Waziri Ummy, Usipotoshwe maamuzi yako kuhusu ADDO na wafamasia mtawaumiza Watanzania

Sasa ni mfamasia gani hajui dawa gani zinatumika after surgery or before surgery kwa ajili ya prophylaxis?..

Kuwa serious mkuu.
Wewe Unaweza nipa sababu moja why Ceftriaxone inatumika Before surgery.????
Au ndo umekariri kama Madoctor wenzio...
 
Wewe Unaweza nipa sababu moja why Ceftriaxone inatumika Before surgery.????
Au ndo umekariri kama Madoctor wenzio...
Mimi sio doctor mkuu,..maybe umekosea kujibu reply.

Ceftriaxone inatumika pre-op ili kuzuia infection(specifically,bacterial infection) kutokutokea baada ya operation.
 
Prop yupo sahihi kwa walofanya kazi hospitali kazi nyingi za utoaji dawa zinafanywa na manesi baada ya kukotoa mahitaji yalioagizwa na madaktari,na kwenda kuchukua famasi au stoo waliko wafamasia na manesi wanao tunza stoo.
 
Mada nzuri sana ya kujadili jambo muhimu lakini imegeuka kupima ubavu kati ya WAFAMASIA NA MADKATARI.Hii ni AIBU kubwa.Tuangalie sababu za Ummy kufanya alichofanya,faida na hasara zake.Hii mitusi ya kuonyeshana vyeo haina faida kwetu.
 
Sevoflurane chupa laki nne..pesa mingi hiyo..na maeneo hayo yenye pesa ndo utata unapokuja.
 
Mimi sio doctor mkuu,..maybe umekosea kujibu reply.

Ceftriaxone inatumika pre-op ili kuzuia infection(specifically,bacterial infection) kutokutokea baada ya operation.
Why sasa hata baada ya Operation huwa anapewa??? Why asipewe tu post op???
 
Sevoflurane chupa laki nne..pesa mingi hiyo..na maeneo hayo yenye pesa ndo utata unapokuja.
Shida sanaaa hilo suala lililtea vitaa kali Mnoo.. Watu nyuzi walikuwa wanabeba sijui hizi Controlled ndo usiseme mtu anataka Akija achukue morphine anavyotakaa.

Fentanyl ndo usisemee sasa ukiwawekea utaratibu Vitaa inaanzaaa!..!! Kuna shidaa sanaa...
 
Bora wameifuta hiyo ADDO maana haingii akilini eti MD haruhusiw kuuza dawa mpaka awe na cheti cha ADDO wakat pharmacology yote ipo kichwan,tena mbaya Zaid unakuta Baadhi ya watu wanaopewa hiyo ADDO wengine ni form 4 failures.
Aisee nilishangaa
Bora tu imefutwa
 
Hapo ndipo huwa nawashangaa wanaosema eti Wafamasia hawajui magonjwa..bila kujua magonjwa utajuaje dawa na kuzitengeneza?.

Mfano ili utengeneze dawa kwa ajili ya kutibu Parkinson's disease ni lazima ujue yafuatayo(ambayo basically wafamasia tunayajua)

✓Parkinson's disease inasababishwa na kiwango cha dopamine kuwa chini kunakosababishwa na nerve cells zinazotengeza dopamine kufa..dopamine ni messenger kwenye brain kuco-ordinate body movements.

✓Sasa basi ili tuweze kutibu ugonjwa huu hatuna budi kuongeza kiwango cha dopamine kwenye ubongo...Watu wanaingia maabara wanatengeneza dopamine analog na kuitengeneza in a sense that itafika kwenye ubongo vizuri kupitia kizuizi cha brain blood(BBB)..wanaongeza na kitu kingine ili isiweze kuvunjwa kabla haijafika kwenye ubongo.i.e wanaiongezea carbidopa..

Na hapo tunakuwa tumetengeneza dawa ya Parkinson's disease.

Ni matusi makubwa watu kusema Wafamasia hawajui magonjwa au mwili wa binadamu unavyofanya kazi..Matusi makubwa.
 
Sasa muulize MD why levodopa lazima iwe na combinationa na Carbidopaa..!!![emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Maana ukute wanajua ni dawa mojaaa...
Na asipoenda Google bhasi hana cha kujibuu...
 
Nawaza kizazi chenye madaktari ndo kinaishia (baba/mama zetu).
Hawa wa shhv Mungu atutetee tu.
Vinavyoendelea huku mahospitalini,Mungu ndo anajua!
 
Huu mjadala ukiendelea bila kuainisha kazi za mfamasia kwenye sekta ya afya hasa hasa hospitalini ntawaona wote mnajikweza bila sababu ya msingi

Mfamasia atolee maelezo kuhusu majukumu yake hospitalini kulingana na taaluma yake alivyofundishwa chuoni

Na daktari nae aelezee majukumu yake
Kulingana na taaluma yake
 
Kwamba mfamasia hajui lolote kuhusu magonjwa na dalili?!
Kwamba miaka yote mi4 chuo tunajifunza kuhifadhi na kusambaza dawa?!
Omba mtaala wa Fani ya Ufamasia chuo uupitie halafu UTUOMBE RADHI!

 
Duh[emoji848]
 
Naona wazee wa afya mnatugombania sana, naona biashara zenu zinaingiliwa. Ma Nurse Mungu awalinde sana maana katika maisha ya kawaida kabisa huku mtaani mnatusaidia sana kuliko hata hao ma MD na wafamasia.
 
Madokta wa mifugo nao wako mbioni kuleta andiko lao la kuanza kutibu binadamu maana nao ni mfugo kama ilivyo mifugo mingine[emoji125]
 
Sasa muulize MD why levodopa lazima iwe na combinationa na Carbidopaa..!!![emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Maana ukute wanajua ni dawa mojaaa...
Na asipoenda Google bhasi hana cha kujibuu...
T.Levodopa/Carbidopa 10mg/100mg OD 2/52


Achen kulinganisha MDs na mambo yenu hayo !!.


Jambo pekee la kujivunia ni kwamba sote tunawajibika juu ya Afya .


Alichokisema Mkuu , ni sahihi, Watanzania wengi hawana kasumba ya kwenda Hosp, na tafiti nyingi zimeonyesha Watanzania wanatabia ya kujitibia wenyewe.


Unapolazimisha Mfamasia ndio akutane na Mtanzania aliyekuja Dukan kwako akilalama maumivu ya tumbo yanayosambaa kuelekea mgongon, lkn akiinama yanapoa , Homa ,kichefu na kutapika


Unategemea Mfamasia atampa nn Sasa ??. Huko ni kukoswa akili.
 
Wizara ya Afya imebainisha hiviView attachment 2228561
 
T.Levodopa/Carbidopa 10mg/100mg OD 2/52...
Hujaeleweka mkuu......kuandika Levodopa carbidopa unamaana kwamba nawewe unajua dawa sio?hii si hata kwenye STG ipo au Medscape

Simple question: kwanini Levodopa iwe OD na isiwe TDS au BD???

Levodopa ndio Dopamine analog, sasa kwanini apewe combination ya carbidopa?

Alafu,Lazima ujue pharmacy nini mkuu.Pharmacy ni business of Pharmacist

Katika kugawa dawa inategemea na conditions

Kuna dawa ambazo hutolewa bila Cheti(OTC..Over The Counter)

Kuna dawa anatoa pharmacist na sio Technician, assistant au Dispenser (Tunaziita PHARMACIST ONLY MEDICINES)

alafu kuna dawa zinatolewa na Cheti (Prescription only Medicines)

Alafu hata Doktari akae pharmacy hauruhusiwi kuprescribe dawa, Prescription inaandikaa kwenye sehemu iliyopewa authority hiyo and not otherwise....
 
Mkuu mbona mimi nimechangia kisomi sana !! wewe unawaza hela tu kwenye taaluma !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…