Waziri Ummy, Usipotoshwe maamuzi yako kuhusu ADDO na wafamasia mtawaumiza Watanzania

Yani hata hizo prescription mnazoandika ni vitukoo sana mtu anakuja amaeandikiwa Ivermectin 500mg?

Yani unabaki unajiuliza hivi hawa madaktari google ndo inawafanya waamini wanajua kila kitu kuhusu madawa?

Mnadhani wafamasia hatusomi Microbiology? Unadhani hatusomi physiology? Yani hiyo anatomy nayo tumo ukiniambia Pundendo nerve sijui...triangular of the neck huko kote nimepitaa au Mnadhani hatuwezi kuchoma mtu sindano?

Kitu ambacho. hata teja anafanyaa ila sisi wafamasia tunaheshimu sana mipaka yetu ya Kazii japo vipo vingi tunavijuaaa leo Dr kusoma Pharmacology tena zile groups za dawa na kufanya mtihani wa Multiple choice unakuja kupiga kelelee Unazijua dawaa mara unataka usimamiee Pharmacy... acheni kujidai mnajua kila kitu mheshimu nafasi na wengine... Kundika prescriptin kusiwafanye mjione mnaweza kila kitu.
 
Hizi hapa ni eligibility criteria for all Masters of Pharmacy na Msc Pharmaceutical Management za Chuo cha Afya Muhimbili (MUHAS). Mbona sioni kigezo cha daktari (Doctor of Medicine/Surgery etc). Naomba ufafanuzi.
 
huu ndio ukweli. anashindwa kuelewa ni kwanini mfamasia anasoma miaka 3 degree, na daktari anasoma miaka 7 degree?

hii yoote ni kutaka kuwabana manesi ambao siku zote maisha yao ni magumu, wasiwe na nafasi ya kutoa dawa. manesi huwa wanafundishwa namna ya kutoa dawa na kusoma nini daktari amemaanisha, mfamasia icho kitu naamini anasomea pia. wafamasia tunao wangapi? hadi tuwasambaze vijijini?

au mnataka dawa mpate tu huku mijini, wa kijijini wakiugua watafute nauli waje mjini kununua dawa?
 
Degree ya udaktari miaka 7 tok lini??? Mfamasia yupi anasoma mika 3?? Kijana hujui unachoongeaa zima data ulaleee..
 

Hustahili kushiriki huu mjadala kama basic information kama hizi huzijui. Chuo gani hapa Tanzania mfamasia na daktari wanasoma miaka 3 na 7 mtawalia?
 

Profesa Koboko Yupo sahihi kabisa.
 
Bora wameifuta hiyo ADDO maana haingii akilini eti MD haruhusiw kuuza dawa mpaka awe na cheti cha ADDO wakat pharmacology yote ipo kichwan,tena mbaya Zaid unakuta Baadhi ya watu wanaopewa hiyo ADDO wengine ni form 4 failures.
Kuna MD mstaafu alifungua duka la dawa akawa anauza yeye,walipokuja hawa jamaa wa Baraza la pharmacy wakamfungia eti hana cheti cha ADDO,sasa nikajiuliza huyu si ndio alikuwa anaandikia watu dawa hospitalini?Leo huko kwenye ADDO kuna kupi kipya ambacho hajui?

Dokta akaamua kugeuza duka la dawa ikawa baa tu,kaachana hio biashara.
 

Hujamuelewa Pro. Koboko.
Yeye yupo Sahihi,

Tabibu ikiwa yeye ndiye anafanya Diagnosis Kwa magonjwa, kisha baada ya majibu kutoka maabara anamuandikia Dawa, iweje azuiewe kuuza Duka la dawa au kuwa na Famasi?

Tabibu amesoma kozi ya Pharmacology iweje mpaka apewe kozi nyingine ya ADDO Ndipo aruhusiwe kuuza kwenye Duka la Dawa au Famasi?

Unajua MD Kwa sehemu kubwa anaweza kufanya kazi ya Mfamasia lakini mfamasia hawezi kufanya kazi za MD?
 
Hivi ndo inatakiwa kuwa ingawa kuna watu wanaweza kubisha kwa ajili ya maslahi yao tu, clinician ndo anayejua ugonjwa either kwa kusoma majibu ya daktari au kusikiliza dalili anazoeleza mgonjwa au mtu anayehitaji dawa.

Kwa hiyo yuko more suited kufanya kazi ya ku dispense dawa kwenye duka la dawa linalouza dawa moja kwa moja kwa watu.........
 
Kuna jambo unechanganya; unaposema mfamasia hana taaluma ya kugundua ugonjwa na kutoa dawa ni kweli kabisa lkn pia lazima ujue kuwa mfamasia anatoa dawa kwa kuzingatia maelekezo ya cheti cha vipimo kutoka maabara/hospital.

Lazima kwanza mtu akapime maabara then aandikiwe dawa kutokana na ugonjwa alionao na hapo ndo linapokuja jambo la mfamasia kutoa dawa kulingana na maelekezo ya daktari/cheti.

Kwa kuzingatia mtililiko huo ni sahihi kabisa kazi ya kutoa dawa ibaki kwa mfamasia, hayo ya kugundua magonjwa yatafanyika huko maabara na aina gani ya dawa itumike itaandikwa na daktari hukohuko hospital then mfamasia atatoa dawa kulingana na kilichogunduliwa na kushauriwa na daktari.
 
Sasa mkuu, pharmacist anachotakiwa ni kuhifadhi dawa au kubainisha aina ya dawa na kuitoa kwa mgonjwa? maana haya mambo sasa yanaanza kuleta msigano.
 
Mimi ninachoona hapa ni kwamba ikiwa ni muhimu sana duka la dawa pawe na mfamasia, basi ni muhimu pia pawe na clinician ili mmoja atambue ugonjwa husika na dawa yake na mwingine akaichukue hiyo dawa ilikohifadhiwa........hii ni kutokana na watu wengi kwenda kwenye maduka ya dawa bila cheti cha daktari na kutaka tu kujieleza wanavyojisikia kwa yule aliyeko ndani ya duka la kuuzia dawa.
 
Kinachonishangaza,mfamasia elimu yake yote anasomea kuja kusoma kacheti kadogo ka dawa kalikoandikwa na daktari!

Kwa nini wanajitutumua sana kuwa wao ndio wanajua kila kitu?

Kuna mahali nilikuta wakibishana wao kwa wao mmoja inaonekana alikuwa na elimu ndogo.Yule mdogo akimwambia mwenzake aliyeonyesha ni msomi zaidi kwa majigambo yake,kuwa mhandisi hufanya kazi na waliochini kwa kuwaheshimu kwa vile yeye hawezi kubeba tofali au fundi aliyetengeneza cherehani,hawezi kujitutumua kuwa anashona na nguo vizuri.Awaache mafundi nguo wafanye kazi yao yeye aende kutengeneza cherehani
 
Wapuuzi kweli, sijui ni nani alitoa wazo la kuanzishwa hiyo course ya ADDO maana ni wizi tu uliokuwa unafanyika.
 
Sasa mkuu, pharmacist anachotakiwa ni kuhifadhi dawa au kubainisha aina ya dawa na kuitoa kwa mgonjwa? maana haya mambo sasa yanaanza kuleta msigano.
Leave the drug to the pharmacist...!! Sasa mtu anataka Dr akakae pharmacy kisa tu amesoma pharmacology semister 2...[emoji28][emoji28] sisi tunasoma mpaka Infusion rate...incase kuna toxicity what to do kucalculate dose sahihi incase lower dose inahitajika than available dose.. Leo mtoto ana haeart failure anaandikiwa digoxin 0.0625mg lakini kuna kidonge cha 0.5mg hapo Dr kacalculate tu ila sasa unapataje hiyo dawa digoxin 0.0625mg??? Hapo ndo tunarudi kwenye suala la why mfamasia ni muhimu... Mahospitalini siku hizi Polypharmacy imejaa mtu anamanage PUD na Malaria mgonjwa anaandikiwa dawa karibu 7 hukoo mfamasi ukiwa kilazaa utataoa tu dawa hapo tunasema mfamasia kazi yake sio kutoa Dawaaa tu mfamasia ana majukumu mengi yahusuyo dawa mabapo hakuna namna Dr anaweza yatekelezaa.

Management ya magonjwa mengi ni changamoto na wagonjwa hawaponi japo wanatumia pesa nyingi kununua madawa sababu Dr anajiona anajua kila kitu.

Mgonjwa anaweza kuja famasi na prescription ina list ya dawa karibu 7 au unakuta ni Mtoto ila Dr dawa alizomuandikia unabaki kushangaaa.. Haya yote hayawezi kukoma kama dr anadhani anajua dawa vizuri kuliko mfamasia
 
Katika list ile kuna dr zaid ya mmoja ambapo mwingine anakuwa msaidiz kisha hapo nurse lazma.

Ila mfamasia hapo hausiki ila tu kama patakuwa na uhaba basi ataingizwa Naye ila sio sehemu yake
 
Huyu ndio Daktari ambaye hatambuliwi na MCT
 
Tuwekee na majukumu yao kila mmoja, ainisha umuhimu wa kila mtu dhidi ya mwenzio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…