GE2025 Waziri Ulega: Nikishindwa Ubunge Mkuranga haitotawalika

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Wakuu,

Mambo yameendelea kuwa sukari huko CCM. Yaani baada ya harakati za kuua upinzani kushika kasi sasa CCM wameanza kushughulikiana wenyewe kwa wenyewe

Huyo Hamisi Mtutu anayezungumzia hapo ni Mjumbe wa Baraza la Wazazi Mkoa huko Pwani.

Kuna namna huko Pwwani vita ya madaraka imekuwa kubwa sana

Kauli kama hii ingetosha kabisa kuwatoa wananchi wa mkuranga barabarani, pure dictatorship kabisa hii
 
Na kama nchi tumekwama aisee kuna watu wanaishi peponi hapa hapa kuna wengine wako motoni nchi hii mbunge anakuja 19M kwa kazi gani special anayofanya kuzidi watumishi wote
Wabunge wa Tanzania wangekuwa na mishahara na posho sawa na za watumishi wegine wa umma wa daraja la kati, hivi vituko vingepungua au kutokuwepo kabisa
 
Wakuu,

Mambo yameendelea kuwa sukari huko CCM. Yaani baada ya harakati za kuua upinzani kushika kasi sasa CCM wameanza kushughulikiana wenyewe kwa wenyewe

Huyo Hamisi Mtutu anayezungumzia hapo ni Mjumbe wa Baraza la Wazazi Mkoa huko Pwani.

Kuna namna huko Pwwani vita ya madaraka imekuwa kubwa sana

1000005529.jpg
 
Huu Ni Uhaini Akamatwe Mara Moja. Anatishia Sehemu ya Nchi Kutotawalika.
 
Back
Top Bottom