GE2025 Waziri Ulega: Nikishindwa Ubunge Mkuranga haitotawalika

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Chukuwachakomapema Wana matatizo makubwa sana sana sana!
 
Then unategemea huyu mtu awe na uchungu na watu?

Serikali imelipa bunge pesa nyingi sana kama wao wanafanya kazi kuliko wengine!
Sio sawa, maslahi ya bunge na wabunge yaangaliwe upya,sababu pesa imerundikana kwao na wanachokifanya hata hakionekeani!
 
Ya lini hii, isije kuwa ni ile ile ya zamani
 
Wakuu,

Mambo yameendelea kuwa sukari huko CCM. Yaani baada ya harakati za kuua upinzani kushika kasi sasa CCM wameanza kushughulikiana wenyewe kwa wenyewe

Huyo Hamisi Mtutu anayezungumzia hapo ni Mjumbe wa Baraza la Wazazi Mkoa huko Pwani.

Kuna namna huko Pwwani vita ya madaraka imekuwa kubwa sana

Walogane tu kumaliza ubishi. Mhm wahuni wapungue kwa namna yeyote ile.
 
Wakuu,

Mambo yameendelea kuwa sukari huko CCM. Yaani baada ya harakati za kuua upinzani kushika kasi sasa CCM wameanza kushughulikiana wenyewe kwa wenyewe

Huyo Hamisi Mtutu anayezungumzia hapo ni Mjumbe wa Baraza la Wazazi Mkoa huko Pwani.

Kuna namna huko Pwwani vita ya madaraka imekuwa kubwa sana

Kujifariji na kutapatapa
 
Yaache yamalizane
 
Back
Top Bottom