johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwahiyo yeye kama waziri wa afya, amechukua hatua gani kwa hao madaktari walioombana rushwa?Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema rushwa katika sekta ya afya imefikia hatua mbaya kwani sasa madaktari wanaombana Rushwa hata wao kwa wao
Waziri Ummy amesema hili halikubaliki kabisa
Aidha waziri Ummy ameishauri bodi ya Kituo cha moyo cha Jakaya Kikwete kuhamia Mloganzila ambako wanaweza kujenga Hospital kubwa na ya kisasa zaidi
Source ITV
Kwani madaktari hawaugui?Madaktari wanaombana vipi rushwa wao kwa wao, wanakuwa na shida gani hao jamaa mpaka waombane rushwa?
Madaktar wanafanya kaz kubwa mno nchi hii ambayo huwes tegea hata sku1 ial wanamishahara duni sana compared na hao wanasiasa na wengne. Na mwanya wa kula rushwa ni mdogo sabab wana deal na maskini daily . Kwahyo ummy rutubishen maslah ya madaktar achen manenoWaziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema rushwa katika sekta ya afya imefikia hatua mbaya kwani sasa madaktari wanaombana Rushwa hata wao kwa wao
Waziri Ummy amesema hili halikubaliki kabisa
Aidha waziri Ummy ameishauri bodi ya Kituo cha moyo cha Jakaya Kikwete kuhamia Mloganzila ambako wanaweza kujenga Hospital kubwa na ya kisasa zaidi
Source ITV
SA100 ndiyo kayaleta hayo yote na kuyafikisha hapoWaziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema rushwa katika sekta ya afya imefikia hatua mbaya kwani sasa madaktari wanaombana Rushwa hata wao kwa wao
Waziri Ummy amesema hili halikubaliki kabisa
Aidha waziri Ummy ameishauri bodi ya Kituo cha moyo cha Jakaya Kikwete kuhamia Mloganzila ambako wanaweza kujenga Hospital kubwa na ya kisasa zaidi
Source ITV
Nje ya maaadaKama yeye mwenyewe alishinda ubunge kwa rushwa ana ubavu gani wa kukemea rushwa?
Kinachomfanya mtu apokee rushwa sio mshahara mdogo ni kukosa utu na tamaa et milion1 .5 ndogo na walimu jee wasemeje na manese na tangu ln mshahara ukatoshaMadaktar wanafanya kaz kubwa mno nchi hii ambayo huwes tegea hata sku1 ial wanamishahara duni sana compared na hao wanasiasa na wengne. Na mwanya wa kula rushwa ni mdogo sabab wana deal na maskini daily . Kwahyo ummy rutubishen maslah ya madaktar achen maneno
Umenena busara tupu, aliingia bungeni kwa uchafuzi wa jiwe, na akakubali kuwa mbunge kwa rushwa... sasa moral authority ya kukemea rushwa anaitoa wapi? aione ErythrocyteKama yeye mwenyewe alishinda ubunge kwa rushwa ana ubavu gani wa kukemea rushwa?
Shida ya huduma. Mi nipo natokea tanga na mgonjwa wangu binafsi labda baba yangu nakuja MOI. Na hapo ndipo tulipofikia. Ila huu ukweli ukweli wa ummy utamcost soon.Madaktari wanaombana vipi rushwa wao kwa wao, wanakuwa na shida gani hao jamaa mpaka waombane rushwa?
Unaongea kwa sababu umeamka na hangover ya mbege?Kama yeye mwenyewe alishinda ubunge kwa rushwa ana ubavu gani wa kukemea rushwa?
Mfumo uliopo yeye mwenyewe umemshinda ukiona hivyo. Zamani aliweza kuwadhibiti sababu alikuwa na makali na nyenzo.Sasa waziri anagundua rushwa wizarani kwake.bado anamangamanga na kulia lia sisi tufanyeje.
Nyie ndio maana huwa mnapuuzwa. Yaani nyie mkishindwa jambo lolote basi utasikia ooh rushwa, ooh mahakama hazitendi haki, oo tatizo katiba..Umenena busara tupu, aliingia bungeni kwa uchafuzi wa jiwe, na akakubali kuwa mbunge kwa rushwa... sasa moral authority ya kukemea rushwa anaitoa wapi? aione Erythrocyte
Serikali ya sita ukikomaa na rushwa nayo inakomaa na wewe. Binfsi sijawahi kuielewa kwenye kipengele cha Rushwa ,huyu adui wa hakiMfumo uliopo yeye mwenyewe umemshinda ukiona hivyo. Zamani aliweza kuwadhibiti sababu alikuwa na makali na nyenzo.
oShida ya huduma. Mi nipo natokea tanga na mgonjwa wangu binafsi labda baba yangu nakuja MOI. Na hapo ndipo tulipofikia. Ila huu ukweli ukweli wa ummy utamcost soon.