Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 5,276
- 17,354
Huwa zinanikera sana comments za namna hyo,afu wakat huo unazungumzia inshu muhimu mtu analeta siasaKwani kiingereza ni intelligence ya mtu au ni lugha tu kama kiswahili, mbona wa Japan wengi hawajui kiingereza..........hizo ndo comment za watanzania walio shindwa kumudu lugha ya kiinaereza.
Naomba mwenye CV ya Ulega. Maana si kwa English mbovu !! Na wachina unaongea vile je wangekuwa Wazungu na lugha yao.
Kwa aibu niliyojiskia leo baada ya kusikiza Kiingereza cha Waziri Ulega akizungumza na Wakandarasi Wachina wanaojenga barabara ya mwendokasi huko Mwenge leo nakuomba tu Msemaji wa Serikali zungumza na Waandishi wa habari na waombe tu wasirushe zilr clips za Waziri wetu akizungumza kiingereza.
Kwa kifupi tu Waziri wetu kaharibu mbaya. Ile clip ikienda viral ni aibu sana 😅. Kile kiingereza kitatuaibisha sana kama Taifa. Ni broken isiyovumilika.
Mwisho jamani nafasi za Uwaziri ni kubwa sana. Hawa ni watu wanao negotiate deals kwa faida ya nchi. Wanaosimama kwenye international platforms kuwakilisha nchi. Jamaniii tuteue watu wenye uwezo hata wa kuzungumza hizi lugha kubwa za kigeni kama kiingereza kwa ufasaha.
Poleni Tanzania. Ni aibu
Kana umesoma shule ya kata na passport haina hata visa 1 huwezi elewa hoja yetu. We pita kule tuHuwa zinanikera sana comments za namna hyo,afu wakat huo unazungumzia inshu muhimu mtu analeta siasa
HujanielewaKana umesoma shule ya kata na passport haina hata visa 1 huwezi elewa hoja yetu. We pita kule tu
Katikati ya maongezi anauliza eti shamba la bibi kwa kiingereza inaitwaje?🤣🤣🤣Naomba mwenye CV ya Ulega. Maana si kwa English mbovu !! Na wachina unaongea vile je wangekuwa Wazungu na lugha yao.
Huyu na Ndalichako na Waziri Jenista hawachekani
Kabla huja comment jiangalie kwanza kama umesoma shule zile za ze ufagio ze blackboard huwezi ona shida kwenye kiingereza cha Ulega.Mbona anaongea vizuri au mimi sijui English
Kwa hiyo wewe unaona kawaida mtu kuongea kwa kujivuuutaaa tena kwa kiingereza cha ugoko alafu baadae anauliza tunasemaje shamba la bibi kwa kiingereza?🤣🤣🤣Mbona ni kiingereza kizuri tu (kwa standard zetu).
Mleta mada acha Nongwa
Tulishakubaliana kiingereza ni lugha tu kama lugha zingine mfano Kimatumbi, kisukuma, kiswahili,kihindi, kimakua n.k
Kwa aibu niliyojiskia leo baada ya kusikiza Kiingereza cha Waziri Ulega akizungumza na Wakandarasi Wachina wanaojenga barabara ya mwendokasi huko Mwenge leo nakuomba tu Msemaji wa Serikali zungumza na Waandishi wa habari na waombe tu wasirushe zilr clips za Waziri wetu akizungumza kiingereza.
Kwa kifupi tu Waziri wetu kaharibu mbaya. Ile clip ikienda viral ni aibu sana 😅. Kile kiingereza kitatuaibisha sana kama Taifa. Ni broken isiyovumilika.
Mwisho jamani nafasi za Uwaziri ni kubwa sana. Hawa ni watu wanao negotiate deals kwa faida ya nchi. Wanaosimama kwenye international platforms kuwakilisha nchi. Jamaniii tuteue watu wenye uwezo hata wa kuzungumza hizi lugha kubwa za kigeni kama kiingereza kwa ufasaha.
Poleni Tanzania. Ni aibu
Mugabe hamzidi Kambona na MkapaAfrika nzima jana leo kesho na kesho kutwa hamna alie kua anaongea kiingera fasaha kama Mugabe View attachment 3260052
Huu ni ukweli kabisa. Generation ya kwanza ya Viongozi wa nchi za Afrika zilizokuwa zinazungumza kiingereza zilikuwa zinaongea kiingereza fasaha sana.Ipo haja ya kujiuliza nchi za Nigeria, Kenya, Tanzania n.k tukilinganisha kizazi hadi kizazi lugha hii ya kiingereza inazidi kuporomoka viwango na kwa Tanzania kasi ya kuporomoka viwango ni kubwa mno kulinganisha na nchi zingine :
View: https://m.youtube.com/watch?v=wfjWhHt2Brk
Aibu kubwa hii
Kwa aibu niliyojiskia leo baada ya kusikiza Kiingereza cha Waziri Ulega akizungumza na Wakandarasi Wachina wanaojenga barabara ya mwendokasi huko Mwenge leo nakuomba tu Msemaji wa Serikali zungumza na Waandishi wa habari na waombe tu wasirushe zilr clips za Waziri wetu akizungumza kiingereza.
Kwa kifupi tu Waziri wetu kaharibu mbaya. Ile clip ikienda viral ni aibu sana 😅. Kile kiingereza kitatuaibisha sana kama Taifa. Ni broken isiyovumilika.
Mwisho jamani nafasi za Uwaziri ni kubwa sana. Hawa ni watu wanao negotiate deals kwa faida ya nchi. Wanaosimama kwenye international platforms kuwakilisha nchi. Jamaniii tuteue watu wenye uwezo hata wa kuzungumza hizi lugha kubwa za kigeni kama kiingereza kwa ufasaha.
Poleni Tanzania. Ni aibu
Top Layer Ya CCM Ambayo Ni TegemeoAibu kubwa hii
Ihakuna mahali nimesema luga ndio kipimo cha utendaji kazi wake..!! alafu mpira na uwongozi na utendaji ni vitu tofauti kabisa kufaninisha
Ni Sawa lakini ukubhakuna mahali nimesema luga ndio kipimo cha utendaji kazi wake..!! alafu mpira na uwongozi na utendaji ni vitu tofauti kabisa kufaninisha
Niwaulize nyinyi mna-impact gani kwenye taifa hili nakujua chenu fluent English 🥶Lakini sasa ndo utoke kapa kuanzia primary hadi chuo? Kweli? No wonders hawataki kwenda kusafiri kushiriki multilateral platforms!
Kama anajua hakimo why asiongee tu Kiswahili chake?
Hoja yake ni muendelezo ule ule wa utumwa wa lugha ya mkoloni aliyetutawala. Umeshawahi kumsikia Rais wa China akiongea kingereza hadharani?, lakini dunia nzima inamheshimu kwa namna alivyoweza kuliweka juu taifa lake.Hata kumbe huna uelewa wa hoja ya mleta uzi.
Kwa watu kama mawaziri lazima tuwe na watu ambao wapo vizuri kichwani, ukijumlisha na lugha ya kiingereza kwani ndio wanaoingia mikataba kwa niaba ya wizara na nchi.
Kipimo cha mafanikio sio utajiri.
Kila mmoja ana kipimo chake cha mafanikio kulingana na mtazamo wake kuhusu mafanikio.
Hao aliokuwa anaongea nao wenyew hawajui vizuri kiingereza na ndio wataalam wetu wanatujengea miundombinu, mtu akijua kiingereza cha kuelewana tu inatosha hata kuwa RaisKwani kiingereza ni intelligence ya mtu au ni lugha tu kama kiswahili, mbona wa Japan wengi hawajui kiingereza..........hizo ndo comment za watanzania walio shindwa kumudu lugha ya kiinaereza.