Waziri Ummy Mwalimu: Maambukizi COVID-19 ya ndani kwa ndani yameanza, Watanzania wajiandae kwa maambukizi ya Jumuiya

Waziri Ummy Mwalimu: Maambukizi COVID-19 ya ndani kwa ndani yameanza, Watanzania wajiandae kwa maambukizi ya Jumuiya

Ila ni bora ibada zifanyike nyumbani...ila kuna watu wabishi mpaka yawakute ndio kihelehele kiishe.
 
Sijui kwanini huwa tunawacheka waliokuwa wafuasi wa Kibwetere!!!!
Umeonyesha rangi zako! Unapoleta hoja, ujue na kuitetea. Umeleta hoja nikakuuliza swali na kukupa mfano rahisi, badala ya kuitetea hoja yako umeamua kudhihirisha chuki yako dhidi ya Ibada! Ibada na masoko, kipi ni hatari zaidi kwenye kueneza Corona?

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa kuna kitu wanatuficha hasa kwenye takwimu za walioambukizwa huu ugonjwa nchini. Ngoja ngoma isambae watafichua wenyewe.
Ndiomana akasema kwamba umefikia kwenye hatua ya community transmission akimaanisha tumeanza kuambukizana wenyewe kwa wenyewe kwamba corona sasa ipo mitaani na ni ngumu kujua mgonjwa ameambukizwa wapi. So from now let's expect a lot of cases to be reported
 
Tuache kutishana kuhusu corona
Ugonjwa wa corona sio busha useme utalificha
Leteni taarifa za vifo kutokana na corona ili serikali ichukue maamuzi
Corona ni ugonjwa wa siku tano mbaka 10 kisha huo unasepa zake
Kama kuna mtu anataarifa ya kifo au vifo kutokana na corona weka ushahidi mezani hapa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeonyesha rangi zako! Unapoleta hoja, ujue na kuitetea. Umeleta hoja nikakuuliza swali na kukupa mfano rahisi, badala ya kuitetea hoja yako umeamua kudhihirisha chuki yako dhidi ya Ibada! Ibada na masoko, kipi ni hatari zaidi kwenye kueneza Corona?

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
Huko zilikoanzia dini,ibada wamesitisha alafu sisi ndio tunajifanya wajuaji!!

Time will tell.
 
Ibada inafanyika mara moja kwa wiki kwa muda wa masaa yasiyozidi mawili halafu mnasema zisitishwe! Mbona masoko yako wazi siku zote kwa masaa hadi kumi na mbili kila siku lkn hamsemi yafungwe?

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa hakuna kuzunguka mbuyu, mikusanyiko ya aina yoyote ile haitakiwi, iwe sokoni, kanisani, popote penye mkusanyiko ipigwe marufuku.

Najua utauliza bidhaa za chakula zitatoka wapi, watu wajifunze kununua vitu waweke ndani; km mchele, na unga, mboga za majani zinapitishwa majumbani, vitunguu, nyanya na vingine weka ndani, sokoni sio lazima kila siku, ikifanyika hivyo, hata watakao kwenda sokoni watakuwa wachache.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ki uhalisia huu ugonjwa ukizidi kasi hapa kwetu ni hatari maana uwezo wetu wa kupambana nao ni mdogo sana. Hapa kila mtu achukue tahadhari na tuzidi kumuomba MUNGU!
 
Masoko nayo tufanyeje? Kusanyiko la ibada kwa saa 1 hadi 2 tena mara moja kwa wiki ni hatari kuliko masoko yanayofanya kazi kila siku kwa masaa yasiyopungua 10?

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu changamoto ipo tena kubwa..huko kwenye masoko wataangalia utalatibu upi uwekwe ili watu waendelee kupata mahitaji yao maana ni watz wachache sana wanauwezo wa kununua mahitaji ya muda mrefu aweke ndani.sijadharau swala la kuabudu,ila hatanyumbani unaweza fanya kwa dharula kama hii.

hata kama ikiwa mara 1 kwa wiki hatali ipo palepale.ila ukitakakushindana kwakwuwa secta flani mbona wanaiacha basi hapo utakosea.

Onesha nia ya kusaidiwa Mungu akusaidie,Unaiona gali kabisa inakuja kukugonga alafu wewe ukasimama hapohapo unasema Mungu yupo atanisaidia,utakuwa mwendawazimu.tumepewa ubongo na akili zitusaidie sio lazima mungu akutendee miujiza kila wakati.tumia miguu kimbia au kwepa gali kitu kilaisi sana.
 
Hapo ndipo utawajua kama viongozi wa dini wapo kwa ajili ya watu au wapo kipesa. Aliyepo kipesa atapata tabu sana kusema ibada basi mpaka upepo upite. Ila waumini tutakuwa tushajiongeza kitambo.
[/QUOTE)
Akili za mbayuwayu changanya na zako.
 
Mm hadi sasa sielewi kwanini serikali haizuii mikusanyiko kama ibada, wakati ndo sehemu maambukizi yanaweza kuenea kwa kasi zaidi, mfano kuanzia leo hadi Jumatatu ni siku za ibada tu, hivi kwa elimu, akili na busara zetu tutaweza kujikinga na Maambukizi week hii, baada ya week mbili tutavuna tunachokipanda week hii.
 
Mi naona ibada zote zizuiliwe kwanza kabla ya masoko, ukijiuliza kwa umakini kati ya ibada na masoko utaona bora masoko kuliko ibada, masoko zina mahitaji ya kila siku ibada hazina ishu.
 
Back
Top Bottom