Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Corona itakuwa imeshaingia Tanzania kwa kiasi cha kutosha tu, ni kwamba wengi awaelewi dalili zake.
Mafua na kifua ni sehemu ndogo sana ya Corona kwa wale wanaongalia hizo dalili (na ukianza kukohoa kifua kikavu jua unapoelekea siko, wewe ni wale inakuathiri)
Otherwise kwa watu wenye immune system imara sana sana inakuja kwa mtindo wa homa, kukauka kwa koo, mafua kwa mbali na episodes za kupumua kwa shida for a good 10 to 20 minutes (binafsi ndio namalizana nayo tena huyu wangu ni yule mjanja ukinywa dawa unajiona umepona, ukiacha tu homa hiyo).
Watu wataishi na wagonjwa tu ndani ya nyumba zao eventually, ubaya ni kwamba serikari aitoi elimu jinsi ya kuishi na wagonjwa as if wataweza mudu wimbi la wagonjwa.
Yakikukuta kumbuka paracetamol ni muhimu sana na usijaribu ibuprofen ni majanga.
Dawa ya asili iliyokubalika huku kijijini kwetu ni limau la kukamua, asali na tangawizi; changanya chemsha kunywa (bila ya kusahau dose yako ya paracetamol).