Waziri Simbachawene: Huenda Mpina ana ajenda. Uongozi wa Rais Samia uko kwenye viwango kuliko wakati mwingine wowote

ccmu mmebakiwa na ukabila ndo mtaji wenu , hamuez jibu hoja za watu , Mambo aliyofanya Jpm hata ww unanufaika ila ukabila na ujinga unakusumbua , siku ukiviondoa hivyo ndo utahundua namna unafeli
Sukuma gang sio ukabila ni Itikadi japo memba wake wengi ni wasukuma.
 
Brother huyu mbunge yupo jikoni kabisa pengine kuna Siri anaijua
Jiko lipi? JPM alikwisha mtosa uwaziri ile 2021 so hakuna kitu anajua. Mind you kipindi Lissu anadai JPM ameparalyse huyu Mpina alikua anapinga na kuita uzushi. Eti leo ndio anajua sijui yupo jikoni? Hana lolote anataka attention tu apewe uwaziri
 
Kila anaetumia dozi kifo chake hakipaswi kuchunguzwa ?
Uchunguze nini wakati kifo kipo wazi? Angekua anaumwa ila kafa kwa ajali au Figo tungehoji ila aliumwa moyo na kafariki kwa moyo sasa unachunguza nini?

Nyie kipindi wapinzani wanapiga kelele JPM yuko wapi mngeungana nao, sasa mliwaita wazushi baada ya Rais kufariki ndio mnataka uchunguzi? Uchunguzi kwa kitu mlichoita uzushi?
 
Uchunguzi wa nini mtu alikua anatumia pacemaker miaka 10!!
Kwani anaye tumia pacemaker hawezi kuuwawa?
Maalim Seif naye alikuwa anatumia pacemaker?
Vipi kuhusu vifo vya ghafla vya watu wa karibu na Magufuli; Engineer Mfugale na John Kijazi!
Ngoma bado mbichi,CDF Mabeyo kaonesha wazi kuwa kwenye vyombo vya usalama jambo la Rais kufa kienyeji halijakaa sawa!!
 
Haya sasa mnaanza kuwashindanisha menyewe kwa menyewe! Samia kumzidi Nyerere kwa uongozi si jambo dogo.
 
Aache kutudanganya huyo Cha wene kuwa Tanzania inaheshimika Kwa lipi?ukiend huko ulay Kila mtu anasema the worse country ni the world is Tanzania.kutunukiw cheti siyo sifa ni ujuha.yaani wamekuona wakikupa kikaratasi utafurahi ili wao wachukue kukubwa zaidi.nchi kama china ambayo imefanya maendeleo makubwa Kwa watu wake lakini huwezi kusikia upuuzi eti ametunukiwa PhD uchwara.
 
Waanze basi kufanya uchunguzi wa kifo cha mwendazake
Washaanza kujinyea. Walitegemea watafanya siasa zao za kuzima ma uozo yanayoendelea ndani ya Utawala huu.

Walikuwa wapi wakati Hayat anatukanwa hapa? Walikuwa wapi wakati Mama Janeth Magufuli anazodolewa hapa, tena wakati akiwa katika majonzi makubwa ya kufiwa na Baba wa watoto zake?

Yaani wanataka kusema kulikuwa hakuna umuhimu wa Kukanusha au Kukubali madai ya hovyo kabisa kutokea katika Nchi hii?

Kwani kuna tofauti gani Mbowe na Tundu Lissu huwa wanasema na ambacho Luhaga Mpina kasema? Huwa Waziri anatoka?

Yote haya kwasababu wanajua Dunia nzima inatakanl kujua Ukweli kuhusu utata uliouzunguka kifo cha Hayat Rais.

Hatahivyo sidhani kama Yeye Waziri ana nafasi ama anatakiwa ayajibu haya kwani ana uhusiano wa karibu na Rais? There is a Conflict of Interest. He is Biased
 
Mpina naona unataka kunyanganywa jimbo ,si bora ujilipue kama Lyatonga Mrema alivyokimbilia upinzani NCR Mageuzi.
CCM hawasahau na ukiona wamekupa kalipio kibunge na si kupitia chief whip ujue your days as CCM MP are numberd.
 
Angalau angejibu hoja Moja tu, kuhusu uchunguzi wa utata wa kifo Cha magu badala yake anasifu na kuabudu! Dah ndiyo mawaziri wetu Hawa yaani namna anavyoteleza kwenye kujibu hoja kama kambale
 
Kwani kuchunguza bei gani ?Walisema chunguzeni ya Lissu na sanane mkataa simply si wenzenu sasa chunguzeni kifo cha kipenzi cha wanyonge Magu napo hamtaki!
 
Mpina kaonggea point simba chawene kajibu takataka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…