loose Nut
JF-Expert Member
- Dec 6, 2025
- 2,887
- 6,657
SAYNGAYMrembo! Kumbe na wewe unafuatilia masuala ya Siasa?
SAYNGAYMrembo! Kumbe na wewe unafuatilia masuala ya Siasa?
Maana yake Thabit Kombo aulizwe hiyo paper ya PhD alipublish wapi tuisome? Likely fake kama Dr. UshungiLugha gani hii???😂😂😂😂
Hawa watu kote wameharibu. Matokeo yake wamekataliwa ndani na nje ya nchi. Wamechanganyikiwa hawajui lipi liwatoke vinywani mwao.Nyie watu na Samia wenu wapumbavu kweli...
Yaani mkakubali kuchochewa na watu wa mataifa ya nje...
Kisha mkaweka akili na ufahamu wetu pembeni...
Na kisha mkaamua kufungua maghala ya silaha (bunduki) na kisha kuamua kuzitumia kuulia ndugu zenu maelfu kwa maelfu...????
Ndugu Thabiti Kombo are really OK upastairs talking about these nonsense..???
Uongooo.. mkubwa! Migogoro yetu inasababishwa na watawala kung'ang'ania madaraka kwa nguvu,hadi imefikia kubaki madarakani kwa gharama za damu za watu. Pia vitisho,kutekwa,kubambikiwa kesi wananchi. Tabaka wa watawala na familia zao kuishi peponi huku wananchi tukiteseka na maisha magumu,kwa ukosa huduma muhimu,na hata ikipatikana ni Kwa gharama kubwa. Ukosefu wa maji,matibabu,watu kuishi kwa mlo mmoja na wengi kukosa hata huo mlo mmoja Kwa siku. Huku tukishuhudia serikali na watawala wakitudharau kwa kauli za dhihaka,uongo mwingi kama vile wananchi hatuna akili.Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb) akizungumza katika Mkutano na Vyombo vya Habari kuhusu ziara ya kikazi ya Rais Dkt.Samia, Addis Ababa Nchini Ethiopia.
😅😅Lugha gani hii???😂😂😂😂
Hilo bwege halijazomewa kwa hio u3e@nge aliokuwa anaongea?Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb) akizungumza katika Mkutano na Vyombo vya Habari kuhusu ziara ya kikazi ya Rais Dkt.Samia, Addis Ababa Nchini Ethiopia.
Samahani mkuu unaweza weka link ya huo uzi.Inamaana nilipowaandikia mwaka 2024 kwamba "uchaguzi wa 2025 October no vita ya kijasusi kati ya mashirika ya kijasusi ya Uingereza,America dhidi ya waarabu,wachina and co" hukusoma huo uzi!!?
1.Nguv za nje ziliiba kura?Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb) akizungumza katika Mkutano na Vyombo vya Habari kuhusu ziara ya kikazi ya Rais Dkt.Samia, Addis Ababa Nchini Ethiopia.
Nimeufufua Uzi huko!!Samahani mkuu unaweza weka link ya huo uzi.
Sawa mkuuNimeufufua Uzi huko!!
Can this sonofabitch just shut up? In most cases, repressive governments are 100% responsible for this mess!Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb) akizungumza katika Mkutano na Vyombo vya Habari kuhusu ziara ya kikazi ya Rais Dkt.Samia, Addis Ababa Nchini Ethiopia.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb) akizungumza katika Mkutano na Vyombo vya Habari kuhusu ziara ya kikazi ya Rais Dkt.Samia, Addis Ababa Nchini Ethiopia.
Setup ya muungano ni ya ovyo kabisa, angalia kwa sasa viongozi wote wawili ambao ndio top Tanzania ni wazanzibari, Samia na Mwinyi. Muungano kisaikolojia kwa Wananchi wa pande zote umejenga kuchukiana, hata kama viongozi wanajitahidi kuficha hali hiyo. Maranyingi watu wa upande moja huwa hawamkubali Rais kutokea upande mwingine. Rais akiwa toka bara wanzibari hawatulii na akitokea zenji bara hawatulii. Angalia mauwaji ya 2001 kule Pemba wakati wa Mkapa, vurugu za mashehe unguja na mateso aliyokuwa anapitia maalimu Seif na wanachama wake wakati wa Kikwete, hii ilikuwa inatokea kwa sababu ya chuki ya wazanzibari kwa rais mbara. Wakati huu bara wanapitia wakati mgumu kutokana na kutomkubali mzanzibari kuwatawala, Msingi wa Samia kutomkubali umewekwa na uzanzibari wake ndipo sababu zingine zinafuata, na hii sio mara ya kwanza. Kwa wale wahenga wanakumbuka matusi aliyokuwa anaoga hayati Mwinyi akiwa Rais wa Tanzania mpaka ikafikia bungeni kuundwa kwa kundi G 55 wakidai serikali ya Tanganyika. Kwa hiyo vurugu zote hizi ikiwa ni pamoja na kuongezeka kwa utekaji, mauwaji ya Mo29, ukiachana na uccm na uchadema zinatokana na asili ya wananchi kutokuukubali kuongozwa na mtu wa upande mwingine. Kwa hali ilivyo, ikiwa muungano ni lazima sana kwa mataifa haya mawili basi bara iwe na serikali yake kama ilivyo Zanzibar bila hivyo mauwaji yataendelea kutokea, kwa mmojammoja kwa njia ya utekaji au halaiki kama Mo29, hii ni pande zote bara na Zanzibar, itakuwa ni kupishana vipindi tu.Hivi kumbe , Soka , Mdude, Mzee Kibao, Dioniz Kipanya , Polepole, Kaswahili, Daniel Chonchorio, Jacob Mlay na wengine walitekwa na NCHI ZA NJE kama anavyodai Makombo?
Mbona katika matukio yote hayo hatujasikia tukio hata moja la utekaji Zanzibar ?
Kwamba hizo nchi zimeacha kwenda kwenye eneo lenye watu milioni 2 zimeingia kuteka watu kwenye eneo lenye watu milioni 70 +
Na bado wameenda mbali zaidi na kuua watanganyika 10000.
Ni muda sasa watanganyika kuamka kwa shari sio tena kwa upole wala kwa kuomba hizi dharau zimepitiliza.
kweli kabisa na wajinga wachache wanaopotoshwa, kikubwa serikali itoe elimu kwa hawa wajinga wachache!