Waziri Ummy aagiza matibabu ya Malaria kuwa Bure

Wangeondoa zile sehemu za kufanyia research ya mbu na kukausha yale maji pale jangwani, amani kule tanga na sehemu zote kama hizo malaria ingeshapotea saa hizi,
Sema ndio hivuo wanatumia udhaifu wetu na ujanja wao kutuzalishia mbu kwa jina la kufanya research,
Wazungu si watu wazuri
 
Nilijua ni pesa za tozo ndo zimesababisha vipimo Bure kumbe ni mkwanja wa global fund, nipo hapa nasubiri MATUMIZI ya tozo
 
Hizi ni siasa tu ili waonekane kama wanajali watu kumbe ni bure kabisa.Mwanzo walitangaza wajawazito na watoto chini ya miaka mitano ni bure lakini ukienda unadaiwa pesa.Mawaziri mpunguze siasa mnakera sana
Mjamzito alienda kujifungulia Amana hospital awe na 81,000/=. Ummy Mwalimu ni miongoni mwa mawaziri wabovu wanaongoza kwa kutoa matamko ya ovyo na ovyo kabisa!. Kama anataka watanzania watibiwe bure ni vema apeleke msaada huo wa matibabu ya bure bungeni ujadiliwe hatimaye upelekwe kwa Rais kuwa sheria vinginevyo aache progapanda hizi za majitaka.
 
Rekodi nyingine ya awamu ya 6 hii..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…