Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi nimetaja Chadema bwashee?!
Kwamba?kupima watu nikujipa presha,maisha ya kibongo sio Kama ya ulaya,MUNGU ametunusulu sio kwa akili yetu, Mimi naona Kama kupima,kuwekana kalantini
Sent using Jamii Forums mobile app
Vyovyote itakavyokua ila mm najua sikujiumba! Yupo alieniumba na ananijali. Atanipigania kwa kila hali mbaya itakayonikumba
Nisalimie MURANGIRAHuku tukihimizwa kuchukua tahadhali hali inazidi kuwa tofauti huku vijiji vya hawa nshomile, yani wametoka dar kwa vingi sasa wamefka Vijijini huku ni kushinda kwenye vibaa huku wakifuatwa na wenyeji wao ili wakagongee pombe, yani full mikusanyiko hakuna anayeelewa tahadhari yoyote. Sherehe za misiba ndo znapamba Moto huku pamoja na harusi ndoa Kama kwa yan wanaotoka dar ndo wanafadhili haya makusanyiko. Serikali tupieni jicho huku Kiziba
Ni hatari mno na vile tupo mipakani Yan hawa wakina sijui ta evodius na akina maa verediana wana balaaNisalimie MURANGIRA