Waziri Ummy Mwalimu: Maambukizi COVID-19 ya ndani kwa ndani yameanza, Watanzania wajiandae kwa maambukizi ya Jumuiya

Corona itakuwa imeshaingia Tanzania kwa kiasi cha kutosha tu, ni kwamba wengi awaelewi dalili zake.

Mafua na kifua ni sehemu ndogo sana ya Corona kwa wale wanaongalia hizo dalili (na ukianza kukohoa kifua kikavu jua unapoelekea siko, wewe ni wale inakuathiri)

Otherwise kwa watu wenye immune system imara sana sana inakuja kwa mtindo wa homa, kukauka kwa koo, mafua kwa mbali na episodes za kupumua kwa shida for a good 10 to 20 minutes (binafsi ndio namalizana nayo tena huyu wangu ni yule mjanja ukinywa dawa unajiona umepona, ukiacha tu homa hiyo).

Watu wataishi na wagonjwa tu ndani ya nyumba zao eventually, ubaya ni kwamba serikari aitoi elimu jinsi ya kuishi na wagonjwa as if wataweza mudu wimbi la wagonjwa.

Yakikukuta kumbuka paracetamol ni muhimu sana na usijaribu ibuprofen ni majanga.

Dawa ya asili iliyokubalika huku kijijini kwetu ni limau la kukamua, asali na tangawizi; changanya chemsha kunywa (bila ya kusahau dose yako ya paracetamol).
 
Kama unauza duka/genge/machinga hakikisha unavaa disposal gloves na mask kujikinga unapoingia kazini.
 
Bavicha kumbe ni muoga wa kifo namna hii?

Ndio maana kumbe hata maandamano ya mange hamkujitokeza
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
mtu mwenye pesa zake za maana na malengo lazima aogope kifo cha kizembe.

wewe unalipwa buku 7 per day huna cha kupoteza, huna mtu anayekutegemea, kauka nikuvae unatamani ufe hata saa hii.
 
Hawa kuna kitu wanatuficha hasa kwenye takwimu za walioambukizwa huu ugonjwa nchini. Ngoja ngoma isambae watafichua wenyewe.
Onyesha takwimu zako zilizo sahihi
 
Iliporipotiwa kesi ya kwanza ya uwepo wa mgonjwa wa Corona, kama kawaida yetu tukaanza kumsingizia Mungu atalinusuru taifa letu ili kukwepa kuingia gharama za ziada ktk kukabiliana na gonjwa hili. Tulisikia uropikaji wa wanasiasa eti hatuwezi kuzuia wageni kuja nchini kwa sababu ya tamaa ya fedha za kigeni.

Kuna msemo ktk lugha ya Kiingereza usemao, "Truth is stranger than fiction", nafikiriki ndipo hasa walipokwana viongozi wetu na wale wafuasi wao wenye kupenda kusifu na kuabudu tu. Nahisi akili sasa zitaanza kuwarudi na kuchukua hatua stahiki ili kuokoa maisha ya wananchi.

Ni vyema Jiji la DSM likaingia kwenye karantini mara moja, ili watu wasiweze kuingia ama kutoka kwa siku angalau 21.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…