Yani anataka utengeneze dawa za Migrainw alafu anakuja kuliaa huku Mfamasia hajui magonjwaaa sasa hizo dawa zinatengenezwa na mtu asiejua ugonjwa????Umejenga hoja vizuri sana. Unatengeneza vipi dawa bila kujua magonjwa kwa kina? Nafikiri huu mjadala utasaidia kuweka standards na kuondoa huu mkanganyiko.
Hahaaaaaa. Nadhani app ni Kwa ajili ya kuonesha dalili, Kisha mtu aende hospital kwa vipimo zaidi. App inasoma namna sehemu ya nyonga inavyoenda juu na chini.Kwenye hiyo App hata walevi nao watakuwa na Parkinsonisim[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kuna daktari alimuandikia mtoto captopril 0.13mg tds 1/12..lakini alikuwa hajui dose hii itapatikanaje ikiwa kidonge kina 25mg..jasho lilimtoka...akaja pharmacy kuuliza akajibiwa tuachie hiyo ni kazi yetu.Kazi mojawapo ya Mfamasia ni Drug design and development, au kazi ndogo tu ya Compounding
Muulize MD kama ana ABC eneo hili ili ujue kama kweli anaweza kufanya kila jukumu la mfamasia
sawa mkuu nimelisha ubongo kitu asbh hii.WAZIRI UMMY MWALIMU, USIPOTOSHWE NA WAFAMASIA KUHUSU ADDO, MTAANGAMIZA AFYA ZA WATANZANIA.
Na Prof Patrick Koboko(MD,MMED,PhD)
Salaam Mhe Waziri!
Kwanza kabisa nikupe pole na hongera nyingi sana kwa majukumu iliyonayo ya ujenzi wa taifa hususani dhamana kubwa uliyopewa ya kushikilia afya za watanzania. Maana wewe ukitetereka na afya za watanzania zinatetereka.
Mhe Waziri Ummy Mwalimu umekua ni miongoni mwa wanasiasa wanamama wanaofanya kazi kubwa sana na nzuri sana katika kulijenga taifa hili na hii ndiyo maana ulirejeshwa katika katika wizara iliyopo hivi sasa.
Lakini nikushauri Mama yangu kuna watu wanekuzunguka usipokua makini watakuharibia kazi, wanatumia mwanya kwa sababu wewe siyo Mtaaluma katika fani ya Afya. Katika hili swala la ADDO umepotoshwa na msipoangalia mnaenda kuliangamiza taifa, titatolea sababu hapa chini.
ADDO NI MRADI WA NANI?
Mhe waziri, tunashukuru kwamba mmesitisha mpango wa kutoa mafunzo kwa watoa dawa za binadamu ambao hawana taaluma ya famasia almaarufu kama ADDO. Huu ulikua ni mradi ambao ulibuniwa na baadhi ya wachumia tumbo wachache ambao walitaka kujitengenezea namna flani ya kula pesa za watanzania wenye taaluma za afya hasa wauguzi na matabibu kwa madai kwamba hawana taaluma za famasia(Sijui kuna uhusiano gani hapa). Huu ulikua ni upigaji wa pesa za watanzania tena walitoza pesa nyingi sana kuanzia shilingi 250,000 na kuendelea. Kuondoa ADDO ni kuwandolea ulaji wachumia tumbo hawa ambao hawakua na maslahi kwa taifa.
Maana vyeti vilitolewa kwa rushwa nyingi sana na hata walipewa wasiokua na taaluma za afya ndiyo maana tuliona yanayotokea kwenye baadhi ya maduka, mtu ana cheti cha ADDO lakini taaluma ya Afya hana. Niwe muwazi mradi huu uliratibiwa na baraza la famasia Tanzania, hata leo ukaguzi ukifanyika yatagundulika Madudu mengi sana na ningeomba mamlaka za serikali kama vile PCCB na CAG walichunguze baraza la famasia Tanzania mtajionea mengi.
KATI YA MFAMASIA, NESI NA DAKTARI NANI ATOE DAWA KWA MGONJWA? WAZIRI UMEPOTOSHWA!
1.MFAMASIA KAZI YAKE NI IPI?
Kwa bahati mbaya sana Mhe waziri sijui lengo lako la kusitisha mafunzo ya ADDO ni kudhibiti mianya ya Rushwa au mnalenga kazi hii ifanywe na wafamasia pekee? Kama lengo ni wafamasia watoe dawa kwa wagonjwa basi umepotoshwa vibaya sana mnataka kuangamiza Afya za wananchi.
✓Kazi ya Mfamasia ni kutunza na kuhifadhi dawa,kusambaza maeneo yenye uhitaji pamoja na kutengeneza dawa viwandani na siyo kutoa dawa moja kwa moja kwa mgonjwa . Kwahiyo kazi yake siyo drugs Administration, hii ni kazi ya watu wengine. Mfamasia hajasomea Magonjwa wala wadudu wanaosababisha maradhi, hajasomea dalili za magonjwa. Hivi anapoenda mgonjwa kwenye duka la dawa na hana cheti cha daktari, Mfamasia anajua Diagnosis ya ugonjwa wake? Amesomea dalili? Ni maduka mangapi yanayotoa dawa kwa vyeti vya madaktari nchini? Hivi mnajua kua mnataka kuliangamiza taifa kwa maslahi ya wachache?
2.DAKTARI NA NESI KWENYE UTOAJI WA DAWA
Sihitaji kutoa utetezi katika taaluma hizi kwa sababu mimi ni mwanataaluma pia lakini huu ndio ukweli na Mhe waziri nitoe somo hapa ili ukatae wale waliokupotosha.
✓ Daktari yeye amesomea magonjwa na dalili zake hivyo, mgonjwa anapoumwa tayari anajua anaumwa kitu gani na anajua ampe dawa gani maana dalili za ugonjwa husika anazijua, sasa unaposema Mfamasia akae dukani auze dawa, akija mgonjwa bila cheti atanisaidia nini? Atatambuaje ugonjwa husika na kwa taaluma gani?
✓Nesi hana tofauti sana na daktari maana naye anasomea magonjwa na dalili zake pamoja kutoa dawa moja kwa moja kwa mgonjwa na yeye amejikita zaidi katika kumwangalia mgonjwa anapopata matibu. Kiutaratibu Nesi ndiye anayeenda na cheti cha daktari katika dirisha la dawa na atapewa dawa na Mfamasia kisha ataenda kumpa mgonjwa dawa maana anajua anatoa dawa ipi kwa mgonjwa na kwa ugonjwa upi. Ndiye anayepokea maagizo ya daktari kisha aende kwa mhifadhi dawa ambaye ni Mfamasia ampatie ili akampe mgonjwa.
Halafu kuna kikundi cha watu wachache wanaanzisha miradi wakaupa jina la ADDO ili manesi na madaktari wasomee kisha wakauze dawa.Mbona mahospitalini manesi na madaktari wanatoa dawa hawasomi ADDO? Utapeli mtupu!
USHAURI: NINI KIFANYIKE KATIKA UTOAJI WA DAWA NCHINI KWENE MADUKA YA DAWA?
1.KWENYE PHARMACY ZA JUMLA NA REJA REJA.
(i)Kwakua maduka haya ni makubwa na yana dawa nyingi, pawepo na Wafamasia ambao kazi zao ni kuhifadhi na kusambaza dawa kwenda kwa wauzaji au watoa dawa na siyo wao kuuza dawa kwa wagonjwa moja kwa moja maana wao hawana taaluma ya magonjwa.
(ii) Kuwepo na nesi au tabibu kwa ajili ya kutoa dawa kwa wagonjwa walioandikiwa kwenye vyeti au wawasikilize na kisha kubaini wanaumwa nini na kisha watoe dawa. Hizi ndizo kazi zao hasa kwenye maduka ya rejareja. Mfamasia hana utaalam wa kubaini ugonjwa, anaweza kuleta matatizo kwa mgonjwa.
(iii) Dawa zisitolewe bila cheti cha daktari katika duka lolote na ukaguzi wa kila mara ufanyike. Maana anaweza kutoa dawa mtu ambaye hana taaluma ya magonjwa ikiwa mgonjwa hana cheti na kuleta madhara makubwa.
2.MADUKA YA DAWA MUHIMU
Kwakua maduka haya mengi yapo sehemu ambazo ziko mbali na huduma za afya, wataalam wenye taaluma za kubaini mgonjwa anaumwa nini kupitia dalili waachwe wauze au watoe dawa. Hawa ndio waliosomea Magonjwa,dalili pamoja na kutibu. Hapa anaweza kukaa daktari au nesi akauza dawa. Kumwambia Mfamasia akae dukani auze dawa wakati hajasomea dalili wala kubaini magonjwa ni kutaka kuleta madhara makubwa kwa wagonjwa.
Kwakua maduka haya hayana dawa nyingi, uhifadhi unaweza kufanywa na daktari au nesi mwenye stoo maana pia wamefundishwa kipengele hicho.
HITIMISHO
Nishsuri tuwe na chombo cha ukaguzi wa maduka ya dawa ambacho kitahusisha wanataaluma wa Famasia,Udaktari na Uuguzi ili ifanye kazi ya kusimamia maduka ya madawa na isifanywe na Barazaa Famasia wala TMDA. Hatutaanza sisi, mataifa ya wenzetu wanafanya hivi na wamefanikiwa sana wala hawana migogoro kama hii ya kwetu.
Baraza la Famasia libakie kazi yake kudhibiti taaluma na siyo kukagua maduka ya dawa.TMDA wanamajukumu makubwa wabakie kukagua dawa zinazoingia nchini na vifaa tiba na kukakua ubora wa madawa viwandani huko zinakotengezwa, kwenye maduka ya dawa kiundwe chombo maalumu kijitegemee.
Prof Patrick Koboko(MD,MMED, PhD in Human anatomy)
Hata mim nimeshangaa sana...kwamba njee ya hospital daktari hajui dawa!!!!Mungu ibariki Jf , huu uzi umefungua mambo mengi mno , kiasi ambacho kama serikali ikiusoma tunaweza kurudi na kubadilisha baadhi ya mambo kwenye sera , nimependa sana Wachangiaji kuliko hoja nyingi za mleta uzi .
Japo kuna kila mtu kuvutia kwake , lakini mwisho wa siku kunahitajika mabadiliko , maana kama Daktari anaruhusiwa ku Prescribe inawezekanaje akakatazwa kuuza dukani ( yaani anakatazwa kuweka dawa kwenye bahasha na kumpa mgonjwa nje ya hospitali ) ? ni lazima miongozo iwe twisted somehow .
Every medical personnel wants to be a doctor?...Stop this nonsense aisee.Hapa naona grandiosity kati ya wafamasia na madaktari..mfamasia anajiona yeye ndo anaweza kutoa dawa na kutibu kwakua ana basic knowledge ya physiology,bio chem etc na Dr anajiona anaweza kuwa mafamasia kwakua ana basic knowledge ya pharmacology kadhalika nurses na watu wa maabara …mfamasia anaamini anajua magonjwa yoote na anajua dawa zoote wkt ni utopolo tu..Dr anadhan anajua dawa zoote(from adv eff ,interactions etc kuliko mfamasia nao ni utopolo tu..kuna forum flan huko telegram kulikua na mtifuano mkali sana kati nurses na Dr maana nurses wanaona wanajua everything na Dr nao wanadai nurses sio issue wanaweza kufanya kaz kama ma Dr na ma nesi pia aisee ilikua issue..
My take..kujua anatomy,physiology haikufanyi ww kuwa Dr maana hata radiographer wanasoma hayo masomo na pia kusoma basic pharmacology hakukufanyi wewe kua pharmacist maana hata nurses wanasoma pharmacology..kila mmoja akae kwenye nafasi yake Dr ona mgonjwa fanya vpimo na toa dawa..watu wa madawa watoe dawa kama kuna contradiction wawasilinae kupata muafaka maana jopo la ma Dr wanaweza kukaa kwenye clinical meeting zao hasa za specific departments ambapo wakaamua mgonjwa X aanze dawa flan so kama mfamasia anaona kuna walakin aonane na wahusika kwa clarification na sio kusema Sitoi daqa kwakua dawa x na Z zina interact au dawa hii ni contraindicated kwa mgonjwa huyu u never know labda walikaa waka outweigh risk ya ugonjwa over side effects za dawa so kukaa pamoja mkaangalia namna ya kumsaidia mgonjwa ndo la msingi..kwa ufupi mfamsia si Dr hata kama anajua BAADHI ya diagnosis ya magonjwa kwa maana hawez kujua kila kiu kamwe hahaha au sio mzee wa famasi unaweza kufanya reduction ya colles # kwakua unajua anatomy..!na Dr si mfamasia kwakua hawez kujua kila kitu kuhusu madawa maana kila mtu kaingia deep kwenye masomo yake..EVERY MEDICAL PERSONNEL WANNA BE A DOCTOR [emoji1788]
Busara ingekuelekeza kujibu hoja badala ya kumshambulia kibinafsi. Nakushauri shambulia hoja yake kwa kuonesha yalipo mapungufu ya hoja yake bila kutafuta namna ya kumshusha hadhi yake.Ooooh!
Huyu ni dokta na Profesa, kweli?
Nchi yetu hii imepoptea kweli kweli.
Hajui Famasia kazi yake ni nini, na wala hajui kwamba kuna sheria kabisa inayotambua kazi ya Famasia duniani kote?
Andiko lote toka mwanzo halionyeshi kuwa huyu ni mtaalam kama inavyoonyesha katika utambulisho wake, MD, Ph.D. n.k.
Ni kama andiko la mtu ambaye kamaliza kidato cha nne? Leo hii anatafuta kujitambulisha kwa waziri naye awe mshauri wa waziri?
Dr Koboko, kama wewe kweli ni daktari, udaktari wako ni wa shaka sana, na huo uProfesa unaojitangaza nao sijui umeupata wapi kama hata hujui kazi za mtaalam ambaye unapaswa kushirikiana naye wakati wa kumhudumia mgonjwa. Kama umesomea Muhimbili, kuna chuo cha maFamaciia hapo hapo na wote mpo chuoni hapo, utashindwa hata kudadisi na kujua famaciia anasoma nini?
Unasema "administration of drugs" hiyo ni kazi ya daktari? Na huko kumpa mgonjwa dawa, ina maana wagonjwa wote wapo hospitalini wamelazwa wakisubiri kupewa dawa wakiwa mahtuti?
Hujui sehemu nyingine nyingi ambako dawa nyingi zaidi hutolewa bila uwepo wa nesi wala daktari?
Hata historia ya hizi taaluma huijui ilikotokea?
Mna uhakika ili andiko limetoka kwa Prof?WAZIRI UMMY MWALIMU, USIPOTOSHWE NA WAFAMASIA KUHUSU ADDO, MTAANGAMIZA AFYA ZA WATANZANIA.
Na Prof Patrick Koboko(MD,MMED,PhD)
Salaam Mhe Waziri!
Kwanza kabisa nikupe pole na hongera nyingi sana kwa majukumu iliyonayo ya ujenzi wa taifa hususani dhamana kubwa uliyopewa ya kushikilia afya za watanzania. Maana wewe ukitetereka na afya za watanzania zinatetereka.
Mhe Waziri Ummy Mwalimu umekua ni miongoni mwa wanasiasa wanamama wanaofanya kazi kubwa sana na nzuri sana katika kulijenga taifa hili na hii ndiyo maana ulirejeshwa katika katika wizara iliyopo hivi sasa.
Lakini nikushauri Mama yangu kuna watu wanekuzunguka usipokua makini watakuharibia kazi, wanatumia mwanya kwa sababu wewe siyo Mtaaluma katika fani ya Afya. Katika hili swala la ADDO umepotoshwa na msipoangalia mnaenda kuliangamiza taifa, titatolea sababu hapa chini.
ADDO NI MRADI WA NANI?
Mhe waziri, tunashukuru kwamba mmesitisha mpango wa kutoa mafunzo kwa watoa dawa za binadamu ambao hawana taaluma ya famasia almaarufu kama ADDO. Huu ulikua ni mradi ambao ulibuniwa na baadhi ya wachumia tumbo wachache ambao walitaka kujitengenezea namna flani ya kula pesa za watanzania wenye taaluma za afya hasa wauguzi na matabibu kwa madai kwamba hawana taaluma za famasia(Sijui kuna uhusiano gani hapa). Huu ulikua ni upigaji wa pesa za watanzania tena walitoza pesa nyingi sana kuanzia shilingi 250,000 na kuendelea. Kuondoa ADDO ni kuwandolea ulaji wachumia tumbo hawa ambao hawakua na maslahi kwa taifa.
Maana vyeti vilitolewa kwa rushwa nyingi sana na hata walipewa wasiokua na taaluma za afya ndiyo maana tuliona yanayotokea kwenye baadhi ya maduka, mtu ana cheti cha ADDO lakini taaluma ya Afya hana. Niwe muwazi mradi huu uliratibiwa na baraza la famasia Tanzania, hata leo ukaguzi ukifanyika yatagundulika Madudu mengi sana na ningeomba mamlaka za serikali kama vile PCCB na CAG walichunguze baraza la famasia Tanzania mtajionea mengi.
KATI YA MFAMASIA, NESI NA DAKTARI NANI ATOE DAWA KWA MGONJWA? WAZIRI UMEPOTOSHWA!
1.MFAMASIA KAZI YAKE NI IPI?
Kwa bahati mbaya sana Mhe waziri sijui lengo lako la kusitisha mafunzo ya ADDO ni kudhibiti mianya ya Rushwa au mnalenga kazi hii ifanywe na wafamasia pekee? Kama lengo ni wafamasia watoe dawa kwa wagonjwa basi umepotoshwa vibaya sana mnataka kuangamiza Afya za wananchi.
✓Kazi ya Mfamasia ni kutunza na kuhifadhi dawa,kusambaza maeneo yenye uhitaji pamoja na kutengeneza dawa viwandani na siyo kutoa dawa moja kwa moja kwa mgonjwa . Kwahiyo kazi yake siyo drugs Administration, hii ni kazi ya watu wengine. Mfamasia hajasomea Magonjwa wala wadudu wanaosababisha maradhi, hajasomea dalili za magonjwa. Hivi anapoenda mgonjwa kwenye duka la dawa na hana cheti cha daktari, Mfamasia anajua Diagnosis ya ugonjwa wake? Amesomea dalili? Ni maduka mangapi yanayotoa dawa kwa vyeti vya madaktari nchini? Hivi mnajua kua mnataka kuliangamiza taifa kwa maslahi ya wachache?
2.DAKTARI NA NESI KWENYE UTOAJI WA DAWA
Sihitaji kutoa utetezi katika taaluma hizi kwa sababu mimi ni mwanataaluma pia lakini huu ndio ukweli na Mhe waziri nitoe somo hapa ili ukatae wale waliokupotosha.
✓ Daktari yeye amesomea magonjwa na dalili zake hivyo, mgonjwa anapoumwa tayari anajua anaumwa kitu gani na anajua ampe dawa gani maana dalili za ugonjwa husika anazijua, sasa unaposema Mfamasia akae dukani auze dawa, akija mgonjwa bila cheti atanisaidia nini? Atatambuaje ugonjwa husika na kwa taaluma gani?
✓Nesi hana tofauti sana na daktari maana naye anasomea magonjwa na dalili zake pamoja kutoa dawa moja kwa moja kwa mgonjwa na yeye amejikita zaidi katika kumwangalia mgonjwa anapopata matibu. Kiutaratibu Nesi ndiye anayeenda na cheti cha daktari katika dirisha la dawa na atapewa dawa na Mfamasia kisha ataenda kumpa mgonjwa dawa maana anajua anatoa dawa ipi kwa mgonjwa na kwa ugonjwa upi. Ndiye anayepokea maagizo ya daktari kisha aende kwa mhifadhi dawa ambaye ni Mfamasia ampatie ili akampe mgonjwa.
Halafu kuna kikundi cha watu wachache wanaanzisha miradi wakaupa jina la ADDO ili manesi na madaktari wasomee kisha wakauze dawa.Mbona mahospitalini manesi na madaktari wanatoa dawa hawasomi ADDO? Utapeli mtupu!
USHAURI: NINI KIFANYIKE KATIKA UTOAJI WA DAWA NCHINI KWENE MADUKA YA DAWA?
1.KWENYE PHARMACY ZA JUMLA NA REJA REJA.
(i)Kwakua maduka haya ni makubwa na yana dawa nyingi, pawepo na Wafamasia ambao kazi zao ni kuhifadhi na kusambaza dawa kwenda kwa wauzaji au watoa dawa na siyo wao kuuza dawa kwa wagonjwa moja kwa moja maana wao hawana taaluma ya magonjwa.
(ii) Kuwepo na nesi au tabibu kwa ajili ya kutoa dawa kwa wagonjwa walioandikiwa kwenye vyeti au wawasikilize na kisha kubaini wanaumwa nini na kisha watoe dawa. Hizi ndizo kazi zao hasa kwenye maduka ya rejareja. Mfamasia hana utaalam wa kubaini ugonjwa, anaweza kuleta matatizo kwa mgonjwa.
(iii) Dawa zisitolewe bila cheti cha daktari katika duka lolote na ukaguzi wa kila mara ufanyike. Maana anaweza kutoa dawa mtu ambaye hana taaluma ya magonjwa ikiwa mgonjwa hana cheti na kuleta madhara makubwa.
2.MADUKA YA DAWA MUHIMU
Kwakua maduka haya mengi yapo sehemu ambazo ziko mbali na huduma za afya, wataalam wenye taaluma za kubaini mgonjwa anaumwa nini kupitia dalili waachwe wauze au watoe dawa. Hawa ndio waliosomea Magonjwa,dalili pamoja na kutibu. Hapa anaweza kukaa daktari au nesi akauza dawa. Kumwambia Mfamasia akae dukani auze dawa wakati hajasomea dalili wala kubaini magonjwa ni kutaka kuleta madhara makubwa kwa wagonjwa.
Kwakua maduka haya hayana dawa nyingi, uhifadhi unaweza kufanywa na daktari au nesi mwenye stoo maana pia wamefundishwa kipengele hicho.
HITIMISHO
Nishsuri tuwe na chombo cha ukaguzi wa maduka ya dawa ambacho kitahusisha wanataaluma wa Famasia,Udaktari na Uuguzi ili ifanye kazi ya kusimamia maduka ya madawa na isifanywe na Barazaa Famasia wala TMDA. Hatutaanza sisi, mataifa ya wenzetu wanafanya hivi na wamefanikiwa sana wala hawana migogoro kama hii ya kwetu.
Baraza la Famasia libakie kazi yake kudhibiti taaluma na siyo kukagua maduka ya dawa.TMDA wanamajukumu makubwa wabakie kukagua dawa zinazoingia nchini na vifaa tiba na kukakua ubora wa madawa viwandani huko zinakotengezwa, kwenye maduka ya dawa kiundwe chombo maalumu kijitegemee.
Prof Patrick Koboko(MD,MMED, PhD in Human anatomy)
Umeandika vizuri ila mwishoni hapo Umeharibuu not everbody want to be a Dr but Dr want to be everybody...[emoji3][emoji3]Hapa naona grandiosity kati ya wafamasia na madaktari..mfamasia anajiona yeye ndo anaweza kutoa dawa na kutibu kwakua ana basic knowledge ya physiology,bio chem etc na Dr anajiona anaweza kuwa mafamasia kwakua ana basic knowledge ya pharmacology kadhalika nurses na watu wa maabara …mfamasia anaamini anajua magonjwa yoote na anajua dawa zoote wkt ni utopolo tu..Dr anadhan anajua dawa zoote(from adv eff ,interactions etc kuliko mfamasia nao ni utopolo tu..kuna forum flan huko telegram kulikua na mtifuano mkali sana kati nurses na Dr maana nurses wanaona wanajua everything na Dr nao wanadai nurses sio issue wanaweza kufanya kaz kama ma Dr na ma nesi pia aisee ilikua issue..
My take..kujua anatomy,physiology haikufanyi ww kuwa Dr maana hata radiographer wanasoma hayo masomo na pia kusoma basic pharmacology hakukufanyi wewe kua pharmacist maana hata nurses wanasoma pharmacology..kila mmoja akae kwenye nafasi yake Dr ona mgonjwa fanya vpimo na toa dawa..watu wa madawa watoe dawa kama kuna contradiction wawasilinae kupata muafaka maana jopo la ma Dr wanaweza kukaa kwenye clinical meeting zao hasa za specific departments ambapo wakaamua mgonjwa X aanze dawa flan so kama mfamasia anaona kuna walakin aonane na wahusika kwa clarification na sio kusema Sitoi daqa kwakua dawa x na Z zina interact au dawa hii ni contraindicated kwa mgonjwa huyu u never know labda walikaa waka outweigh risk ya ugonjwa over side effects za dawa so kukaa pamoja mkaangalia namna ya kumsaidia mgonjwa ndo la msingi..kwa ufupi mfamsia si Dr hata kama anajua BAADHI ya diagnosis ya magonjwa kwa maana hawez kujua kila kiu kamwe hahaha au sio mzee wa famasi unaweza kufanya reduction ya colles # kwakua unajua anatomy..!na Dr si mfamasia kwakua hawez kujua kila kitu kuhusu madawa maana kila mtu kaingia deep kwenye masomo yake..EVERY MEDICAL PERSONNEL WANNA BE A DOCTOR [emoji1788]
Safi sana umesaidia kujibu hoja kisomi zaidItoshe kusema na ufahamu wa daktari kwenye dawa ni mdogo sana sababu ana basic knowledge ya Pharmacology tuu.
ADDO Ilianzishwa kukabiliana na uhaba wa wafamasia Nchini Tanzania na sio kwamba inatambulika Dunia nzima...Sasa wafamasia wamekuwa wengi ....hatuna uhitaji wa Addo tena ndio maana wizara imesitisha sasa...kila mtu afanye majukumu yanayo muhusu kwa usahihi zaidi...tutapunguza pia Vifo na madhara yatokanayo na matumizi yasiyo sahihi sana ya dawa
Hahahhaaa, I wish ningemuona na kale kajasho kake kimbambaKuna daktari alimuandikia mtoto captopril 0.13mg tds 1/12..lakini alikuwa hajui dose hii itapatikanaje ikiwa kidonge kina 25mg..jasho lilimtoka...akaja pharmacy kuuliza akajibiwa tuachie hiyo ni kazi yetu.
Wanataka kudandia majukumu, hili dogo tu hawaliweziWanaume wakaingia kufanya compounding..wakapiga kitu cha dilution (c1v1=c2v2) wakapata hiyo dose ya 0.13mg kwa kutengeneza syrup.
Sasa huyu jamaa anayesema daktari anaweza kufanya kazi ya Pharmacist sijui anadhani ni pale kusoma prescription na kutoa dawa au..kitu ambacho hata mfamasia hafanyi amewaachia technicians na assistants.
Kwa maelezo yako kipengele nam
Nashkuru kwa mchanganuo huu
Hii ndo maana ya usomi,umeandika bila mihemuko kama wachangiaji wengi walivyofanya
Okay kwa maelezo yako pointi namba tano ndo sehemu pekee ambayo daktari anaonekana kuingilia majukumu ya mfamasia kwenye sekta ya afya
Swali;kama jukumu hilo anaweza kufanya ADDO aliyepata mafunzo ya muda mfupi daktari atashindwa?
Ukijibu ndiyo au hapana ukiweza tolea maelezo itakuwa vyema
Umeandika vizuri ila mwishoni hapo Umeharibuu not everbody want to be a Dr but Dr want to be everybody...[emoji3][emoji3]
Wafamasia hawana shida, wanafanya majukumu yao bila kuingilia ya wengine. Tatizo ni hawa madaktari kujifanya wanajua kila kitu cha kada nyingine na kutaka kuingilia majukumu yasiyo yao.Hapa naona grandiosity kati ya wafamasia na madaktari..mfamasia anajiona yeye ndo anaweza kutoa dawa na kutibu kwakua ana basic knowledge ya physiology,bio chem etc na Dr anajiona anaweza kuwa mafamasia kwakua ana basic knowledge ya pharmacology kadhalika nurses na watu wa maabara …mfamasia anaamini anajua magonjwa yoote na anajua dawa zoote wkt ni utopolo tu..Dr anadhan anajua dawa zoote(from adv eff ,interactions etc kuliko mfamasia nao ni utopolo tu..kuna forum flan huko telegram kulikua na mtifuano mkali sana kati nurses na Dr maana nurses wanaona wanajua everything na Dr nao wanadai nurses sio issue wanaweza kufanya kaz kama ma Dr na ma nesi pia aisee ilikua issue..