Waziri Ulega akipiga mkwara na Kingereza cha ugoko

Sioni tatizo hapo maana hata hao wachina hawakijui 🙂 Labda kwa vile wana rangi nyeupe ndio hujaona BROKEN yao.
 
Kulinganisha japan na tanzania sio sahihi mkuu, sisi tanzania huko serikalini english ni lugha walioamua kuikumbatia katika sehemu mbalimbali. Hivo tukiwaona viongozi wanavochemka sisi tunafurahi
Mfano website hii ya bunge la tanzania kwanini kiswahili kimechanganyika na kiingereza? Namna hii?



Hapa sijaenda kwenye nyaraka za kodi za tra. Na wala sijaenda kwenye mahakama

Covax
 
L
LUgha ya english,zipo karibia lahaja 60,duniani,na zote zinakubalika,hata ndani ya UK na US,zipo lahaja tofauti.
 
Kwa vile hujataka kutuwekea video tusikie/kuona na sisi, at least tuambie kwa kumlinganisha Ulega na Ndalichako na Jenista Mhagama, yupi ana afadhali?
 
Wewe ndio mshamba,mtu asiyezungumza lugha A sawasawa basi atakua anajua Barbara lugha B.
Wachina hawajui kiswahili wanajua kiingereza,waswahili hawajui kiswahili wanajua kiingereza,ulitaka wawasiliane kwa lugha ipi?
Malawi na Zimbabwe wanajua kiingereza kuliko Saudi Arabia,Bahrain na Qatar,kwa hio raia wa hizo nchi wawaonee aibu dunia kwa kushindwa na Zimbabwe na Malawi,kuongea kiingereza?
 
Acha inyeshe tuone panapovuja
Hiyo clip I wap?
 
Kwani hao wakandarasi wenyewe wanajua kingereza??
 
Kuongea kingereza watu wasiojua kama wachina ata wewe itakupa shida.
 
Wasomi bhana kwahy Ili uwe msomi lazima ujue English.

Mbona wao hawajui kiswahili chetu
 
Hao Wachina hawajui Kingereza wala Kiswahili; angewapigisha tu Kizaramo!
 
Kwanini watu wasio jua kiingereza wanaongea tena kwa sauti kubwa huyu mzee kiingereza hakijui preposition zake ziko poor, pronunciation poor grammar poor eti ni waziri wa ujenzi, hi nchi ina kasoro kubwa katika uongozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…