Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Nipo tayari mkuuJobless pro max....
Kazi zipo huku mkuu je utaweza kazi za kukutoa utu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo tayari mkuuJobless pro max....
Kazi zipo huku mkuu je utaweza kazi za kukutoa utu
Sawa mkuu ngoja basi niongee na viongozi haoa tujue tunakuweka Vipi 😂😂😂😂Nipo tayari mkuu
Nakubali nakubali mzee wangu 😎Sawa mkuu ngoja basi niongee na viongozi haoa tujue tunakuweka Vipi 😂😂😂😂
Ushapiga chemistry ya konyagi na ukwaju.....Kuna hii collabo kati ya energy drinks na double kick au kisungura.
Unakuta kijana amemix energy drink na double kick ,akipiga funda anaweka chupa ya pombe mfuko wa shati alafu anawasha bodaboda anasepa zake kufuata abiria.
Akikaa tako Moja haligusi popote (anakaa upande) alafu mguuni ana malapa.
Njiani akipishana na magari anahisi anaendesha greda alafu magari anayaona kama makopo ya plastick.
Collabo ya bodaboda na visungura vilivyomixiwa na energy drinks inaua sana vijana kwa kweli.
RIP vijana wa Arusha,Chugastan Republic.