Coach Slamah Hamad
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 3,740
- 4,938
Vipindi viwili kama ES wa SADC halafu unaishia kwenye kuwanafiki watu kwamba unawajali upate ubunge km njia ya kujikimu, hao wanaopendekeza watu wa aina hii kwenye nafasi za taasisi nje ya nchi wana matatizo makubwa! huwezi kukaa SADC miaka 8 ukakosa jambo zuri la kuifaa nchi kukuza uchumi..
Ukiona mtu wa aina hii, huhitaji kuuliza kama elimu na uzoefu vimesaidia kumbadilisha mtazamo kugoka kuwa tegemezi na kuwa wa kutegemewa..akili, maarifa, ujasiri, uvumilivu nk..nchi hii ina safari ndefu!
Ukiwaangalia wateuliwa na wateuaji kwa umakini sana, utaona picha ya madalali kazini.