Mindi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2008
- 3,523
- 4,992
Kabudi anaogopa kwamba hii COVID-19 ukiiongelea tu baaasi ushaipata. Kaambiwa na mganga wakeHivi Kabudi yupo wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabudi anaogopa kwamba hii COVID-19 ukiiongelea tu baaasi ushaipata. Kaambiwa na mganga wakeHivi Kabudi yupo wapi?
Hahaha mkuu hayo mahesabu ni ya ki Mikopo Chefuchefu! Kwani hao waliokufa kwa magonjwa mengine mahesabu yake unayo?Wacha tufe! Binadamu tumekuwa wengi sana kwenye uso wa Dunia! Hivi sasa tunakaribia watu Bilioni nane huku binadamu ambao wamesha kufa mpaka sasa tangu kuumbwa kwa Ulimwengu wakikadiriwa kuwa Bilioni 50! (Hii ni zaidi ya miaka 5000 BC na miaka mingine 2000 AD wamekufwa watu bilioni 50)!
Kwa maana hiyo Annual rate of death has been somewhere around watu milioni 7. (50,000,000,000/7000).
Korona haijaweza kuua hata watu laki tano kati ya watu milioni saba 'wanaotakiwa kuwa wamekufa' kwa mwaka Duniani!
Hawa kuna kitu wanatuficha hasa kwenye takwimu za walioambukizwa huu ugonjwa nchini. Ngoja ngoma isambae watafichua wenyewe.
Tumeshauri mambo ya maana mengi wakati hali ikiwa inaruhusu,but you have been slow in dealing with this issue.Tuliwaambia mfunge mipaka,mkimbizane sana na muda na kuwe na umakini mkubwa kuzuia tatizo lisifikie community spread,lakini waapi nchi hii sijui ina watu wa aina gani jamani!Sina la kusema tena!
Labda kuna scale ya ugonjwa mnayoitaka ifikiwe ili msitishe uchaguzi mkuu,manake sielewi hali hii ya uzembe kwa jambo serious hivi inatoka wapi,hata uoga hakuna?!!ajabu!!Thanks to God still fatality rate ni ndogo kwa waafrika,lakini spreading ikiwa kubwa sana means wale ambao ni immunocompromised(ambao tunao wengi Africa) watasababisha fatality rate kuwa kubwa.Ndio maana tulishauri sana pale mwanzo ilitakiwa mbinu za kivita kabisa zitumike kupambana na muda kuzuia ugonjwa huu ila waapi!mwafrika mwafrika tu..mpaka aumie ndio kichwa kinasogeza akili..msss!So dissapointed with you Ummy and your fellows!
Now you are faced with two life threatening challenges,afya za watu na uchumi wa watu,sababu tuendako hali ikizidi kuwa mbaya watu watajifungia ndani wenyewe bila amri ya kiongozi,tayari ni tatizo la kiuchumi hilo.
Nyinyi viongozi mna faida gani kwetu ikiwa kila jambo linalotaka leadership mnafeli?Mna maana gani kwetu?Hopeless!Rasilimali za ardhi ya Africa zimejaa utajiri,lakini hamuutumii kufanya nchi mnazoongoza ziwe tajiri.Mungu kawapeni mtu bora kabisa,mweusi mwenye nguvu na uvumilivu.Immunity ya mwafrika inawapeni muda wa kutosha kupambana na huu ugonjwa lakini bado hamtumii hizi priviledge za Africa.Hatukuwa na ulazima wa kufikia emergence kama ya wazungu sababu ya slow spreading ambayo kila mtu dunia nzima walishangaa na hakuna namna ya kuelezea sababu zaidi ya strong immunity aliyonayo mwafrika na idadi kubwa ya waafrika kutosafiri sana nje ya nchi,lakini nyinyi viongozi mna laana gani sijui mmeshindwa kutumia hii divine priviledge!Niende madhabahuni pa Yahweh tu sasa na kumlilia sana,kama mna lenu jambo litawarudia hili nawaambia hakuna damu ya mtanzania itaenda bure lazima mtailipa!Nimeshikwa na hasira ngoja niishie hapa.mss..!
Usemalo linaweza kuwa na ukweli ndani yake.Hapo wanaanza kutengeneza mazingira ya kutangaza idadi yenyewe na siyo zile ngonjera
♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Mkuu 'kerubi afunikae', umeandika mengi ya msingi sana, hasa kuhusu kiburi walichoonyesha hawa viongozi wetu hapo mwanzo wa ugonjwa huu.Nyinyi viongozi mna faida gani kwetu ikiwa kila jambo linalotaka leadership mnafeli?Mna maana gani kwetu?Hopeless!Rasilimali za ardhi ya Africa zimejaa utajiri,lakini hamuutumii kufanya nchi mnazoongoza ziwe tajiri.Mungu kawapeni mtu bora kabisa,mweusi mwenye nguvu na uvumilivu.Immunity ya mwafrika inawapeni muda wa kutosha kupambana na huu ugonjwa lakini bado hamtumii hizi priviledge za Africa.Hatukuwa na ulazima wa kufikia emergence kama ya wazungu sababu ya slow spreading ambayo kila mtu dunia nzima walishangaa na hakuna namna ya kuelezea sababu zaidi ya strong immunity aliyonayo mwafrika na idadi kubwa ya waafrika kutosafiri sana nje ya nchi,lakini nyinyi viongozi mna laana gani sijui mmeshindwa kutumia hii divine priviledge
Ukitaka kujua kama wanaficha au wanasema ukweli, ebu fanya kautafiti kadogo mtaani kwako. Wameugua wangapi hapo? Wamekufa wangapi hapo? Kama hawapo mtaani kwako wapo mtaa wa nani? Ufipa?Hawa kuna kitu wanatuficha hasa kwenye takwimu za walioambukizwa huu ugonjwa nchini. Ngoja ngoma isambae watafichua wenyewe.
No, they are affected but they have strong immunity to resist the disease. Hizo ndio zilikuwa speculation zao. By the way, ngoja tuone itakuwaje!Yaah nilijua mwanzo kulikua na this kind of speculations na ndio zilizoaffect fikira za Magufuli [emoji16]
Kwamba Africans are not affected
Sent using Jamii Forums mobile app
Maana wanatembea ovyoo huku mitaani wengine kama hawana wazazi!Wasiwasi wangu isije watoto wakapeleka maambukizi mashuleni kutokea majumbani kwao
Umekuwaje wewe? 😂😂😂😂😂Hambo hambo ngalo! Obhebhe olenamasala.
Hiiii bhabha uli ntumbavu sanaHambo hambo ngalo! Obhebhe olenamasala.
Najifunza kisukuma nivumilieni tu si unaona rais tulienae.. lazima twende na wakati ngw'anike(mwanamke)..Umekuwaje wewe? 😂😂😂😂😂
Bhebhe ngalo natentumbafu onene! Ole nyambafu obhebheHiiii bhabha uli ntumbavu sana
Chuuuu! Wakukaya bhadoho masala na malofindo gabhoBhebhe ngalo natentumbafu onene! Ole nyambafu obhebhe