Coach Slamah Hamad
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 3,740
- 4,938
Vipindi viwili kama ES wa SADC halafu unaishia kwenye kuwanafiki watu kwamba unawajali upate ubunge km njia ya kujikimu, hao wanaopendekeza watu wa aina hii kwenye nafasi za taasisi nje ya nchi wana matatizo makubwa! huwezi kukaa SADC miaka 8 ukakosa jambo zuri la kuifaa nchi kukuza uchumi..
Ukiona mtu wa aina hii, huhitaji kuuliza kama elimu na uzoefu vimesaidia kumbadilisha mtazamo kugoka kuwa tegemezi na kuwa wa kutegemewa..akili, maarifa, ujasiri, uvumilivu nk..nchi hii ina safari ndefu!
Namfahamu huyu mama tangu akiwa mwalimu hadi kuwa katibu mkuu wizara fulani kisha SADC!! Siongei kwa kukisia huyu mama bila JK asingefika hapo alipo!! Huyu mama kuna kipindi akiwa MFA alichoka kabisa mwisho wa siku akamuomba Samia amrudishe ulinzi kusiko na heka heka....
Kipindi TZ inatakiwa kutoa katimku mkuu wa SADC kulikua na vichwa wengi tu waliopendekezwa akapelekwa huyu mama na kulidorora sana huko SADC!
Hiyo kumhukumu labda umemhukumu wewe mi nimetoa tu wasifu wake....
Bottom line: Kwanini siku hizi hatumii tena jina la Bamwenda?
Mh.Boniventura Destery Kiswaga (CCM)Kuna jamaa anaitwa Kiswaga, kasimika mizizi kumng'oa labda kwa greda
Asili yake kabisa,Huko ndo kwao.
Baba yake ni chotara wa kigiriki na usukuma na mama yake ni msukuma.Asili yake kabisa,