CreativityCode
Senior Member
- Aug 8, 2020
- 158
- 653
Unataka akamatwe wewe?Sina mengi,
Rose Muhando akihojiwa na wasafi TV alitoa tuhuma nzito kwa jeshi la polisi na serikali kushirikiana na watu waliomtesa na kumnyanyasa kiasi cha kukosa pa kushitaki lakini cha ajabu Simbachawene unajifanya hujaona mateso ya huyu dada...
Mbona na Lissu anatafutwa na polisi awaeleze waliompiga risasi ni akina nani.Unataka akamatwe wewe??
Tanzania mtendewa akilalamikia jeshi la Polisi anakamatwa yeye kama Mwingira.
Kwa Serikali ipi?Aisee!
Mungu hamtupi mja wake!
Ni wakati muafaka watesi wa Rose na washirika wake wachukuliwe hatua stahiki.
Huyo mwimbaji wa Injili aliyeshindwa kumsaidia Rose afahamike,kusudi hata kazi zake zisusiwe iwe fundisho kwa wengine.
Pole sana Rose "Your sun will never set"
Wao polisi ndio walimpigaMbona na Lissu anatafutwa na polisi awaeleze waliompiga risasi ni akina nani.
Rest well Hamza. Mungu akulipe vema kwa kuyashughulikia magaidiWao polisi ndio walimpiga
Wanmtafuta wamuweke ndani
Sasa hao watesi watajulikanaje bila huyo mwingila kuhojiwa ili awataje?Sina mengi,
Rose Muhando akihojiwa na wasafi TV alitoa tuhuma nzito kwa jeshi la polisi na serikali kushirikiana na watu waliomtesa na kumnyanyasa kiasi cha kukosa pa kushitaki lakini cha ajabu Simbachawene unajifanya hujaona mateso ya huyu dada...
Sina mengi,
Rose Muhando akihojiwa na wasafi TV alitoa tuhuma nzito kwa jeshi la polisi na serikali kushirikiana na watu waliomtesa na kumnyanyasa kiasi cha kukosa pa kushitaki lakini cha ajabu Simbachawene unajifanya hujaona mateso ya huyu dada.
hii ndo tanzaniaMbona na Lissu anatafutwa na polisi awaeleze waliompiga risasi ni akina nani.
Nakumbuka hata Marha Mwaipaja alimnanga sana Rose Mhando wakati anayapitia yale mapito.Sina mengi,
Rose Muhando akihojiwa na wasafi TV alitoa tuhuma nzito kwa jeshi la polisi na serikali kushirikiana na watu waliomtesa na kumnyanyasa kiasi cha kukosa pa kushitaki lakini cha ajabu Simbachawene unajifanya hujaona mateso ya huyu dada.
Ni lazima haki itendeke kwa Rose Muhando na watesi wake wote na watu walioko serikalini na jeshi la polisi waliowalinda watesi wakamatwe na kufikishwa mbele ya sheria.
Usijifanye hujayaona mahojiano, nakuwekea hapa.
Mungu awabariki!