Waziri Thabit Kombo: Migogoro yetu inasababishwa na nguvu za nje

Waziri Thabit Kombo: Migogoro yetu inasababishwa na nguvu za nje

Walikufa Makafiri wengi sana kwani walitumiwa na kanisa kuangusha CCM.
 
Ni nchi zipi hizo; UAE na Oman wanaomtumia Samia avuruge Tanzania?

Hadi hapa tulipofikia hakuna nchi nyingine yoyote, mbali ya Samia kuwa kichocheo cha kuivuruga Tanzania.
 
Comrade kombo!

Hamkuzichanga karata zenu vizuri wakati mnashika dola!

Kwani we hujui tuna uhuru was bendera tu!!?

Kwani hujui huko mlipoegemea ni maadui dhidi ya wahisani wetu!!?

Mliwezaje kuegemea huko kama hayo yote mliyajua!!?

"Taarifa zinatoka juu kurudi chino" kutoka ICC,BBC,CNN,,Bunge la muungano la ulaya,Bunge la marekani n.k!!?

Inamaana nilipowaandikia mwaka 2024 kwamba "uchaguzi wa 2025 October no vita ya kijasusi kati ya mashirika ya kijasusi ya Uingereza,America dhidi ya waarabu,wachina and co" hukusoma huo uzi!!?

Nyie mlianza kuhangaika na Lisu na chadema !kumbe walikua wanacheza script moja na wanaccm wanaofuata maelekezo toka juu kurudi chini!!

KAZI na utu,hebu tusonge mbele!
Unatafuta mchawi wakati unaye chumbani mwako?

Hata sielewi unaeleza kitu gani hapa!

Hakuna mtu yeyote anayeivuruga Tanzania, mbali ya Samia Suluhu Hassan na Genge lake.

Is that too hard to comprehend!

Hata sielewi ni sababu zipi zinazotufanya tutafutize visababu vya pembeni na kuacha sababu zilizo wazi kabisa matatizo yetu sasa hivi yanatokana na nani!
 
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb) akizungumza katika Mkutano na Vyombo vya Habari kuhusu ziara ya kikazi ya Rais Dkt.Samia, Addis Ababa Nchini Ethiopia.
Oh!
Nilifikiri huyu mtu kuwa labda zimo za kutosha kichwani mwake. kumbe na yeye ni mtupu kiasi hiki?
 
Kombo yupo sahihi kabisa, kuwa migogoro ya Tanganyika inasababishwa na watu wa nje ambao ni wazanzibari period
 
Back
Top Bottom