Waziri Sophia Simba - Mwenyekiti Mpya UW-CCM (Taifa)

Waziri Sophia Simba - Mwenyekiti Mpya UW-CCM (Taifa)

Aliyewapa kazi hao wote watatu ndio jibu sahihi!!!
 
Sophia Fisi ala, Simba alisema "....Kikwete kaniambia nigombee.......". Kumbe kweli.
 
...hivi jumuiya kama hizi zina faida gani kwa nchi? kwanini wasijiite jumuiya ya wanawake wa CCM kuliko Tanzania,zinaonekana ni jumuiya za kukuza mafisadi tuu

Kweli its high time jina libadilishwe.UWT to UWCCM. Mimi sijui wanafanya kitu gani. Mbona wanaume hawana umoja wao???
 
Ni kweli Sophia atakuwa alitumwa na mkuu, ndiyo maana katumia njia ileile aliyoitumia mkuu kuingia ikulu "RUSHWA"
 
- Mkuu check vizuri dataz zako Sophia, amesoma pale kwa muda mrefu sana in and out for many years mpaka kumaliza.
Mkuu,
Sophia kaingia Uni as a mature entrant 1985/86 na hakurudia mwaka wala miaka.Kamaliza within 3 years kama ambavyo programme ya LLB ilikuwa wakati ule.
 
woman-of-substance,

..nakumbuka kusoma mahala kwamba Sophia Simba alianza na Certificate of Law. baadaye tena akarejea UDSM kusomea LLB.

..pia ana Post Graduate Diploma ya masuala ya sheria za kina mama toka Univ of Zimbabwe.

NB:

..ila jamani huko CCM kunatisha na haya masuala ya rushwa.

..wagombea wanatumia pesa nyingi sana kwenye uchaguzi kuliko kwenye masuala ya maendeleo.

..badala ya kutumia 50 milion kuhonga kwenye uchaguzi, wahusika wangezitumia pesa hizo ku-sponsor miradi ya maendeleo.
 
Wakinababa tuanzishe umoja wetu. Mtu akionga kwenye uchaguzi ni ngumi tu.
 
VYAMA vyenu mbona vipo.Na hivyo tena mna kipindi cha TV longa akina baba kitawasaidia kutoa madukuduku yenu.

Kama Mwanamke, unasema nini kuhusu chaguo la SS? Je linaweza kusaidia katika kusukuma gurudumu la maendeleo kwa akina mama asa wa vijijini?
 
Kama Mwanamke, unasema nini kuhusu chaguo la SS? Je linaweza kusaidia katika kusukuma gurudumu la maendeleo kwa akina mama asa wa vijijini?

SS sina tatizo naye katika uwezo wa kutenda kama mwenyekiti na kuwafikia kwenye grassroots.After all kwenye jumuiya ya wanawake si mgeni sana..she has been there long enuf. Tatizo langu ni kwenye multi-tasking.Majukumu yake sasa ni mengi mno - ana constituencies kadhaa za kuridhisha.Awe waziri mahiri, mbunge mahiri na mwenyekiti mahiri..sijui kama inawezekana.Angemudu sana katika role/function mojawapo.Tukumbuke she is a self- made career woman cum politician, rising from humble beginings as secretary to top echelons as a minister.Huenda angefaa sana kuwa a mentor au role model kwa wanawake wengine wenye kutamani kufika juu.Haya ni mafanikio makubwa na anastahili pongezi.
 
Viongozi wote wa ccm ni wanafiki na wanatoa na kupokea rushwa.
 
..nakumbuka kusoma mahala kwamba Sophia Simba alianza na Certificate of Law. baadaye tena akarejea UDSM kusomea LLB.

..pia ana Post Graduate Diploma ya masuala ya sheria za kina mama toka Univ of Zimbabwe.

- Sawa sawa mkuu, infact hata Kitwana Kondo walikutania huko huko Mlimani wakiwa na mkulu wa kaya.

- Marekebisho mkuu, zimetumika shilingi Billioni mbili kushinda huu uchaguzi wa uwt tu, sasa wa rais 2010 sijui itakuwaje?
 
Yaani,

Pesa iliyomwaga Dodoma ni kufuru,I was talking na Mhariri mmoja wa gazeti la kila siku hapo bongo nimeshtushwa sana na pesa waliyokuwa wakiwapa watu.

....

...inasikitisha RUSHWA inapofumbiwa macho kwa kisingizio cha takrima tu ya uchaguzi.
 
Tatizo langu ni kwenye multi-tasking.Majukumu yake sasa ni mengi mno - ana constituencies kadhaa za kuridhisha.Awe waziri mahiri, mbunge mahiri na mwenyekiti mahiri..sijui kama inawezekana.Angemudu sana katika role/function mojawapo.

Bado kazi ya umama au ubibi inamsubiri.

Hivi ndio kusema katika wanawake wote sisiemu yeye SS ndio alikuwa/alionekana the best candidate?

Kwa nini asikubali kuwaachia wengine na yeye a-focus kwenye majukumu mengine mazito ya ubunge na uwaziri. Alishinikizwa au ndio uchu wa madaraka na kwamba hajali ufanisi katika majukumu yake?
 
Janet Kaham alitumia close to 2 million USD na akashindwa kwa sababu ya ujinga wake wa kutaka kufuata sheria kichwa kichwa

Sasa pamoja na dhiki tuliyonayo hapa nyumbani ukweli ni kuwa TIDO (mdini) MHANDO keshapewa milioni 6 ili TBC kuonyesha jinsi Sophia Simba atakavyofanya pati la NGUVU la ushindi

Binafsi ningenyamaza lakini hii inaudhi wakati tunajua kuwa hizo pesa zingetumika kufanya mengi ya maana. Zaidi ya hayo pamoja na JANET kutoa hotuma ya kukubali kushindwa iliyojaaa uozo surely Sophia angeonyesha polital maturity kwa kuwa humble na kuwa kiunganishi baada ya balaa lakini wapi....


Kwa sie tunaojua alama za nyakati kila mtu anajua kuwa nguvu za kuteua watawala hazitokuwa tena kule wa central committee sasa whats the point ya kuwaste ma milioni yote haya wakati tunajua kuwa bunge linazidi kuwa na nguvu zaidi? bila kusahau jinsi serikali za liberal democracy zinavyoshika hatamu kila kukicha

I mean whats the point of this party wakti hata JK mwenyewe hakufanya pati ambalo hawa UWT wanataka kuifanya?

I dont care lakini nimeona bora niwa pre empt kusudi hii party isifanyike na pesa zitumike kwenye ya maana


 
SS sina tatizo naye katika uwezo wa kutenda kama mwenyekiti na kuwafikia kwenye grassroots.After all kwenye jumuiya ya wanawake si mgeni sana..she has been there long enuf. Tatizo langu ni kwenye multi-tasking.Majukumu yake sasa ni mengi mno - ana constituencies kadhaa za kuridhisha.Awe waziri mahiri, mbunge mahiri na mwenyekiti mahiri..sijui kama inawezekana.Angemudu sana katika role/function mojawapo.Tukumbuke she is a self- made career woman cum politician, rising from humble beginings as secretary to top echelons as a minister.Huenda angefaa sana kuwa a mentor au role model kwa wanawake wengine wenye kutamani kufika juu.Haya ni mafanikio makubwa na anastahili pongezi.


Thatha na wewe utaingia lini huko kwenye siasa uwe role model?
 
Angemudu sana katika role/function mojawapo.Tukumbuke she is a self- made career woman cum politician, rising from humble beginings as secretary to top echelons as a minister.Huenda angefaa sana kuwa a mentor au role model kwa wanawake wengine wenye kutamani kufika juu.Haya ni mafanikio makubwa na anastahili pongezi.

- Kutoka Secretary wa ofisi, kuwa girlfriend wa influencial politician, mbunge wa viti maalum, kugombea viti maalum na kukosa, kugombea viti vya mkoa na kutoswa pia, kujaribu kwa wananchi na kunyimwa pia, the next thing mbunge wa kuteuliwa na rais, na uwaziri juu wa kina mama na watoto, next waziri wa katika ofisi ya rais (Usalama na Takukuru) na sasa mwenyekiti UWT,

- Waziri ofisi ya rais utawala bora, mbunge wa kuteuliwa na rais, na mwenyekiti wa UWT vyeo vote hivi mama mmoja tu katika taifa lenye wananchi millioni 40! Kwakweli huyu ni role model!

Na ni only in Tanzania tu!
 
Heshima mbele wakuu,issue hapa ni kuwa jk anajipanga kwenye nec aweze kupata nguvu upya maana el ana nguvu saana huku nec na hata mkutano mkuu,jk ili arudi tena bila kupingwa lazima nae apange safu yake watu karibu kama beno,ss,na mzanzibari uvccm.....bado wajumbe wa nec na mkutano mkuu lazima ajue jinsi gani kumsaidia kipindi kijacho....ila angalau ana silaha msaada ufisadi na hatua ........mtu wake wa fitna abdulaziz naona kama anapoteza umaarufu yuko tanga huko ni mbali......angaalie ushawishi wake ukiisha hana bao kwa best yk jk.....
 
Back
Top Bottom