kabisa, kujibu hoja.Humjui Simbwachawene wewe
Masahihisho, amemtaja daktari Samia Suluhu HassanHujaona amemtaja Samia hapo?? Ndio amejibu tayari, Hadi unaanza kujiuliza kama alikua amelewa au lah
Kifupi amethibisha hoja ya mpina kwamba tuna watu incompetent kwenye teuziSimbachawene hajajibu hoja yoyote ya Mpina. Kwa kweli ameziorodhesha kama zilivyo na zaidi sana amezikazia kuonyesha kuwa zina mashiko. 🤓
Wacha watafutane.“Lipo jambo moja lilisemwa na Mpina, ni jambo nzito na ukilichukulia kwa wepesiwepesi unaona amezungumza kitu chepesi lakini mpina amezungumza kitu kizito” na ni lazima tukijibu kama Serikali.
Waziri Simbachawene ametaja tuhuma za Luhaga Mpina kama ifuatavyo
View attachment 2969225
- Mpina anasema Ilani na Utekelezaji wa Serikali haviendani.
- Mpina anasema kuna uvunjaji mkubwa wa Sheria bila hatua kuchukuliwa, yaani utawala ambao hauna sheria, No enforcement.
- Mpina anasema Watanzania wanauawa.
- Kuna wizi wa kutisha.
- No Separation of Powers.
- Teuzi za ajira bila ushindani.
- Kuna ufisadi wa kutisha na akitolea mfano wa miradi ya SGR, JNHHP.
- Deni la taifa halieleweki.
- Viongozi hawaheshimia.
Haiwezekani ukaacha kujibu kwasababi yeye ameshaipeleka kwenye Mitandao. ni nchi gani hiyo ambayo ina sifa kama hizi ikbaki stable kama ilivyo nchi yetu? nchi hiyo inaitwa Tanzania ambayo Demokrasia chini ya Uongozi wa Rais Samia iko kwenye viwango kuliko wakati mwingine wowote. Simbachawene ameongeza kuwa vyombo vya habari viko huru, vyama vya siasa viko huru vinafanya kikutano vinavyotaka na kuandamana vinavyotaka, halafu wewe unasema nchi hii imevurugugika.
Anachojaribu kusema Mpina hapa ni kuwa nchi hii kuna a failed State, anataka kusema kuna a weak state, sasa a weak state ina sifa zake. Sasa moja ya sifa ya a weak state ni kuwa mipaka yake haidhibitiki. Sasa katika ukanda huu kuna nchi ambayo mipaka yake inadhibitika kama Tanzania? Nchi haichezewi.
Tusijidharau kiasi hicho, ni dhambi kujidharau, na kama mtu una mambo yako ni vyema ukayazungumza kwa namna nyingine lakini si kwa mambo ya kitaalam kama haya.
Nchi yetu inaheshimika, Rais wetu anaheshimika na ndiyo maana kila anapokwena duniani wanampa shahada ya udaktari, ni heshima wanampa zawadi zote za kubeba wanaona hazifai ndiyo maana wanaamua kumpa za kichwani.
This global appreciation to a woman president haiwezekani ikadharauliwa na sisi wenyewe ndani ya nchi, ni lazima tujenge tabia ya kujiamini, kuheshimiana. Huwezi ukaizungumzia a failed state halafu ukasema unamheshimu Rais anayeiongoza hiyo nchi, hii ni insubordination.
Nchi yetu katika changamoto kubwa duniani, COVID -19 imepiga dunia nzima, nchi inatekeleza miradi mikubwa sana. Kule Meatu kwa Mbunge Luhaga Mpina Serikali imepeleka maendeleo lukuki halafu anasema this is a failed state, hapa nadhani kuna ajenda.
Pia soma
- Luhaga Mpina: Kuundwe Tume ya kuchunguza 'Utata' wa kifo cha Hayati Magufuli
- Luhaga Mpina akamatwe ahojiwe analeta chokochoko, kifo cha Hayati Magufuli hakina utata wowote
- Mpina ataka viongozi wa wizara, mashirika, mikoa na wilaya kupatikana kwa usahili!
- Luhaga Mpina: Teuzi na baadhi ya ajira kutolewa bila kuzingatia ushindani imefanya nchi ipate viongozi dhaifu
Ana PhD za heshima ngapi now? Babu zetu walipewa vipo wakaachia dhahabu na almasi, WA SASA wanapewa PhDMasahihisho, amemtaja daktari Samia Suluhu Hassan
Kasema kila anapoenda wanampa hadi zawadi za kichwaniAna PhD za heshima ngapi now? Babu zetu walipewa vipo wakaachia dhahabu na almasi, WA SASA wanapewa PhD
Na yeye anawapa nini?? CCM Oyeeeee, pigeni makofiKasema kila anapoenda wanampa hadi zawadi za kichwani
Sukuma gang wanaoteseka sana“Lipo jambo moja lilisemwa na Mpina, ni jambo nzito na ukilichukulia kwa wepesiwepesi unaona amezungumza kitu chepesi lakini mpina amezungumza kitu kizito” na ni lazima tukijibu kama Serikali.
Waziri Simbachawene ametaja tuhuma za Luhaga Mpina kama ifuatavyo
View attachment 2969225
- Mpina anasema Ilani na Utekelezaji wa Serikali haviendani.
- Mpina anasema kuna uvunjaji mkubwa wa Sheria bila hatua kuchukuliwa, yaani utawala ambao hauna sheria, No enforcement.
- Mpina anasema Watanzania wanauawa.
- Kuna wizi wa kutisha.
- No Separation of Powers.
- Teuzi za ajira bila ushindani.
- Kuna ufisadi wa kutisha na akitolea mfano wa miradi ya SGR, JNHHP.
- Deni la taifa halieleweki.
- Viongozi hawaheshimia.
Haiwezekani ukaacha kujibu kwasababi yeye ameshaipeleka kwenye Mitandao. ni nchi gani hiyo ambayo ina sifa kama hizi ikbaki stable kama ilivyo nchi yetu? nchi hiyo inaitwa Tanzania ambayo Demokrasia chini ya Uongozi wa Rais Samia iko kwenye viwango kuliko wakati mwingine wowote. Simbachawene ameongeza kuwa vyombo vya habari viko huru, vyama vya siasa viko huru vinafanya kikutano vinavyotaka na kuandamana vinavyotaka, halafu wewe unasema nchi hii imevurugugika.
Anachojaribu kusema Mpina hapa ni kuwa nchi hii kuna a failed State, anataka kusema kuna a weak state, sasa a weak state ina sifa zake. Sasa moja ya sifa ya a weak state ni kuwa mipaka yake haidhibitiki. Sasa katika ukanda huu kuna nchi ambayo mipaka yake inadhibitika kama Tanzania? Nchi haichezewi.
Tusijidharau kiasi hicho, ni dhambi kujidharau, na kama mtu una mambo yako ni vyema ukayazungumza kwa namna nyingine lakini si kwa mambo ya kitaalam kama haya.
Nchi yetu inaheshimika, Rais wetu anaheshimika na ndiyo maana kila anapokwena duniani wanampa shahada ya udaktari, ni heshima wanampa zawadi zote za kubeba wanaona hazifai ndiyo maana wanaamua kumpa za kichwani.
This global appreciation to a woman president haiwezekani ikadharauliwa na sisi wenyewe ndani ya nchi, ni lazima tujenge tabia ya kujiamini, kuheshimiana. Huwezi ukaizungumzia a failed state halafu ukasema unamheshimu Rais anayeiongoza hiyo nchi, hii ni insubordination.
Nchi yetu katika changamoto kubwa duniani, COVID -19 imepiga dunia nzima, nchi inatekeleza miradi mikubwa sana. Kule Meatu kwa Mbunge Luhaga Mpina Serikali imepeleka maendeleo lukuki halafu anasema this is a failed state, hapa nadhani kuna ajenda.
Pia soma
- Luhaga Mpina: Kuundwe Tume ya kuchunguza 'Utata' wa kifo cha Hayati Magufuli
- Luhaga Mpina akamatwe ahojiwe analeta chokochoko, kifo cha Hayati Magufuli hakina utata wowote
- Mpina ataka viongozi wa wizara, mashirika, mikoa na wilaya kupatikana kwa usahili!
- Luhaga Mpina: Teuzi na baadhi ya ajira kutolewa bila kuzingatia ushindani imefanya nchi ipate viongozi dhaifu
Brother huyu mbunge yupo jikoni kabisa pengine kuna Siri anaijuaUchunguzi wa nini mtu alikua anatumia pacemaker miaka 10!!
Kila anaetumia dozi kifo chake hakipaswi kuchunguzwa ?Uchunguzi wa nini mtu alikua anatumia pacemaker miaka 10!!
ccmu mmebakiwa na ukabila ndo mtaji wenu , hamuez jibu hoja za watu , Mambo aliyofanya Jpm hata ww unanufaika ila ukabila na ujinga unakusumbua , siku ukiviondoa hivyo ndo utahundua namna unafeliSukuma gang wanaoteseka sana
huo udaktari kauokota wap ? hana fumbuz wala jambo kalifanya kiubora zaid ya watanguliz , zaid anashindwa kusimamia mali za nchi badala yake anazigawa kwa wageni kwa mikataba mibovu kbsMasahihisho, amemtaja daktari Samia Suluhu Hassan