1. RakeMh mbona kama utapeli sasa huo.. Unaweza kuichanganua hiyo 430k?
Ndio maana nimesema elimu sio kipaumbele mnafanyiwa geresha tuMiaka nenda rudi hayo majembe, mafyekeo sijui ndoo na masufuria hayajawahi kutosha? elimu ya A-level unahimizaje wanafunzi wakalime mashamba ya shule na kufyeka majani? halafu utarajie hao vijana wa cocentrate kwenye masomo wafaulu vizuri....
Mkuu,Kama kichwa kinavyoeleza, kwa sasa shule nyingi hasa zile za Serikali kwa wanafunzi wanaoenda kuanza kidato cha tano zinaenda kufunguliwa. Lakini nilichogundua mbali na ada kuainishwa kwenye fomu za kujiunga, michango ni mingi sana inayofika karibia mara tano ya ada.
Waziri ingilia kati kuwanusuru wazazi na huu utitiri wa michango ikiwa tayari ada ambazo wazazi wanaweza kujitahidi kuzilipa zimeshawekwa. Huu ni sawa na upigaji kwa wakuu wa shule.
Ni ujanja ujanja wanaofanya waonekane wanatoza ada kidogo, ni bora tu watoze kama ada za private ili tujue moja.....Mkuu,
Umesema ukweli mtupu,
Kidato cha tano ada ni shilingi 70,000/= kwa mwaka lakini mahitaji yanayotakiwa kuambatana na mwanafunzi yanafikia 1,400,000/= hii sio sahihi kabisa na ni mateso yasiyokuwa ya msingi. Kuna tofauti gani na shule binafsi ambazo ukilipa kiasi hicho mahitaji yote unahudumiwa?
Vitabu vyote vya tahasusi unanunua mzazi, unifomu, godoro, jembe, kwanja, vifaa vya kusaficha vyoo, bafu, darasa na bweni, vyombo vya chakula, nguo za michezo, madaftari, karatasi za mazoezi na mitihani, pesa ya ulinzi, pesa ya kulipia upishi nk ni kero tupu na hakuna nafuu yoyote ile.
Halafu walimu na elimu inayotolewa kwenye shule za serikali hasa za kata ni changamoto maana kila kitu unalipia
Kila kitu ni gharama hakuna cha burebure unless ufungue shule yako au usizae kabisaaaNi wapi nimesema kusiwe na michango ndugu yangu mwalimu mkuu......hebu tusaidie kuorodhesha hiyo michango ambayo haiwezi kuwa covered kwenye ada.
Ona aibu basi, dunia ya leo ada ya 70,000 unaitoa wapi? Ebu piga hesabu hizo pesa mtoto ale alale aoge kwa mwaka, kweli? Something must be wrong in our attitudes!Ni ujanja ujanja wanaofanya waonekane wanatoza ada kidogo, ni bora tu watoze kama ada za private ili tujue moja.....
Ni gharama zipi hizo ambazo hazieleweki ndugu mwalimu mkuu, hizi gharama zimekuwa sawa na wasiojulikana?Kila kitu ni gharama hakuna cha burebure unless ufungue shule yako au usizae kabisaaa
Unataka wakasome tu bila kufanya hata usafi wa smart area...hao watakuwa watoto au vilema? Ndiyo maana wanakuja kuwa raia waajabu ajabu...Acha wakalime smart area, wafagie, wamwagilie maua na wasome, hiyo ndiyo kumfanya mtoto awe kamili siyo kusoma tu na kukaririshwa kama parrotsMiaka nenda rudi hayo majembe, mafyekeo sijui ndoo na masufuria hayajawahi kutosha? elimu ya A-level unahimizaje wanafunzi wakalime mashamba ya shule na kufyeka majani? halafu utarajie hao vijana wa cocentrate kwenye masomo wafaulu vizuri....
Kwa hiyo elfu sabini nimeipanga mimi, au serikali......vipi kule ambapo hawalipi kabisa ada, unajifanya hujui sera ya serikali ya elimu bure hadi kidato cha nne? au unajifanya zwazwa....Ona aibu basi, dunia ya leo ada ya 70,000 unaitoa wapi? Ebu piga hesabu hizo pesa mtoto ale alale aoge kwa mwaka, kweli? Something must be wrong in our attitudes!
Kwani hao ni kidato cha nne? Au umesahau kuwa unaongelea kidato cha tano?Kwa hiyo elfu sabini nimeipanga mimi, au serikali......vipi kule ambapo hawalipi kabisa ada, unajifanya hujui sera ya serikali ya elimu bure hadi kidato cha nne? au unajifanya zwazwa....
Kwa hiyo ada ya elfu 70 wamepangiwa nani hasa?Kwani hao ni kidato cha nne? Au umesahau kuwa unaongelea kidato cha tano?
Tumia akili ada elfu sabini mwaka mzima unaona mchango kutoa ni hasara? Wameweka ada ndogo ili wenye uwezo wa saidie hao wachache ambao hawana uwezo kwa michango....Kuwa muungwana, hapa unatumia kiasi gani cha pesa kusogoa mitandaoni kisha unaona vibaya kulipia mwanao michango kuwasaidia ambao hawajawahi ona hata key board...Utakufa masikini kwakuwa bahiliKwa hiyo ada ya elfu 70 wamepangiwa nani hasa?
Kwa hiyo mnahujumu nchi, mnachukua michango ya wanafunzi mnatia mifukoni halafu mnaipa mzigo serikali kuhudumia elimu kwa ada ndogo. Kwa nini hiyo michango isiwekwe kwenye ada...Tumia akili ada elfu sabini mwaka mzima unaona mchango kutoa ni hasara? Wameweka ada ndogo ili wenye uwezo wa saidie hao wachache ambao hawana uwezo kwa michango....Kuwa muungwana, hapa unatumia kiasi gani cha pesa kusogoa mitandaoni kisha unaona vibaya kulipia mwanao ada...Utakufa masikini kwakuwa bahili
Usi panic basi, mimi ni raia kama wewe na mzazi na ninalipa ada na michango, ninaishukuru serikali sana kwakua naona hii ada ni ndogo sana na nipo tayari kwa hiari yangu kutoa michango hata mara kumi ili wale ambao hawana uwezo nao watoto wao wapate masufuria ya kupika etcKwa hiyo mnahujumu nchi, mnachukua michango ya wanafunzi mnatia mifukoni halafu mnaipa mzigo serikali kuhudumia elimu kwa ada ndogo. Kwa nini hiyo michango isiwekwe kwenye ada...
Mbona mnaorodhesha michango lukuki kwenye fomu mnatuma kwa kila mwanafunzi, aliyekwambia wote wana uwezo wa kulipa ni nani? BTW wewe ni mwalimu mkuu wa shule gani.....Usi panic basi, mimi ni raia kama wewe na mzazi na ninalipa ada na michango, ninaishukuru serikali sana kwakua naona hii ada ni ndogo sana na nipo tayari kwa hiari yangu kutoa michango hata mara kumi ili wale ambao hawana uwezo nao watoto wao wapate masufuria ya kupika etc
Umeambiwa ni michango, kwahiyo michango unahiari ya kutoa pale unapoweza siyo lazima yoteMbona mnaorodhesha michango lukuki kwenye fomu mnatuma kwa kila mwanafunzi, aliyekwambia wote wana uwezo wa kulipa ni nani? BTW wewe ni mwalimu mkuu wa shule gani.....
Kuna shule moja anakwenda mwanangu, maelekezo yanamtaka kila mwanafunzi wa kidato cha 5 na 6 aende na SABUNI YA CHOONI Lita 5...!!Kama kichwa kinavyoeleza, kwa sasa shule nyingi hasa zile za Serikali kwa wanafunzi wanaoenda kuanza kidato cha tano zinaenda kufunguliwa. Lakini nilichogundua mbali na ada kuainishwa kwenye fomu za kujiunga, michango ni mingi sana inayofika karibia mara tano ya ada.
Waziri ingilia kati kuwanusuru wazazi na huu utitiri wa michango ikiwa tayari ada ambazo wazazi wanaweza kujitahidi kuzilipa zimeshawekwa. Huu ni sawa na upigaji kwa wakuu wa shule.