Waziri Simbachawene, usijifanye hujaona mahojiano ya Rose Muhando akilituhumu jeshi la polisi na serikali. Mtendeeni haki, washughulikieni watesi wake

Watu wengi wamepitia mateso makubwa na unyanyasaji sn.Kama watu maarufu ni hivi vipi kwa raia wa kawaida?

Inasikitisha sn
 
Simbachawene asijifanye hajui ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…