Waziri Ummy: Tanzania yawa miongoni mwa nchi zilizoongoza duniani kwa unywaji wa pombe kali kwa Vijana Umri kati ya Miaka 15-19

Naomba nitumie nafasi hii kumpomgeza Mama Kwa kuifanya nchi kuwa miongoni mwa nchi zinazofanya vizuri kwenye unywaji wa pombee
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yaani kuna watu humu u serious ni F au 0
 
Kwani hawawajui watengenezaji wawa Limit Production na Bei Ipande kupunguzwa Unywaji wa Hovyo hovyo ? Leo Hii kuna Vipombe vinapimwa kunzia Mia Tano wanategemea nini kama sio hadi wanafunzi kununua ?
 
AFADHALI HATA NA SISI TUMEONGOZA KWENYE JAMBO DUNIANI. KILA SIKU WA MWISHO TU INAKERA!!!
 
Kwasasa tunachukulia poa lakini hili ni janga kubwa sana, baada ya miaka 10 ijayo nguvu kazi itapungua kwa kiasi kikubwa. Nguvu kazi itaonekana zaidi kwa wanawake na mwisho wa siku hata vinara katika uchumi watakuwa wanawake. Kataa ndoa itashamiri sana na mwendelezo wa familia utakuwa mashakani.

Ukizunguka maeneo mengi si vijijini si mijini, mitaani kumetapakaa michupa ya energy drinks na visungura. Hata kwa wauza maziwa magengeni ukichunguza package zinazotumika sana ni hizo za energy drinks na sio chupa za maji kama ilivyokuwa awali.

Kama Serikali iliweza kuzuia uzalishaji na matumizi ya mifuko ya rambo bila shaka hata kwenye hili inawezekana.

Maduka ya mahitaji ya nyumbani hivyo vipombe na energy drinks zinakimbia kuliko maharage😁.
 
Umesema kweli kabisa kumbe zile speed ni huto tupombe
 
Naona unatusagia kunguni sisi bodaboda🀸
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…