Mungu atawaponya ila lazima mtapita kwenye jaribu gumu ili Mungu awatazame kama kweli mlikusudia kwa mioyo yenu ila lazima mfe kadhaa...Vipi
Ikitokea maambukizi yakaongezzeka zaidi baada ya siku tatu za maombi?
Mie sijakuelewa kabisa umemaanisha nini
Umeniacha Dodoma
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Vipi
Ikitokea maambukizi yakaongezzeka zaidi baada ya siku tatu za maombi?
Sijui huko kwenye mataifa mengine ni uzembe wa watu wangapi, jilinde na uwalinde wanaokuzunguka mkuu, Corona inaua.Watapinga wataleta jeuri lakin itafika wakati lazima watachukua hatua zinazotakikana.Na maisha ya watu yatakayopotea ni uzembe wa mtu mmoja tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutaendelea kuomba kwa kuwa tumeagizwa na MUNGU kumuomba pasipo kukoma.Vipi
Ikitokea maambukizi yakaongezzeka zaidi baada ya siku tatu za maombi?
Zanzibar Leo wamekufa wa 3Ninachofurahi wagonjwa hawafi wengi wanapona
Corona itaisha Ndani ya muda mfupi
Sent using Jamii Forums mobile app
Waliokufa si watu?Ninachofurahi wagonjwa hawafi wengi wanapona
Corona itaisha Ndani ya muda mfupi
Sent using Jamii Forums mobile app