KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Mfamasia hana lazima ya kuwepo, kwa sababu kuna Anaesthesiologist, ambaye anahusika na dawa za usingizi katika upasuaji.Katika list ile kuna dr zaid ya mmoja ambapo mwingine anakuwa msaidiz kisha hapo nurse lazma
Ila mfamasia hapo hausiki ila tu kama patakuwa na uhaba basi ataingizwa Naye ila sio sehemu yake
Kwa hiyo hakuna lazima ya Mfamacia kuwepo.
Zaidi ya hizo dawa chache zinazotumika hapo, tena kwa muda mfupi tu, hakuna lazima yoyote ya mfamacia pale.