Waziri Ulega apendekeza Watu binafsi kutumia barabara za Mwendokasi kwa kulipia

Tunaongozwa na watu ambao hawana akili, badala ya kuwa na mwendokasi tungekuwa na town train + helicopters(tax) kwa wenye haraka
 
Hii Project ya Mwendokasi ni kama feasibility study haikufanyika Vizuri
 
We bwege siyo raia wa nchi yetu unawashwa na nini, rudi kwenu kwa Mr. Skeleton vinginevyo ni suala la muda tutakukamata.
 
Sasa folen ni kubwa sana jioni, na sometimes unakuta njia ya mwendokasi haina gari so ni Bora mtu anaepita huko yes akalipia hata elf 20

Mbona ni ishu ya kawaida Sana

Au wewe tatizo lako ni mini?
Sio haina gari, bali magari hayajanunuliwa ya kutosha, maana muda huo njia nyeupe , vituoni watu wamejazana kama vyura.., kwahiyo mabasi hayatoshi, yaongezwe, ili nyie mlio kwenye foleni muache magari yenu nyimbani na mpande hayo mabasi yasiyo na foleni..

Njia za mwendokasi ni nyembamba, zikapita gari 100 tu kwa mpigo, ni foleni, na itakuwa si mwendokasi tena, utaona bora urudi njia ya kawaida
 


Kwa sasa hamna magari mpaka hapo yakinunuliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…