GE2025 Waziri Ulega: Nikishindwa Ubunge Mkuranga haitotawalika

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Chukuwachakomapema Wana matatizo makubwa sana sana sana!
 
Then unategemea huyu mtu awe na uchungu na watu?

Serikali imelipa bunge pesa nyingi sana kama wao wanafanya kazi kuliko wengine!
Sio sawa, maslahi ya bunge na wabunge yaangaliwe upya,sababu pesa imerundikana kwao na wanachokifanya hata hakionekeani!
 
Au sio.
 
Ya lini hii, isije kuwa ni ile ile ya zamani
 
Walogane tu kumaliza ubishi. Mhm wahuni wapungue kwa namna yeyote ile.
 
Kujifariji na kutapatapa
 
Yaache yamalizane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…