Umeonyesha rangi zako! Unapoleta hoja, ujue na kuitetea. Umeleta hoja nikakuuliza swali na kukupa mfano rahisi, badala ya kuitetea hoja yako umeamua kudhihirisha chuki yako dhidi ya Ibada! Ibada na masoko, kipi ni hatari zaidi kwenye kueneza Corona?Sijui kwanini huwa tunawacheka waliokuwa wafuasi wa Kibwetere!!!!
Ndiomana akasema kwamba umefikia kwenye hatua ya community transmission akimaanisha tumeanza kuambukizana wenyewe kwa wenyewe kwamba corona sasa ipo mitaani na ni ngumu kujua mgonjwa ameambukizwa wapi. So from now let's expect a lot of cases to be reportedHawa kuna kitu wanatuficha hasa kwenye takwimu za walioambukizwa huu ugonjwa nchini. Ngoja ngoma isambae watafichua wenyewe.
Masoko nayo tufanyeje? Kusanyiko la ibada kwa saa 1 hadi 2 tena mara moja kwa wiki ni hatari kuliko masoko yanayofanya kazi kila siku kwa masaa yasiyopungua 10?Ila ni bora ibada zifanyike nyumbani...ila kuna watu wabishi mpaka yawakute ndio kihelehele kiishe.
Huko zilikoanzia dini,ibada wamesitisha alafu sisi ndio tunajifanya wajuaji!!Umeonyesha rangi zako! Unapoleta hoja, ujue na kuitetea. Umeleta hoja nikakuuliza swali na kukupa mfano rahisi, badala ya kuitetea hoja yako umeamua kudhihirisha chuki yako dhidi ya Ibada! Ibada na masoko, kipi ni hatari zaidi kwenye kueneza Corona?
Vv
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa hakuna kuzunguka mbuyu, mikusanyiko ya aina yoyote ile haitakiwi, iwe sokoni, kanisani, popote penye mkusanyiko ipigwe marufuku.Ibada inafanyika mara moja kwa wiki kwa muda wa masaa yasiyozidi mawili halafu mnasema zisitishwe! Mbona masoko yako wazi siku zote kwa masaa hadi kumi na mbili kila siku lkn hamsemi yafungwe?
Vv
Sent using Jamii Forums mobile app
Mara moja kwa wiki, kwa nchi nzima, unadhani maambukizi yake ni madogo?!!Masoko nayo tufanyeje? Kusanyiko la ibada kwa saa 1 hadi 2 tena mara moja kwa wiki ni hatari kuliko masoko yanayofanya kazi kila siku kwa masaa yasiyopungua 10?
Vv
Sent using Jamii Forums mobile app
It's just a matter of time. People will start thinking in a different way.Huko zilikoanzia dini,ibada wamesitisha alafu sisi ndio tunajifanya wajuaji!!
Time will tell.
Dah!.. inatisha sana hii hali!! Mungu atunusuru jamani.
Mkuu changamoto ipo tena kubwa..huko kwenye masoko wataangalia utalatibu upi uwekwe ili watu waendelee kupata mahitaji yao maana ni watz wachache sana wanauwezo wa kununua mahitaji ya muda mrefu aweke ndani.sijadharau swala la kuabudu,ila hatanyumbani unaweza fanya kwa dharula kama hii.Masoko nayo tufanyeje? Kusanyiko la ibada kwa saa 1 hadi 2 tena mara moja kwa wiki ni hatari kuliko masoko yanayofanya kazi kila siku kwa masaa yasiyopungua 10?
Vv
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndipo utawajua kama viongozi wa dini wapo kwa ajili ya watu au wapo kipesa. Aliyepo kipesa atapata tabu sana kusema ibada basi mpaka upepo upite. Ila waumini tutakuwa tushajiongeza kitambo.
[/QUOTE)
Akili za mbayuwayu changanya na zako.
Aibu kubwa sana hii! Matokeo ya kuchanganya siasa na utaalamu ndio haya.hii kamari waliocheza serikali inaonekana kushindwa, wakenya watatucheka tutaficha wapi sura zetu, aibu kubwa