Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,637
- 47,413
Wangewapiga risasi wagonjwa wa mwanzo wote, leo tungekuwa na wachache, na wengine wangesitisha kurudi nchini kizembe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serikali ya Magufuli haitokwepa lawama Watanzania wakianza kufa kwa wingi.
Tulipiga kelele sana humu JF wafunge mipaka wazuie wageni kuingia lakini wakawa stubborn na kuonyesha ubishi wa kimadaraka. Sasa waziri wa Afya anacomplain eti "Ugonjwa tumeletewa kutoka nje", Sasa kwa nini nyoka asiingie ndani ya nyumba wakati unalala milango wazi?
Kwa tabia za pepo zinapoelekea kukatiza equator, siyo rahisi sana kuvamia Tz, labda zitokee kusini mwa Afrika, lakini hao wa kaskazini mwa equator watazuiwa na nguvu ya uelekeo wa pepo maeneo hayo na wakitokea kenya watageuza kuelekea Uganda na EthiopiaKuna nzige wapya huko wanataka kuvamia East Africa,wana nguvu zaidi ya hawa wa sasa na wako wengi mno,miezi 9 wakiwa wanbreed tu huko wanakotokea.Umelipata hilo mkuu?Na tabia za aina hii za viongozi wetu katika emergence sijui tunafikaje aisee.Lazima tubadili fikra na utendaji wetu kuendana na mabadiliko ya kidunia yaliyopo.Tuamke na kujua tuna bahati mbaya ya kuishi wakati wa great changes za dunia na vilivyomo.
Baada ya hii corona kuna economic crisis kubwa,je tunajiandaa na hayo?!Au tunasubiri kama tulivyoisubiri corona?!
Duh!Mungu pekee ndie muweza, huyo mungu wako sio kitu mbele ya hii kitu
bora iwe hivyo maana...Kwa tabia za pepo zinapoelekea kukatiza equator, siyo rahisi sana kuvamia Tz, labda zitokee kusini mwa Afrika, lakini hao wa kaskazini mwa equator watazuiwa na nguvu ya uelekeo wa pepo maeneo hayo na wakitokea kenya watageuza kuelekea Uganda na Ethiopia
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini watulazimishe na wakati mipaka ipo wazi?Wale wazungu kule waliosema Mwezi huu lile janga lao litahamia kwetu walikua na maana gani?
Na tusipolipata hilo Janga kama walivyotabiri, hawawezi kulazimisha hata kwa kutuletea wao kwa njia zao ili ionekane kua hawakukosea kqwenye utabiri wao??
Corona hizi ovaretediUnataka kuwapelekea korona kijijini acha hizo
Hivi Kabudi yupo wapi?
Amka ndugu tulishaacha mambo ya kitoto, matusi hayakujengi au kukufanya maarufu eti huonekani. Njoo na hoja, mapendekezo, kosoa n.kKikwete ulikosea sana kumleta huyu punguani
Narudia tena wewe ni mtoto yako nepiNarudia tena kuwa na heshima wewe mtoto mdogo,lini umeskia kalidharau taifa