Waziri Ummy, Usipotoshwe maamuzi yako kuhusu ADDO na wafamasia mtawaumiza Watanzania

Umejenga hoja vizuri sana. Unatengeneza vipi dawa bila kujua magonjwa kwa kina? Nafikiri huu mjadala utasaidia kuweka standards na kuondoa huu mkanganyiko.
Yani anataka utengeneze dawa za Migrainw alafu anakuja kuliaa huku Mfamasia hajui magonjwaaa sasa hizo dawa zinatengenezwa na mtu asiejua ugonjwa????
 
Kwenye hiyo App hata walevi nao watakuwa na Parkinsonisim[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hahaaaaaa. Nadhani app ni Kwa ajili ya kuonesha dalili, Kisha mtu aende hospital kwa vipimo zaidi. App inasoma namna sehemu ya nyonga inavyoenda juu na chini.
 
Kazi mojawapo ya Mfamasia ni Drug design and development, au kazi ndogo tu ya Compounding

Muulize MD kama ana ABC eneo hili ili ujue kama kweli anaweza kufanya kila jukumu la mfamasia
Kuna daktari alimuandikia mtoto captopril 0.13mg tds 1/12..lakini alikuwa hajui dose hii itapatikanaje ikiwa kidonge kina 25mg..jasho lilimtoka...akaja pharmacy kuuliza akajibiwa tuachie hiyo ni kazi yetu.

Wanaume wakaingia kufanya compounding..wakapiga kitu cha dilution (c1v1=c2v2) wakapata hiyo dose ya 0.13mg kwa kutengeneza syrup...kitu kidogo tu fasta,lakini hawawezi,how wataweza kufanya kazi zote za wataalamu wa dawa?

Sasa huyu jamaa anayesema daktari anaweza kufanya kazi ya Pharmacist sijui anadhani ni pale kusoma prescription na kutoa dawa au..kitu ambacho hata mfamasia hafanyi amewaachia technicians na assistants.
 
Maana yake tumesome medical store peke ake ?

Hii sio sahihi "Kumsaidia nesi na doctor kutunza dawa store na kuzisambaza"
 
Umetoa maoni mazuri sana daktari ila mimi nafikiri ADDO ndio suluhisho ila sasa hii ADDO isiwe certification bali iwe ni kozi maalum ambayo inasomewa chuo kwa ajili ya kufanya kazi katika haya maduka ya dawa muhimu ni iwe na cimbination ya Diagnosis pamoja na dispensing.Na ifundishwe kwa ithibati inayoeleweka kwa ngazi ya Certificate,Diploma na Degree.
 
WAZIRI UMMY MWALIMU, USIPOTOSHWE NA WAFAMASIA KUHUSU ADDO, MTAANGAMIZA AFYA ZA WATANZANIA.

Na Prof Patrick Koboko(MD,MMED,PhD)

Salaam Mhe Waziri!

Kwanza kabisa nikupe pole na hongera nyingi sana kwa majukumu iliyonayo ya ujenzi wa taifa hususani dhamana kubwa uliyopewa ya kushikilia afya za watanzania. Maana wewe ukitetereka na afya za watanzania zinatetereka.

Mhe Waziri Ummy Mwalimu umekua ni miongoni mwa wanasiasa wanamama wanaofanya kazi kubwa sana na nzuri sana katika kulijenga taifa hili na hii ndiyo maana ulirejeshwa katika katika wizara iliyopo hivi sasa.

Lakini nikushauri Mama yangu kuna watu wanekuzunguka usipokua makini watakuharibia kazi, wanatumia mwanya kwa sababu wewe siyo Mtaaluma katika fani ya Afya. Katika hili swala la ADDO umepotoshwa na msipoangalia mnaenda kuliangamiza taifa, titatolea sababu hapa chini.

ADDO NI MRADI WA NANI?
Mhe waziri, tunashukuru kwamba mmesitisha mpango wa kutoa mafunzo kwa watoa dawa za binadamu ambao hawana taaluma ya famasia almaarufu kama ADDO. Huu ulikua ni mradi ambao ulibuniwa na baadhi ya wachumia tumbo wachache ambao walitaka kujitengenezea namna flani ya kula pesa za watanzania wenye taaluma za afya hasa wauguzi na matabibu kwa madai kwamba hawana taaluma za famasia(Sijui kuna uhusiano gani hapa). Huu ulikua ni upigaji wa pesa za watanzania tena walitoza pesa nyingi sana kuanzia shilingi 250,000 na kuendelea. Kuondoa ADDO ni kuwandolea ulaji wachumia tumbo hawa ambao hawakua na maslahi kwa taifa.

Maana vyeti vilitolewa kwa rushwa nyingi sana na hata walipewa wasiokua na taaluma za afya ndiyo maana tuliona yanayotokea kwenye baadhi ya maduka, mtu ana cheti cha ADDO lakini taaluma ya Afya hana. Niwe muwazi mradi huu uliratibiwa na baraza la famasia Tanzania, hata leo ukaguzi ukifanyika yatagundulika Madudu mengi sana na ningeomba mamlaka za serikali kama vile PCCB na CAG walichunguze baraza la famasia Tanzania mtajionea mengi.

KATI YA MFAMASIA, NESI NA DAKTARI NANI ATOE DAWA KWA MGONJWA? WAZIRI UMEPOTOSHWA!

1.MFAMASIA KAZI YAKE NI IPI?
Kwa bahati mbaya sana Mhe waziri sijui lengo lako la kusitisha mafunzo ya ADDO ni kudhibiti mianya ya Rushwa au mnalenga kazi hii ifanywe na wafamasia pekee? Kama lengo ni wafamasia watoe dawa kwa wagonjwa basi umepotoshwa vibaya sana mnataka kuangamiza Afya za wananchi.

✓Kazi ya Mfamasia ni kutunza na kuhifadhi dawa,kusambaza maeneo yenye uhitaji pamoja na kutengeneza dawa viwandani na siyo kutoa dawa moja kwa moja kwa mgonjwa . Kwahiyo kazi yake siyo drugs Administration, hii ni kazi ya watu wengine. Mfamasia hajasomea Magonjwa wala wadudu wanaosababisha maradhi, hajasomea dalili za magonjwa. Hivi anapoenda mgonjwa kwenye duka la dawa na hana cheti cha daktari, Mfamasia anajua Diagnosis ya ugonjwa wake? Amesomea dalili? Ni maduka mangapi yanayotoa dawa kwa vyeti vya madaktari nchini? Hivi mnajua kua mnataka kuliangamiza taifa kwa maslahi ya wachache?

2.DAKTARI NA NESI KWENYE UTOAJI WA DAWA
Sihitaji kutoa utetezi katika taaluma hizi kwa sababu mimi ni mwanataaluma pia lakini huu ndio ukweli na Mhe waziri nitoe somo hapa ili ukatae wale waliokupotosha.

✓ Daktari yeye amesomea magonjwa na dalili zake hivyo, mgonjwa anapoumwa tayari anajua anaumwa kitu gani na anajua ampe dawa gani maana dalili za ugonjwa husika anazijua, sasa unaposema Mfamasia akae dukani auze dawa, akija mgonjwa bila cheti atanisaidia nini? Atatambuaje ugonjwa husika na kwa taaluma gani?

✓Nesi hana tofauti sana na daktari maana naye anasomea magonjwa na dalili zake pamoja kutoa dawa moja kwa moja kwa mgonjwa na yeye amejikita zaidi katika kumwangalia mgonjwa anapopata matibu. Kiutaratibu Nesi ndiye anayeenda na cheti cha daktari katika dirisha la dawa na atapewa dawa na Mfamasia kisha ataenda kumpa mgonjwa dawa maana anajua anatoa dawa ipi kwa mgonjwa na kwa ugonjwa upi. Ndiye anayepokea maagizo ya daktari kisha aende kwa mhifadhi dawa ambaye ni Mfamasia ampatie ili akampe mgonjwa.

Halafu kuna kikundi cha watu wachache wanaanzisha miradi wakaupa jina la ADDO ili manesi na madaktari wasomee kisha wakauze dawa.Mbona mahospitalini manesi na madaktari wanatoa dawa hawasomi ADDO? Utapeli mtupu!

USHAURI: NINI KIFANYIKE KATIKA UTOAJI WA DAWA NCHINI KWENE MADUKA YA DAWA?
1.KWENYE PHARMACY ZA JUMLA NA REJA REJA.
(i)Kwakua maduka haya ni makubwa na yana dawa nyingi, pawepo na Wafamasia ambao kazi zao ni kuhifadhi na kusambaza dawa kwenda kwa wauzaji au watoa dawa na siyo wao kuuza dawa kwa wagonjwa moja kwa moja maana wao hawana taaluma ya magonjwa.

(ii) Kuwepo na nesi au tabibu kwa ajili ya kutoa dawa kwa wagonjwa walioandikiwa kwenye vyeti au wawasikilize na kisha kubaini wanaumwa nini na kisha watoe dawa. Hizi ndizo kazi zao hasa kwenye maduka ya rejareja. Mfamasia hana utaalam wa kubaini ugonjwa, anaweza kuleta matatizo kwa mgonjwa.

(iii) Dawa zisitolewe bila cheti cha daktari katika duka lolote na ukaguzi wa kila mara ufanyike. Maana anaweza kutoa dawa mtu ambaye hana taaluma ya magonjwa ikiwa mgonjwa hana cheti na kuleta madhara makubwa.

2.MADUKA YA DAWA MUHIMU
Kwakua maduka haya mengi yapo sehemu ambazo ziko mbali na huduma za afya, wataalam wenye taaluma za kubaini mgonjwa anaumwa nini kupitia dalili waachwe wauze au watoe dawa. Hawa ndio waliosomea Magonjwa,dalili pamoja na kutibu. Hapa anaweza kukaa daktari au nesi akauza dawa. Kumwambia Mfamasia akae dukani auze dawa wakati hajasomea dalili wala kubaini magonjwa ni kutaka kuleta madhara makubwa kwa wagonjwa.

Kwakua maduka haya hayana dawa nyingi, uhifadhi unaweza kufanywa na daktari au nesi mwenye stoo maana pia wamefundishwa kipengele hicho.

HITIMISHO
Nishsuri tuwe na chombo cha ukaguzi wa maduka ya dawa ambacho kitahusisha wanataaluma wa Famasia,Udaktari na Uuguzi ili ifanye kazi ya kusimamia maduka ya madawa na isifanywe na Barazaa Famasia wala TMDA. Hatutaanza sisi, mataifa ya wenzetu wanafanya hivi na wamefanikiwa sana wala hawana migogoro kama hii ya kwetu.

Baraza la Famasia libakie kazi yake kudhibiti taaluma na siyo kukagua maduka ya dawa.TMDA wanamajukumu makubwa wabakie kukagua dawa zinazoingia nchini na vifaa tiba na kukakua ubora wa madawa viwandani huko zinakotengezwa, kwenye maduka ya dawa kiundwe chombo maalumu kijitegemee.

Prof Patrick Koboko(MD,MMED, PhD in Human anatomy)
sawa mkuu nimelisha ubongo kitu asbh hii.
 
Mungu ibariki Jf , huu uzi umefungua mambo mengi mno , kiasi ambacho kama serikali ikiusoma tunaweza kurudi na kubadilisha baadhi ya mambo kwenye sera , nimependa sana Wachangiaji kuliko hoja nyingi za mleta uzi .

Japo kuna kila mtu kuvutia kwake , lakini mwisho wa siku kunahitajika mabadiliko , maana kama Daktari anaruhusiwa ku Prescribe inawezekanaje akakatazwa kuuza dukani ( yaani anakatazwa kuweka dawa kwenye bahasha na kumpa mgonjwa nje ya hospitali ) ? ni lazima miongozo iwe twisted somehow .
Hata mim nimeshangaa sana...kwamba njee ya hospital daktari hajui dawa!!!!

Mim nitibiwena daktari na sio pharmacist
 
Hapa naona grandiosity kati ya wafamasia na madaktari..mfamasia anajiona yeye ndo anaweza kutoa dawa na kutibu kwakua ana basic knowledge ya physiology,bio chem etc na Dr anajiona anaweza kuwa mafamasia kwakua ana basic knowledge ya pharmacology kadhalika nurses na watu wa maabara …mfamasia anaamini anajua magonjwa yoote na anajua dawa zoote wkt ni utopolo tu..Dr anadhan anajua dawa zoote(from adv eff ,interactions etc kuliko mfamasia nao ni utopolo tu..kuna forum flan huko telegram kulikua na mtifuano mkali sana kati nurses na Dr maana nurses wanaona wanajua everything na Dr nao wanadai nurses sio issue wanaweza kufanya kaz kama ma Dr na ma nesi pia aisee ilikua issue..
My take..kujua anatomy,physiology haikufanyi ww kuwa Dr maana hata radiographer wanasoma hayo masomo na pia kusoma basic pharmacology hakukufanyi wewe kua pharmacist maana hata nurses wanasoma pharmacology..kila mmoja akae kwenye nafasi yake Dr ona mgonjwa fanya vpimo na toa dawa..watu wa madawa watoe dawa kama kuna contradiction wawasilinae kupata muafaka maana jopo la ma Dr wanaweza kukaa kwenye clinical meeting zao hasa za specific departments ambapo wakaamua mgonjwa X aanze dawa flan so kama mfamasia anaona kuna walakin aonane na wahusika kwa clarification na sio kusema Sitoi daqa kwakua dawa x na Z zina interact au dawa hii ni contraindicated kwa mgonjwa huyu u never know labda walikaa waka outweigh risk ya ugonjwa over side effects za dawa so kukaa pamoja mkaangalia namna ya kumsaidia mgonjwa ndo la msingi..kwa ufupi mfamsia si Dr hata kama anajua BAADHI ya diagnosis ya magonjwa kwa maana hawez kujua kila kiu kamwe hahaha au sio mzee wa famasi unaweza kufanya reduction ya colles # kwakua unajua anatomy..!na Dr si mfamasia kwakua hawez kujua kila kitu kuhusu madawa maana kila mtu kaingia deep kwenye masomo yake..EVERY MEDICAL PERSONNEL WANNA BE A DOCTOR [emoji1788]
 
Every medical personnel wants to be a doctor?...Stop this nonsense aisee.
 
Kwa binadamu tuna MD

Kwa mifugo tuna Veterinary Doctor wazee wa SUA bachelor of veterinary medicine

Pharmacist kwenye mifugo siwaoni in field zaidi ya kwenye viwanda vya dawa za mifugo

Bado siwezi kupewa prescription na pharmacist Bora anipe nurse kama MD hayupo
 
Ooooh!
Huyu ni dokta na Profesa, kweli?

Nchi yetu hii imepoptea kweli kweli.
Hajui Famasia kazi yake ni nini, na wala hajui kwamba kuna sheria kabisa inayotambua kazi ya Famasia duniani kote?

Andiko lote toka mwanzo halionyeshi kuwa huyu ni mtaalam kama inavyoonyesha katika utambulisho wake, MD, Ph.D. n.k.
Ni kama andiko la mtu ambaye kamaliza kidato cha nne? Leo hii anatafuta kujitambulisha kwa waziri naye awe mshauri wa waziri?

Dr Koboko, kama wewe kweli ni daktari, udaktari wako ni wa shaka sana, na huo uProfesa unaojitangaza nao sijui umeupata wapi kama hata hujui kazi za mtaalam ambaye unapaswa kushirikiana naye wakati wa kumhudumia mgonjwa. Kama umesomea Muhimbili, kuna chuo cha maFamaciia hapo hapo na wote mpo chuoni hapo, utashindwa hata kudadisi na kujua famaciia anasoma nini?

Unasema "administration of drugs" hiyo ni kazi ya daktari? Na huko kumpa mgonjwa dawa, ina maana wagonjwa wote wapo hospitalini wamelazwa wakisubiri kupewa dawa wakiwa mahtuti?

Hujui sehemu nyingine nyingi ambako dawa nyingi zaidi hutolewa bila uwepo wa nesi wala daktari?

Hata historia ya hizi taaluma huijui ilikotokea?
Busara ingekuelekeza kujibu hoja badala ya kumshambulia kibinafsi. Nakushauri shambulia hoja yake kwa kuonesha yalipo mapungufu ya hoja yake bila kutafuta namna ya kumshusha hadhi yake.
 
WAZIRI UMMY MWALIMU, USIPOTOSHWE NA WAFAMASIA KUHUSU ADDO, MTAANGAMIZA AFYA ZA WATANZANIA.

Na Prof Patrick Koboko(MD,MMED,PhD)

Salaam Mhe Waziri!

Kwanza kabisa nikupe pole na hongera nyingi sana kwa majukumu iliyonayo ya ujenzi wa taifa hususani dhamana kubwa uliyopewa ya kushikilia afya za watanzania. Maana wewe ukitetereka na afya za watanzania zinatetereka.

Mhe Waziri Ummy Mwalimu umekua ni miongoni mwa wanasiasa wanamama wanaofanya kazi kubwa sana na nzuri sana katika kulijenga taifa hili na hii ndiyo maana ulirejeshwa katika katika wizara iliyopo hivi sasa.

Lakini nikushauri Mama yangu kuna watu wanekuzunguka usipokua makini watakuharibia kazi, wanatumia mwanya kwa sababu wewe siyo Mtaaluma katika fani ya Afya. Katika hili swala la ADDO umepotoshwa na msipoangalia mnaenda kuliangamiza taifa, titatolea sababu hapa chini.

ADDO NI MRADI WA NANI?
Mhe waziri, tunashukuru kwamba mmesitisha mpango wa kutoa mafunzo kwa watoa dawa za binadamu ambao hawana taaluma ya famasia almaarufu kama ADDO. Huu ulikua ni mradi ambao ulibuniwa na baadhi ya wachumia tumbo wachache ambao walitaka kujitengenezea namna flani ya kula pesa za watanzania wenye taaluma za afya hasa wauguzi na matabibu kwa madai kwamba hawana taaluma za famasia(Sijui kuna uhusiano gani hapa). Huu ulikua ni upigaji wa pesa za watanzania tena walitoza pesa nyingi sana kuanzia shilingi 250,000 na kuendelea. Kuondoa ADDO ni kuwandolea ulaji wachumia tumbo hawa ambao hawakua na maslahi kwa taifa.

Maana vyeti vilitolewa kwa rushwa nyingi sana na hata walipewa wasiokua na taaluma za afya ndiyo maana tuliona yanayotokea kwenye baadhi ya maduka, mtu ana cheti cha ADDO lakini taaluma ya Afya hana. Niwe muwazi mradi huu uliratibiwa na baraza la famasia Tanzania, hata leo ukaguzi ukifanyika yatagundulika Madudu mengi sana na ningeomba mamlaka za serikali kama vile PCCB na CAG walichunguze baraza la famasia Tanzania mtajionea mengi.

KATI YA MFAMASIA, NESI NA DAKTARI NANI ATOE DAWA KWA MGONJWA? WAZIRI UMEPOTOSHWA!

1.MFAMASIA KAZI YAKE NI IPI?
Kwa bahati mbaya sana Mhe waziri sijui lengo lako la kusitisha mafunzo ya ADDO ni kudhibiti mianya ya Rushwa au mnalenga kazi hii ifanywe na wafamasia pekee? Kama lengo ni wafamasia watoe dawa kwa wagonjwa basi umepotoshwa vibaya sana mnataka kuangamiza Afya za wananchi.

✓Kazi ya Mfamasia ni kutunza na kuhifadhi dawa,kusambaza maeneo yenye uhitaji pamoja na kutengeneza dawa viwandani na siyo kutoa dawa moja kwa moja kwa mgonjwa . Kwahiyo kazi yake siyo drugs Administration, hii ni kazi ya watu wengine. Mfamasia hajasomea Magonjwa wala wadudu wanaosababisha maradhi, hajasomea dalili za magonjwa. Hivi anapoenda mgonjwa kwenye duka la dawa na hana cheti cha daktari, Mfamasia anajua Diagnosis ya ugonjwa wake? Amesomea dalili? Ni maduka mangapi yanayotoa dawa kwa vyeti vya madaktari nchini? Hivi mnajua kua mnataka kuliangamiza taifa kwa maslahi ya wachache?

2.DAKTARI NA NESI KWENYE UTOAJI WA DAWA
Sihitaji kutoa utetezi katika taaluma hizi kwa sababu mimi ni mwanataaluma pia lakini huu ndio ukweli na Mhe waziri nitoe somo hapa ili ukatae wale waliokupotosha.

✓ Daktari yeye amesomea magonjwa na dalili zake hivyo, mgonjwa anapoumwa tayari anajua anaumwa kitu gani na anajua ampe dawa gani maana dalili za ugonjwa husika anazijua, sasa unaposema Mfamasia akae dukani auze dawa, akija mgonjwa bila cheti atanisaidia nini? Atatambuaje ugonjwa husika na kwa taaluma gani?

✓Nesi hana tofauti sana na daktari maana naye anasomea magonjwa na dalili zake pamoja kutoa dawa moja kwa moja kwa mgonjwa na yeye amejikita zaidi katika kumwangalia mgonjwa anapopata matibu. Kiutaratibu Nesi ndiye anayeenda na cheti cha daktari katika dirisha la dawa na atapewa dawa na Mfamasia kisha ataenda kumpa mgonjwa dawa maana anajua anatoa dawa ipi kwa mgonjwa na kwa ugonjwa upi. Ndiye anayepokea maagizo ya daktari kisha aende kwa mhifadhi dawa ambaye ni Mfamasia ampatie ili akampe mgonjwa.

Halafu kuna kikundi cha watu wachache wanaanzisha miradi wakaupa jina la ADDO ili manesi na madaktari wasomee kisha wakauze dawa.Mbona mahospitalini manesi na madaktari wanatoa dawa hawasomi ADDO? Utapeli mtupu!

USHAURI: NINI KIFANYIKE KATIKA UTOAJI WA DAWA NCHINI KWENE MADUKA YA DAWA?
1.KWENYE PHARMACY ZA JUMLA NA REJA REJA.
(i)Kwakua maduka haya ni makubwa na yana dawa nyingi, pawepo na Wafamasia ambao kazi zao ni kuhifadhi na kusambaza dawa kwenda kwa wauzaji au watoa dawa na siyo wao kuuza dawa kwa wagonjwa moja kwa moja maana wao hawana taaluma ya magonjwa.

(ii) Kuwepo na nesi au tabibu kwa ajili ya kutoa dawa kwa wagonjwa walioandikiwa kwenye vyeti au wawasikilize na kisha kubaini wanaumwa nini na kisha watoe dawa. Hizi ndizo kazi zao hasa kwenye maduka ya rejareja. Mfamasia hana utaalam wa kubaini ugonjwa, anaweza kuleta matatizo kwa mgonjwa.

(iii) Dawa zisitolewe bila cheti cha daktari katika duka lolote na ukaguzi wa kila mara ufanyike. Maana anaweza kutoa dawa mtu ambaye hana taaluma ya magonjwa ikiwa mgonjwa hana cheti na kuleta madhara makubwa.

2.MADUKA YA DAWA MUHIMU
Kwakua maduka haya mengi yapo sehemu ambazo ziko mbali na huduma za afya, wataalam wenye taaluma za kubaini mgonjwa anaumwa nini kupitia dalili waachwe wauze au watoe dawa. Hawa ndio waliosomea Magonjwa,dalili pamoja na kutibu. Hapa anaweza kukaa daktari au nesi akauza dawa. Kumwambia Mfamasia akae dukani auze dawa wakati hajasomea dalili wala kubaini magonjwa ni kutaka kuleta madhara makubwa kwa wagonjwa.

Kwakua maduka haya hayana dawa nyingi, uhifadhi unaweza kufanywa na daktari au nesi mwenye stoo maana pia wamefundishwa kipengele hicho.

HITIMISHO
Nishsuri tuwe na chombo cha ukaguzi wa maduka ya dawa ambacho kitahusisha wanataaluma wa Famasia,Udaktari na Uuguzi ili ifanye kazi ya kusimamia maduka ya madawa na isifanywe na Barazaa Famasia wala TMDA. Hatutaanza sisi, mataifa ya wenzetu wanafanya hivi na wamefanikiwa sana wala hawana migogoro kama hii ya kwetu.

Baraza la Famasia libakie kazi yake kudhibiti taaluma na siyo kukagua maduka ya dawa.TMDA wanamajukumu makubwa wabakie kukagua dawa zinazoingia nchini na vifaa tiba na kukakua ubora wa madawa viwandani huko zinakotengezwa, kwenye maduka ya dawa kiundwe chombo maalumu kijitegemee.

Prof Patrick Koboko(MD,MMED, PhD in Human anatomy)
Mna uhakika ili andiko limetoka kwa Prof?
 
Hapa naona grandiosity kati ya wafamasia na madaktari..mfamasia anajiona yeye ndo anaweza kutoa dawa na kutibu kwakua ana basic knowledge ya physiology,bio chem etc na Dr anajiona anaweza kuwa mafamasia kwakua ana basic knowledge ya pharmacology kadhalika nurses na watu wa maabara …mfamasia anaamini anajua magonjwa yoote na anajua dawa zoote wkt ni utopolo tu..Dr anadhan anajua dawa zoote(from adv eff ,interactions etc kuliko mfamasia nao ni utopolo tu..kuna forum flan huko telegram kulikua na mtifuano mkali sana kati nurses na Dr maana nurses wanaona wanajua everything na Dr nao wanadai nurses sio issue wanaweza kufanya kaz kama ma Dr na ma nesi pia aisee ilikua issue..
My take..kujua anatomy,physiology haikufanyi ww kuwa Dr maana hata radiographer wanasoma hayo masomo na pia kusoma basic pharmacology hakukufanyi wewe kua pharmacist maana hata nurses wanasoma pharmacology..kila mmoja akae kwenye nafasi yake Dr ona mgonjwa fanya vpimo na toa dawa..watu wa madawa watoe dawa kama kuna contradiction wawasilinae kupata muafaka maana jopo la ma Dr wanaweza kukaa kwenye clinical meeting zao hasa za specific departments ambapo wakaamua mgonjwa X aanze dawa flan so kama mfamasia anaona kuna walakin aonane na wahusika kwa clarification na sio kusema Sitoi daqa kwakua dawa x na Z zina interact au dawa hii ni contraindicated kwa mgonjwa huyu u never know labda walikaa waka outweigh risk ya ugonjwa over side effects za dawa so kukaa pamoja mkaangalia namna ya kumsaidia mgonjwa ndo la msingi..kwa ufupi mfamsia si Dr hata kama anajua BAADHI ya diagnosis ya magonjwa kwa maana hawez kujua kila kiu kamwe hahaha au sio mzee wa famasi unaweza kufanya reduction ya colles # kwakua unajua anatomy..!na Dr si mfamasia kwakua hawez kujua kila kitu kuhusu madawa maana kila mtu kaingia deep kwenye masomo yake..EVERY MEDICAL PERSONNEL WANNA BE A DOCTOR [emoji1788]
Umeandika vizuri ila mwishoni hapo Umeharibuu not everbody want to be a Dr but Dr want to be everybody...[emoji3][emoji3]
 
Ndugu madaktari,

Tunaacknowledge changamoto mnayopitia hasa kwenye suala la ajira na maslahi ukizingatia ongezeko kubwa la wahitimu wenye shahada ya udaktari ukilinganisha na fursa za ajira zilizopo.

Kitu kinachoendelea sasa hivi ni harakati za makusudi za kada husika kujikwamua kutoka katika lindi la unemployment. Tunaelewa wenzenu wafamasia wanapata fursa adhimu ya kusimamia utolewaji wa huduma za kifamasia kwenye mafamasi hivyo huwasaidia hata kama hawana ajira rasmi.

Hivyo basi, vita yenu imejikita katika kuwapoka/kuwanyang'anya fursa wenzenu badala ya kufikiria namna ya kucreate ya kwenu kulingana na taaluma yenu. Nitatoa mifano michache;-
  1. Kwanini tusiangalie fursa zilizopo kwenye hizi outlest za kutolea huduma za afya kama zahanati na polyclinics tukawainfluence watunga sheria na tukaweka sheria itakayohakikisha sisi ndio tunasimamia hizi facilities?
  2. Kwanini tusijikite kwenye kuhakikisha hizi shule za kutolea elimu ya utabibu kwa lower cadres zinahitaji some kind of monitoring or supervision na hii iwe by us?
In view of the above, nadhani ndugu zangu madaktari, ifike wakati muhamishe target ya kusolve hili suala lenu kutoka kuwanyang'anya wafamasia fursa yao kwenda kwenye kutengeneza fursa yenu wenyewe.

Nawasilisha kwa mjadala.
 
Itoshe kusema na ufahamu wa daktari kwenye dawa ni mdogo sana sababu ana basic knowledge ya Pharmacology tuu.

ADDO Ilianzishwa kukabiliana na uhaba wa wafamasia Nchini Tanzania na sio kwamba inatambulika Dunia nzima...Sasa wafamasia wamekuwa wengi ....hatuna uhitaji wa Addo tena ndio maana wizara imesitisha sasa...kila mtu afanye majukumu yanayo muhusu kwa usahihi zaidi...tutapunguza pia Vifo na madhara yatokanayo na matumizi yasiyo sahihi sana ya dawa
Safi sana umesaidia kujibu hoja kisomi zaid
 
Kuna daktari alimuandikia mtoto captopril 0.13mg tds 1/12..lakini alikuwa hajui dose hii itapatikanaje ikiwa kidonge kina 25mg..jasho lilimtoka...akaja pharmacy kuuliza akajibiwa tuachie hiyo ni kazi yetu.
Hahahhaaa, I wish ningemuona na kale kajasho kake kimbamba
Wanaume wakaingia kufanya compounding..wakapiga kitu cha dilution (c1v1=c2v2) wakapata hiyo dose ya 0.13mg kwa kutengeneza syrup.
Wanataka kudandia majukumu, hili dogo tu hawaliwezi
Sasa huyu jamaa anayesema daktari anaweza kufanya kazi ya Pharmacist sijui anadhani ni pale kusoma prescription na kutoa dawa au..kitu ambacho hata mfamasia hafanyi amewaachia technicians na assistants.

Hicho ndicho wanachofikiria tena wanaleta hoja eti ADDO amepata mafunzo kidogo halafu anaruhusiwa kutoa dawa ila wao pamoja na kutibu wanakatazwa kutoa dawa.

Utoaji unaopigiwa chapuo hapa ni kudispense hasa kwenye Community Pharmacy.

Madaktari wanachoumia sana wala sio ishu ya ADDO, hiki ni kivuli tu cha wao kuongea. Kinachowaumiza ni mamlaka aliyonayo Mfamasia katika biashara ya Dawa(Business of Pharmacist) ambapo wao hawana, huu ni wivu tu.
 
Kwa maelezo yako kipengele nam

Nashkuru kwa mchanganuo huu
Hii ndo maana ya usomi,umeandika bila mihemuko kama wachangiaji wengi walivyofanya
Okay kwa maelezo yako pointi namba tano ndo sehemu pekee ambayo daktari anaonekana kuingilia majukumu ya mfamasia kwenye sekta ya afya

Swali;kama jukumu hilo anaweza kufanya ADDO aliyepata mafunzo ya muda mfupi daktari atashindwa?
Ukijibu ndiyo au hapana ukiweza tolea maelezo itakuwa vyema

Ipo hivi ndugu yangu...Miongozo hadi sasa kwenye upande wa Community Pharmacy na DLDM..........Community Pharmacy inahitaji Pharmaceutical Personels tuu. Lakini DLDM ndo serikali ilitoa fursa kwa other medical personels kukabiliana na upungugu mfano; Daktari,Tabibu,Muuguzi kama anataka kuhusika kwenye DLDM basi lazima asome short course ya ADDO.Na sio kwamba mtu yeyote asie na background ya afya anasoma ADDO.!!... kama mtu baki anataka kumiliki basi atapewa mafunzo ya Umiliki wa ADDO...na kuajiri mtaalam wa afya mwenye addo au mwenye kozi za Pharmacy level ya Diploma hadi Certificate.

Swali lako sasa..:::Kwani Daktari anashindwa??...kwanza inabidi ujue hakuna kazi ngumu Duniani ni suala la kuelekezwa ,kuzoea na kufanya...na ndio maana mtu yeyote akifundishwa kuchoma Sindano anachoma vizuri tuu..Mind you kuna Madaktari walitumbuliwa walikuwa wamegushi vyeti....lakini kwan kazi walikuwa hawafanyi??? Ukizoea(Experience) kazi yeyote unafanya
Suala linakuja kwenye UFANISI....(jicho la kitaalam)...unavyohudumu ni je kwa asilimia kubwa ni sahihi?? Hakuna changamoto zozote zinaweza kujitokeza??Jambo gani lifanyike na lisifanyike kipindi Mgonjwa anaanza kutumia dawa??..hapa ndio Utaona gap la kitaaluma lililopo...reasoning why iwe hivi na sio hivi......!! Tatizo pia ni kwamba Layman au mtu asie na ujuzi ataona rahisi tuu kuandika 2 ×3 kakariri....kumbe inaweza ikawa hata 3 × 2...!! Hii kureason ndo suala linabaki kwa wafamasia..kuna watu wa organ failure,huwez hudumia mtu perfect na mwenye tatizo katika Namna sawa sababu na ufanisi wa mwili sio sawa.....!! Why dawa hii usinywe maziwa dawa hii unywe..why dawa hii usipige pombe dawa hii baada ya muda fualn unywe....why dawa hii na hii Hapana..""Na huo ndio Ufanisi wa kazi sasa"" ndo unaleta Specialization...na kusema kila mtu afanye alichosoma kwa usahihi...Nurse hawez kuwa daktari,Mfamasia hawezi kuwa daktari, mtaalam wa maabara hawez kuwa daktari and Vice Versa....sababu hasa ""Reasoning yao tofauti""
 
Hapa naona grandiosity kati ya wafamasia na madaktari..mfamasia anajiona yeye ndo anaweza kutoa dawa na kutibu kwakua ana basic knowledge ya physiology,bio chem etc na Dr anajiona anaweza kuwa mafamasia kwakua ana basic knowledge ya pharmacology kadhalika nurses na watu wa maabara …mfamasia anaamini anajua magonjwa yoote na anajua dawa zoote wkt ni utopolo tu..Dr anadhan anajua dawa zoote(from adv eff ,interactions etc kuliko mfamasia nao ni utopolo tu..kuna forum flan huko telegram kulikua na mtifuano mkali sana kati nurses na Dr maana nurses wanaona wanajua everything na Dr nao wanadai nurses sio issue wanaweza kufanya kaz kama ma Dr na ma nesi pia aisee ilikua issue..
My take..kujua anatomy,physiology haikufanyi ww kuwa Dr maana hata radiographer wanasoma hayo masomo na pia kusoma basic pharmacology hakukufanyi wewe kua pharmacist maana hata nurses wanasoma pharmacology..kila mmoja akae kwenye nafasi yake Dr ona mgonjwa fanya vpimo na toa dawa..watu wa madawa watoe dawa kama kuna contradiction wawasilinae kupata muafaka maana jopo la ma Dr wanaweza kukaa kwenye clinical meeting zao hasa za specific departments ambapo wakaamua mgonjwa X aanze dawa flan so kama mfamasia anaona kuna walakin aonane na wahusika kwa clarification na sio kusema Sitoi daqa kwakua dawa x na Z zina interact au dawa hii ni contraindicated kwa mgonjwa huyu u never know labda walikaa waka outweigh risk ya ugonjwa over side effects za dawa so kukaa pamoja mkaangalia namna ya kumsaidia mgonjwa ndo la msingi..kwa ufupi mfamsia si Dr hata kama anajua BAADHI ya diagnosis ya magonjwa kwa maana hawez kujua kila kiu kamwe hahaha au sio mzee wa famasi unaweza kufanya reduction ya colles # kwakua unajua anatomy..!na Dr si mfamasia kwakua hawez kujua kila kitu kuhusu madawa maana kila mtu kaingia deep kwenye masomo yake..EVERY MEDICAL PERSONNEL WANNA BE A DOCTOR [emoji1788]
Wafamasia hawana shida, wanafanya majukumu yao bila kuingilia ya wengine. Tatizo ni hawa madaktari kujifanya wanajua kila kitu cha kada nyingine na kutaka kuingilia majukumu yasiyo yao.

Utakuta Daktari anamuandikia mgonjwa dawa kwa kiasi fulani cha dose lakini hajui namna hiyo dose inaweza kutengenezwa endapo dawa iliyopo ina dose kubwa.
 
Back
Top Bottom