Waziri Ummy: Bima ya Afya (NHIF) inakaribia kufa

NHIF inaelemewa na wafanyakazi wa Serikali.

Ili mfuko usielemewe wategemezi waondolewe au mtu atibiwe kutokana na anavyochangia
Hao wafanyakazi wa serikali ndio wachangiaji wenyewe.
Njoo na mbinu ya kuinusuru mfuko.
 
Bima ya afya imefanywa shamba la bini inauawa na watoa huduma wa afya kwa kuchaji gharama kubwa zaidi ya bei halisi ya matibabu na pili ni njama za watoa huduma wengine wa bima ambao wanaiona NHIF kama kizingiti kwao kwenye kutengeneza faida na kuoata wateja...
 
Kati ya yote utapeli wa wabongo na wategemezi nadhani vinachangia pakubwa .
Naungana na wewe.
NHIF bila kupunguza Wategemezi
Bila kuweka Biometric wataendelea pata hasara

Kwa uhalisia wateja twatakiwa kuweka biometric tumalizapp tibiwa, kuona tulichotibiwa na kuthibitisha
 
Ila yule dictator katili wa chato si alishazikwa tuliambiwa tutaanza kuokota hela barabarani?
 
Hivi hali ya maisha ya sasa kunaa umuhimu wowte wa kuwa na bima?
 
Naungana na wewe.
NHIF bila kupunguza Wategemezi
Bila kuweka Biometric wataendelea pata hasara

Kwa uhalisia wateja twatakiwa kuweka biometric tumalizapp tibiwa, kuona tulichotibiwa na kuthibitisha
Inasikitisha waafrica hatuna kabisa preventive measures mpaka mambo yaharibike ndo tunakurupuka
 
Jengo kaliii na V8 za kutosha. Kwann NHiF isife?
 

Attachments

  • images (26).jpeg
    31.7 KB · Views: 3
Ye atupe ratiba ya mazishi tu. Tujue kama tunaizika au tunaisafirisha.
 
Hawawezi hao wako kwa sababau za kindugu tu kuna Madaktari wengi wenye uzoefu na hayo kina Dr manyonyi, Shuli chipata, nk wazitoe hizo nafasi kwa wengine waone
 
Mbona imekufa muda sana maana kuna vitu havitaki janjajanja za kisiasa.
 
Kwahiyo hapa analaumiwa nani maana waliotuchelewesha wapo benchi
Hawa huwa tunawang'ang'aniza TU lkn kwa kweli washashindwa kuongoza hii inchi. Tufanyefanye 2025 tuwapishe wengine tujaribu ladha nyingine
 
Reactions: Lax
abiria-wakwama-geita-mabasi-yakikosa-tiketi-za-kielektroniki hili ni tatizo jingine limeibuka kanda ya ziwa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] boss unajua nani aliyeanzisha huu mfuko rasmi?
 
Mkuu unaijua serikari, kama unaijua basi natumai unaijua siasa. Sasa jua siasa ni vitu vinavyopinga utaalamu. Sasa wewe lete utaalamu ndani ya siasa ili ujue nini kitakachokutokea. Utamu wa ngoma niuinge ucheze[emoji23][emoji23][emoji23]. Maneno marahisi nyie, asikwambie mtu.
 
Hii ni kweli kabisa, lakini unajua kabla ya kufika hapo nilazima kuanze nini kwanza sindio hivyo?? Lasivyo hiyo pesa unakuwa kama umekuja kuiba, siunajua!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…