Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Utumii pombe wala sigara na unajiita kondeboy....Toka niku tapeli mgao wa hela tulizo iba, basi una nikanyagia Sana π π€£.
Oya mi sintuw pombe, sivuti sigara
ππππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utumii pombe wala sigara na unajiita kondeboy....Toka niku tapeli mgao wa hela tulizo iba, basi una nikanyagia Sana π π€£.
Oya mi sintuw pombe, sivuti sigara
πππππππππππππππππππNaomba nitumie nafasi hii kumpomgeza Mama Kwa kuifanya nchi kuwa miongoni mwa nchi zinazofanya vizuri kwenye unywaji wa pombee
Mi yangu misosi, japo mi sadari nawa uzia shada kina fundi bishooUtumii pombe wala sigara na unajiita kondeboy....
ππππ
Kwani hawawajui watengenezaji wawa Limit Production na Bei Ipande kupunguzwa Unywaji wa Hovyo hovyo ? Leo Hii kuna Vipombe vinapimwa kunzia Mia Tano wanategemea nini kama sio hadi wanafunzi kununua ?Anaandika Ummy mwalimu Baada ya Report ya World Health Statistics 2023 ya WHO..
Taarifa zaidi kuhusu Kiwango cha Matumizi ya Pombe Tanzania na Magonjwa YasiyoAmbukiza.
Kwa mujibu wa World Health Statistics 2023 kiwango cha matumizi ya Pombe isiyozimuliwa (Pure alcohol - 100% ) nchini Tanzania kwa mwaka kwa kila mtu mwenye umri wa miaka 15 na kuendelea ni Lita 10.4. Wastani huu ukiwa ni wa juu zaidi wa wastani wa Africa (4.5 Lita); America (7.5 Lita); South East Asia (3.8 Lita); European Region 9.2 L.
Kwa kawaida Bia inayotumika (regular) huwa na kiasi cha kilevi (pure alcohol) cha asilimia 3 - 7; sasa piga hesabu lita 1 ya Pombe isiyozibuliwa ni sawa na chupa ngapi za Bia iliyozimuliwa. Halafu piga hesabu wanaokunywa Pombe nchini ni asilimia 20 ya watanzania wenye umri wa miaka 15 na kuendelea ambayo ni sawa na mtu 1 katika kila watu 5 ndio anakunywa Pombe. Then utapata jibu kama 10.4L ya Pure alcohol kwa mtu mmoja ni pombe nyingi au la?
Wajibu wetu ni kuwaeleza ukweli kuhusu Madhara ya Unywaji wa POMBE KUPITA KIASI. Unywaji wa POMBE KUPINDUKIA HUSABABISHA:
β’ Madhara kwa Ini
β’ Madhara ya Moyo na Mishipa ya Damu ikiwemo shinikizo la damu (hypertension), matatizo ya moyo kama vile kuziba kwa mishipa ya damu (atherosclerosis), na hatari ya kiharusi.
β’ Matatizo ya Afya ya Akili
β’ Kuathiri Mfumo wa Kinga
β’ Ugonjwa wa figo
β’ Ugonjwa kwenye kongosho na kuleta kisukari
Ninatoa rai kwa wananchi kupunguza unywaji wa Pombe kupita kiasi ili kujikinga na kudhibiti magonjwa yasiyo ambukiza. Uamuzi ni Wako.
#KingaNiBoraKulikoTiba #AfyaYakoWajibuWako
View attachment 2973446View attachment 2973447
View attachment 2973460
ππππππππMi yangu misosi, japo mi safari nawa uzima shada kina fundi bishoo
AFADHALI HATA NA SISI TUMEONGOZA KWENYE JAMBO DUNIANI. KILA SIKU WA MWISHO TU INAKERA!!!Anaandika Ummy mwalimu Baada ya Report ya World Health Statistics 2023 ya WHO..
Taarifa zaidi kuhusu Kiwango cha Matumizi ya Pombe Tanzania na Magonjwa YasiyoAmbukiza.
Kwa mujibu wa World Health Statistics 2023 kiwango cha matumizi ya Pombe isiyozimuliwa (Pure alcohol - 100% ) nchini Tanzania kwa mwaka kwa kila mtu mwenye umri wa miaka 15 na kuendelea ni Lita 10.4. Wastani huu ukiwa ni wa juu zaidi wa wastani wa Africa (4.5 Lita); America (7.5 Lita); South East Asia (3.8 Lita); European Region 9.2 L.
Kwa kawaida Bia inayotumika (regular) huwa na kiasi cha kilevi (pure alcohol) cha asilimia 3 - 7; sasa piga hesabu lita 1 ya Pombe isiyozibuliwa ni sawa na chupa ngapi za Bia iliyozimuliwa. Halafu piga hesabu wanaokunywa Pombe nchini ni asilimia 20 ya watanzania wenye umri wa miaka 15 na kuendelea ambayo ni sawa na mtu 1 katika kila watu 5 ndio anakunywa Pombe. Then utapata jibu kama 10.4L ya Pure alcohol kwa mtu mmoja ni pombe nyingi au la?
Wajibu wetu ni kuwaeleza ukweli kuhusu Madhara ya Unywaji wa POMBE KUPITA KIASI. Unywaji wa POMBE KUPINDUKIA HUSABABISHA:
β’ Madhara kwa Ini
β’ Madhara ya Moyo na Mishipa ya Damu ikiwemo shinikizo la damu (hypertension), matatizo ya moyo kama vile kuziba kwa mishipa ya damu (atherosclerosis), na hatari ya kiharusi.
β’ Matatizo ya Afya ya Akili
β’ Kuathiri Mfumo wa Kinga
β’ Ugonjwa wa figo
β’ Ugonjwa kwenye kongosho na kuleta kisukari
Ninatoa rai kwa wananchi kupunguza unywaji wa Pombe kupita kiasi ili kujikinga na kudhibiti magonjwa yasiyo ambukiza. Uamuzi ni Wako.
#KingaNiBoraKulikoTiba #AfyaYakoWajibuWako
View attachment 2973446View attachment 2973447
View attachment 2973460
Umesema kweli kabisa kumbe zile speed ni huto tupombeKuna hii collabo kati ya energy drink na double kick au kisungura.
Unakuta kijana amemix energy drink na double kick ,akipiga funda anaweka chupa ya pombe mfuko wa shati alafu anawasha bodaboda anasepa zake kufuata abiria.
Njiani akipishana na magari anahisi anaendesha greda alafu magari anayaona kama makopo ya plastick.
Collabo ya bodaboda na visungura vilivyomixiwa na energy drinks inaua sana vijana kwa kweli.
πππππππππππππππMm nikinywa serengeti lite mbili tuu nabebwa kurudishwa home π
Mm sio mlevi kabisa ππππππππππππππππ
Kumbe mwepesi hivi dogo
Nilitaka kukusahau kisa umebadili avatarVijana wengi wanakufa sababu kuu ni pombe chafu na wanawake wazee.
Naona unatusagia kunguni sisi bodabodaπ€ΈKuna hii collabo kati ya energy drink na double kick au kisungura.
Unakuta kijana amemix energy drink na double kick ,akipiga funda anaweka chupa ya pombe mfuko wa shati alafu anawasha bodaboda anasepa zake kufuata abiria.
Njiani akipishana na magari anahisi anaendesha greda alafu magari anayaona kama makopo ya plastick.
Collabo ya bodaboda na visungura vilivyomixiwa na energy drinks inaua sana vijana kwa kweli.
Sasa wewe mshamba mkuuMm sio mlevi kabisa π