Waziri Ummy Mwalimu: Maambukizi COVID-19 ya ndani kwa ndani yameanza, Watanzania wajiandae kwa maambukizi ya Jumuiya

Jumatano ni mbali sana

"corona ipo tuchukue tahadhari"
 
Lile jitu la Equador
 
Tunashukuru muitikio mkubwa uliofanywa baada ya Mh. Rais kuwaomba Watanzania kwa dini zao na imani zao kuliombea Taifa dhidi ya janga la Corona. Muitikio ulikuwa mzuri na nyoyo zimeshiba imani ya Mungu si haba.

Sasa nadhani nguvu ielekezwe kuwahamasisha wananchi kuchukua hatua zaidi za kujikinga na Corona. Bado eneo hili halijatendewa haki kwa mtazamo wangu. Natarajia kusikia siku tatu za kuhamasisha uvaaji wa Barakoa, na kuhamasisha michango ya hiari kwa ajili ya wasiojiweza kupatiwa vifaa vya kinga.

Natarajia nione hamasa hiyo ya kuvaa barakoa na michango ianze kwa Rais wetu ili nchi nzima iingie hamasa.

Ni hayo tu.

Kishada
 
Mh. Ummy Mwalimu: Update on #COVID19Tanzania. Samples tested at the National laboratory between 18th - 20th April, 84 new cases in Tanzania mainland and Zanzibar. Total confirmed cases to-date 254. We regret to announce 3 new COVID-19 deaths in Dar es salaam. #CoronaInazuilika #JikingeWakingeWengine
 
Endeleeni kuficha ugonjwa. Wakiupata watu kadhaa hapo Lumumba mtatia akili.
Corona haina lumumba Wala ufipa ikipiga ina piga tu chukua tahadhari mwenyewe fuata mashariti na taratibu za kujikinga ukiona vp jifungie na familia yako ndani kulaumu hovyo hovyo sio kinga ya Corona hao hao unao watumikia wanachukua tahadhari na familia zao
 
Hivi huu ugonjwa unafichika?

Hapo unapokaa kuna mgonjwa yetote? Au umeshuhudia mtu yeyote akisema ana ndugu yake anaumwa corona?

Sent using Jamii Forums mobile app
Anadhani Kinga ya Corona Ni kulaumu hovyo hovyo mwache akeshe jf akilaumu Corona haichagui huyu Ni lumumba au huyu ufipa
 
Siasa ipi walio ileta hebu oredhesha hapa tujue hizo siasa walizo zileta
 
Hakuna kitu hapo usipoteze mda
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…