Waziri Thabit Kombo: Migogoro yetu inasababishwa na nguvu za nje

Waziri Thabit Kombo: Migogoro yetu inasababishwa na nguvu za nje

Nyie watu na Samia wenu wapumbavu kweli...

Yaani mkakubali kuchochewa na watu wa mataifa ya nje...

Kisha mkaweka akili na ufahamu wetu pembeni...

Na kisha mkaamua kufungua maghala ya silaha (bunduki) na kisha kuamua kuzitumia kuulia ndugu zenu maelfu kwa maelfu...????

Ndugu Thabiti Kombo are really OK upastairs talking about these nonsense..???
 
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb) akizungumza katika Mkutano na Vyombo vya Habari kuhusu ziara ya kikazi ya Rais Dkt.Samia, Addis Ababa Nchini Ethiopia.
Kweli hii ni State Capture ya nchi yetu, watu kama hawa wameingiaje?
CCM acheni tuchague viongozi wanaofaa, merit, hawa mnaochaguana huko vichochori kwa upambe mtasababisha hii nchi iwe sub-standard!
Wakati wa Nyerere tulikua masikini lakini ile standard ilikuwepo, mkaja nyie mkaanza kunywa chai na wahindi ikulu. Sasa tumefikia hapa hatuna standard!

Yaani hii chi kurudia Hali yake ya standard ile haitakuja. Literacy from 97% to 60% now.
Unemployment almost 0 to now more than 60%.
Single mothers almost 60% now
Polygamy 90%

Shit
 
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb) akizungumza katika Mkutano na Vyombo vya Habari kuhusu ziara ya kikazi ya Rais Dkt.Samia, Addis Ababa Nchini Ethiopia.
Thabiti acha kujitoa ufahamu, refusing to accept the reality is worsening the bad situation the country is currently facing. Kila mwenye akili timamu anafahamu exactly what's cooking, wewe Thabiti you're either stupid and unfit for the position(though illegally) you're holding or you're just pretending to be a senseless fool.
 
Thabiti acha kujitoa ufahamu, refusing to accept the reality is worsening the bad situation the country is currently facing. Kila mwenye akili timamu anafahamu exactly what's cooking, wewe Thabiti you're either stupid and unfit for the position(though illegally) you're holding or you're just pretending to be a senseless fool.
Mrembo! Kumbe na wewe unafuatilia masuala ya Siasa?
 
Hivi kumbe , Soka , Mdude, Mzee Kibao, Dioniz Kipanya , Polepole, Kaswahili, Daniel Chonchorio, Jacob Mlay na wengine walitekwa na NCHI ZA NJE kama anavyodai Makombo?

Mbona katika matukio yote hayo hatujasikia tukio hata moja la utekaji Zanzibar ?

Kwamba hizo nchi zimeacha kwenda kwenye eneo lenye watu milioni 2 zimeingia kuteka watu kwenye eneo lenye watu milioni 70 +

Na bado wameenda mbali zaidi na kuua watanganyika 10000.

Ni muda sasa watanganyika kuamka kwa shari sio tena kwa upole wala kwa kuomba hizi dharau zimepitiliza.
 
Tuna watu wenye uwendawazimu wa ajabu!! Hao watu wa nje wamefanya nini? Watu wa nje ndio wanaowateka Watanganyika na kuwaua? Watu wa nje ndio walioua watanganyika kwa maelfu? Watu wa nje ndio wanaoandaa chaguzi bandia?

Kauli kama hizi sijui ni kulosa akili au ni kuwafharau Watanganyika!! Really hopeless!
 
Comrade kombo!

Hamkuzichanga karata zenu vizuri wakati mnashika dola!

Kwani we hujui tuna uhuru was bendera tu!!?

Kwani hujui huko mlipoegemea ni maadui dhidi ya wahisani wetu!!?

Mliwezaje kuegemea huko kama hayo yote mliyajua!!?

"Taarifa zinatoka juu kurudi chino" kutoka ICC,BBC,CNN,,Bunge la muungano la ulaya,Bunge la marekani n.k!!?

Inamaana nilipowaandikia mwaka 2024 kwamba "uchaguzi wa 2025 October no vita ya kijasusi kati ya mashirika ya kijasusi ya Uingereza,America dhidi ya waarabu,wachina and co" hukusoma huo uzi!!?

Nyie mlianza kuhangaika na Lisu na chadema !kumbe walikua wanacheza script moja na wanaccm wanaofuata maelekezo toka juu kurudi chini!!

KAZI na utu,hebu tusonge mbele!
 
In Africa, always blame your problems to someone Else. Africa what have they done to the Somalia issue?

They are blaming Israel for recognizing Somaliland, yet they don't blame Turkey, UAE, Sudan for ongoing violence and war in Somalia, Libya and Sudan.

Mtu anayebisha Waafrika hawakutokana na Nyani afanye reference kwa Waafrika.

Samia ameua na kuiba uchaguzi 2025 bado anasema migogoro inatoka nje ya nchi, Tundu Lissu anashikiliwa hapo Ukonga, Polepole alipotea hapa hapa Dar es salaam, wageni wanaingiaje?
 
Samia na kund lake, wanatumia nguvu kubwa sana kuongoza hii nchi, wanatumia kila mbinu.
 
Back
Top Bottom