Kinacho nishangaza ni kuwa inakuwaje RAIS MWENYEWE MAMLAKA HAJALI WATU WAKE?? NA RAISI KMA ANAWAONE WIVU WATU WAKE HASA MASKIN MAANA ANAWAPORA KILA KITU CHAO je shida iko wap na roho ya ubinafsi huo inakuwaje kwa watu amabao hata kipato Chao wengine ni kidgo sana na hata baadhi masikin ya MUNGU hawali milo mi 3 kwa siku unawakandamiza ila viongozi wapo wanamuwaza ZUHURA kuliko kazi walio pewa dhamna ya kuongoza wanajimilikisha wizara halafu KIONGOZI MKUUU YUPO TU