Halafu the way anavyoandika sio yule Jokakuu anaekuaga na critical thinking kwenye some issues humu... anasifia PhD ya Japan hahaha, anakua kipofu zaidi na kusema ni msomi pekee aliyepita wizara ya ulinzi unamuuliza akina Prof Kapuya na Prof Sarungi walikua la 7 B?
Halafu humu watu hatuandiki tu kujifurahisha tuna info za kutosha. Mi sikutaka kuandika uliyoandika ili kumlindia heshima yake.
..PhD toka Japan kwasababu ingekuwa ya hapa Tz watu wangesema ni ya upendeleo.
..mtu hawezi kupita CBE, Udsm, Japan, bila kuwa na uwezo fulani, kujituma, na ambition.