Waziri Ummy: Toto Afya Kadi haijafutwa ila sasa Watasajiliwa Shuleni kwa gharama ileile ya Tsh 50,400

Waziri Ummy: Toto Afya Kadi haijafutwa ila sasa Watasajiliwa Shuleni kwa gharama ileile ya Tsh 50,400

Benjamin Mkapa na Kikwete mlikuwa Bora kuliko hawa.
 
Kinacho nishangaza ni kuwa inakuwaje RAIS MWENYEWE MAMLAKA HAJALI WATU WAKE?? NA RAISI KMA ANAWAONE WIVU WATU WAKE HASA MASKIN MAANA ANAWAPORA KILA KITU CHAO je shida iko wap na roho ya ubinafsi huo inakuwaje kwa watu amabao hata kipato Chao wengine ni kidgo sana na hata baadhi masikin ya MUNGU hawali milo mi 3 kwa siku unawakandamiza ila viongozi wapo wanamuwaza ZUHURA kuliko kazi walio pewa dhamna ya kuongoza wanajimilikisha wizara halafu KIONGOZI MKUUU YUPO TU
 
Wadau Kwanini ummy kafuta bima ya afya ya toto inayohusu watoto wachanga
 
Back
Top Bottom