Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
Madaraka yamewalevya, hakika wataparuana
Vipi tena Mzee Benjamin Netanyahu, mbona unakuwa Dicteta ?Toeni haya matapeli
Mimi simtaki Ulega sijui Ulenga ni tapeli fulaniVipi tena Mzee Benjamin Netanyahu, mbona unakuwa Dicteta ?
Mzee Tindwa ni Mwana Mkulanga wa kuzaliwa na ana haki zote za kugombea katika Jimbo lake:
Tuwaache wananchi waamue:
Huyu ni timu msoga. Kundi lao walikuwepo yye, nyundo na mandaiUlega kazi anayo mkuranga
Alikuwa dini gani huyu jirani yake msanii 20 percentHuyu jamaa tangu abadili Dini anajikuta mjuaji sana hapo mkuranga