Waziri Ummy: Michango ya kujiunga kidato cha tano kwa shule za Serikali isizidi Tsh. 188,000

Kama kichwa kinavyoeleza, kwa sasa shule nyingi hasa zile za Serikali kwa wanafunzi wanaoenda kuanza kidato cha tano zinaenda kufunguliwa. Lakini nilichogundua mbali na ada kuainishwa kwenye fomu za kujiunga, michango ni mingi sana inayofika karibia mara tano ya ada.

Waziri ingilia kati kuwanusuru wazazi na huu utitiri wa michango ikiwa tayari ada ambazo wazazi wanaweza kujitahidi kuzilipa zimeshawekwa. Huu ni sawa na upigaji kwa wakuu wa shule.
Ukitaka mwanao afaulu elimu ya advanced level, inabidi uingie gharama tu.Kuna wanafunzi hupata division I kidato cha nne, akizembea anakula zero kidato cha Sita.Ufaulu wa serikali ni division four, Serikali hawapendi wanafunzi wapate zero, ukimdekeza mwanao kaagizwa ream mbili kwa mhura wa Kwanza au kununua vitabu unalalamika, mwanao hatafanya mitihani ya wik na mwez.
 
Joining instruction forms zote za shule za A.Level kabla hazijamwendea mzazi/mlezi huwa zinapitia TAMISEMI kwanza. Hivyo sioni tatizo la uongozi mashuleni. Kinachofanyika ni baraka toka juu.
Hapo ndo upigaji unapotamalaki, tulitegemea ada iwe ime cover gharama za mwanafunzi......mzazi abaki na mahitaji kama uniform, stationeries na mahitaji mengine binafsi ya mwanafunzi, kweli watu wanatumia fursa.....
 
Kwa kifupi elimu bure ilikua ni kiini macho...

Pia elimu si kipaumbele ! Ni katika nchi masikini ila mkurugenzi anatembelea gari la millioni 400 huku watoto wakiambiwa wapeleke sijui majembe shule sijui kwenda na godoro...

Are we really serious ??
 
Miaka nenda rudi hayo majembe, mafyekeo sijui ndoo na masufuria hayajawahi kutosha? elimu ya A-level unahimizaje wanafunzi wakalime mashamba ya shule na kufyeka majani? halafu utarajie hao vijana wa cocentrate kwenye masomo wafaulu vizuri....
 
Ukitaka mwanao afaulu elimu ya advanced level, inabidi uingie gharama tu.Kuna wanafunzi hupata division I kidato cha nne, akizembea anakula zero kidato cha Sita.Ufaulu wa serikali ni division four, Serikali hawapendi wanafunzi wapate zero, ukimdekeza mwanao kaagizwa ream mbili kwa mhura wa Kwanza au kununua vitabu unalalamika, mwanao hatafanya mitihani ya wik na mwez.
Kwa hiyo ada waliyoweka ina cover vitu gani, kwa nini msiweke ada iliyo na gharama zote hizo kuliko ujanja ujanja wa kuweka michango na kuagiza vitu kibao...
 
Kama kichwa kinavyoeleza, kwa sasa shule nyingi hasa zile za Serikali kwa wanafunzi wanaoenda kuanza kidato cha tano zinaenda kufunguliwa. Lakini nilichogundua mbali na ada kuainishwa kwenye fomu za kujiunga, michango ni mingi sana inayofika karibia mara tano ya ada.

Waziri ingilia kati kuwanusuru wazazi na huu utitiri wa michango ikiwa tayari ada ambazo wazazi wanaweza kujitahidi kuzilipa zimeshawekwa. Huu ni sawa na upigaji kwa wakuu wa shule.
Ukiwa unajali Elimu ya unaemsomesha hutoohoji michango..usidhani walimu wanakula hizo ela zenu za michango ila ungejua kiundani mazingira ya ufundishaji ungechanga..hiyo slogan ya elimu bure ni changa la macho..kaa chini na wqlqu mwalimu mmoja akupe maarifa sio kukimbilia mitandaoni kuchonganisha walimu na waziri.Shame on you.
 
Kwa hiyo ada haina maana yoyote, basi waondoe ada tuwe tunalipia michango....
 
Ukiwa unajali Elimu ya unaemsomesha hutohoji kuhusu michango..its Either husomesh au unasomesha kwa kulazimishwa...unaijua Sera ya maendeleo ya Elimu ya Msingi na secondary hasa katika kipengele cha Uwezeahaji shuleni pamoja na miundombinu?!achana na maneno ya wanasiasa wanaokuambia elimu ni bure...kama Elimu ni ghali Jaribu ujinga.
 
Kwa hiyo haya maneno tupu ndo yanahalalisha upigaji wenu kwenye michango, ndo maana waziri kaweka kiwango elekezi cha shilingi 188,000/= ambacho kinajumuisha na ada ya shilingi elf 70 kwa kujua mpo wapigaji wa michango kama nyinyi.....
 
Sawa mkuu.Shukrani endelea kusomesha kkwa kusukumwa na guta
 
Kama kichwa kinavyoeleza, kwa sasa shule nyingi hasa zile za Serikali kwa wanafunzi wanaoenda kuanza kidato cha tano zinaenda kufunguliwa. Lakini nilichogundua mbali na ada kuainishwa kwenye fomu za kujiunga, michango ni mingi sana inayofika karibia mara tano ya ada.

Waziri ingilia kati kuwanusuru wazazi na huu utitiri wa michango ikiwa tayari ada ambazo wazazi wanaweza kujitahidi kuzilipa zimeshawekwa. Huu ni sawa na upigaji kwa wakuu wa shule.
Wa tz tumezidi kulalamika sana tafuta shule iso na michango au usizae kabisaaa
 
Back
Top Bottom