Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
Wakati wa kujiweka tayari kwa lockdown ndio huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaingiza siasa kwenye janga la kiduniahuyo jamaa anajiona mjaaanja wakati mwenyekiti wake ameenda kujibanza kwenye majabali asionane na mtu kuepuka maambukizi.
Wasiwasi wangu isije watoto wakapeleka maambukizi mashuleni kutokea majumbani kwaoShule zitafunguliwa tar 17 /04/ 2020 kweli?
Ukazane na nani? Sema mjitahidiHali itakuwa mbaya sana lakini tukazane kufuata maelekezo ya wataalam wa afya huenda ikasaidia.
“Tumetoka kwenye maambukizi yanayoletwa kutoka nje ya nchi (imported transmission), tuko kwenye local transmission (maambukizi ya ndani).Ummy Mwalimu, Waziri wa Afya akifungua mkutano wa viongozi wa madhehebu ya dini kitaifa leo tarehe 9 Aprili 2020, amesema maambukizi kutoka nje (imported transmition) yamedhibitiwa.
sawa na bar pia zinapaswa kusitishwa kwa muda.Mbona mmekazania ibada hamuongelei bar?
Maana Ni aheri ibada inafanyika Mara moja kwa wiki lakini bar kila siku zimesheheni watu utadhani hakuna case hata moja ya Corona nchini
Sent using Jamii Forums mobile app
Namfikiria huyu mtu sipati jibu, ilikuwaje akafika mwanza? Ina maana karantini ya 14 days inatamkwa tu utekelezaji hakuna, Mungu atusaidie sanaDubai-Dar es salaam-Mwanza
Anawaanda taratibu kwa habari kubwa
Wewe umewapima na nini hao wagonjwa?Hapa Tz corona Italeta madhara yakiuchumi tu.... Maana wengi wenye corona awatangazwi.