Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sophia Fisi ala, Simba alisema "....Kikwete kaniambia nigombee.......". Kumbe kweli.
...hivi jumuiya kama hizi zina faida gani kwa nchi? kwanini wasijiite jumuiya ya wanawake wa CCM kuliko Tanzania,zinaonekana ni jumuiya za kukuza mafisadi tuu
Mkuu,- Mkuu check vizuri dataz zako Sophia, amesoma pale kwa muda mrefu sana in and out for many years mpaka kumaliza.
Wakinababa tuanzishe umoja wetu. Mtu akionga kwenye uchaguzi ni ngumi tu.
VYAMA vyenu mbona vipo.Na hivyo tena mna kipindi cha TV longa akina baba kitawasaidia kutoa madukuduku yenu.
Kama Mwanamke, unasema nini kuhusu chaguo la SS? Je linaweza kusaidia katika kusukuma gurudumu la maendeleo kwa akina mama asa wa vijijini?
..nakumbuka kusoma mahala kwamba Sophia Simba alianza na Certificate of Law. baadaye tena akarejea UDSM kusomea LLB.
..pia ana Post Graduate Diploma ya masuala ya sheria za kina mama toka Univ of Zimbabwe.
Yaani,
Pesa iliyomwaga Dodoma ni kufuru,I was talking na Mhariri mmoja wa gazeti la kila siku hapo bongo nimeshtushwa sana na pesa waliyokuwa wakiwapa watu.
....
Tatizo langu ni kwenye multi-tasking.Majukumu yake sasa ni mengi mno - ana constituencies kadhaa za kuridhisha.Awe waziri mahiri, mbunge mahiri na mwenyekiti mahiri..sijui kama inawezekana.Angemudu sana katika role/function mojawapo.
SS sina tatizo naye katika uwezo wa kutenda kama mwenyekiti na kuwafikia kwenye grassroots.After all kwenye jumuiya ya wanawake si mgeni sana..she has been there long enuf. Tatizo langu ni kwenye multi-tasking.Majukumu yake sasa ni mengi mno - ana constituencies kadhaa za kuridhisha.Awe waziri mahiri, mbunge mahiri na mwenyekiti mahiri..sijui kama inawezekana.Angemudu sana katika role/function mojawapo.Tukumbuke she is a self- made career woman cum politician, rising from humble beginings as secretary to top echelons as a minister.Huenda angefaa sana kuwa a mentor au role model kwa wanawake wengine wenye kutamani kufika juu.Haya ni mafanikio makubwa na anastahili pongezi.
Angemudu sana katika role/function mojawapo.Tukumbuke she is a self- made career woman cum politician, rising from humble beginings as secretary to top echelons as a minister.Huenda angefaa sana kuwa a mentor au role model kwa wanawake wengine wenye kutamani kufika juu.Haya ni mafanikio makubwa na anastahili pongezi.