Waziri Ummy, Usipotoshwe maamuzi yako kuhusu ADDO na wafamasia mtawaumiza Watanzania

Katika list ile kuna dr zaid ya mmoja ambapo mwingine anakuwa msaidiz kisha hapo nurse lazma
Ila mfamasia hapo hausiki ila tu kama patakuwa na uhaba basi ataingizwa Naye ila sio sehemu yake
Mfamasia hana lazima ya kuwepo, kwa sababu kuna Anaesthesiologist, ambaye anahusika na dawa za usingizi katika upasuaji.

Kwa hiyo hakuna lazima ya Mfamacia kuwepo.
Zaidi ya hizo dawa chache zinazotumika hapo, tena kwa muda mfupi tu, hakuna lazima yoyote ya mfamacia pale.
 
Prof. Mtulia I
 
Naunga mkono hoja ya professor, nyongeza kwa Ummy , TANZANIA ijitahid kuwekeza katika viwanda vya dawa na kuruhusu wawekezaji kuwekeza katika sector hizo,

Hili litapunguza wafamasia kung'ang'ania kudispense dawa.

Hata wafamasia wao kwa wao hugombana baina ya Basic technician, certificate in pharmacy, Diploma, degree na zaid ya hpo, nao pia hawajui nani kat ya hao wote anatakiwa kudispense dawa..

Pitieni vzr na mratibu kaz ya kila mmoja na serikali iwezeshe vzr Ili kila mmoja apate DONEEE,
 
Tatizo ni moja.
Kazi ya Famacia wengi wanadhani ni kugawa vidonge tu basi, inaishia hapo. Na kwa bahati mbaya sana, baadhi ya wafamasia wenyewe wameifanya taaluma yao ionekane hivyo kwa kutotumia elimu yao pana sana katika kumhudumia mgonjwa.

Jamii haielewi kabisa umuhimu alionao famasia katika huduma za afya. Hilo ni tatizo ambalo hata wao wenyewe mafamasia wanatakiwa walijue na waondoe sifa hiyo mbaya.
 
Wewe huna lolote unalolijua na ni kazi bure kupoteza muda kwa mtu kama wewe.

Jaribu kujielimisha kidogo juu ya kazi hizi, kwa sababu inaonekana hata muundo wa huduma za afya huujui.
 
Huna unachojua Kuhusu pharmacist
Sema unachojua. Ukishindwa kutengeneza dawa unaishia kujipa kazi ya kugawa dawa. Unahitaji kujua kemia ili kugawa madawa? Ingieni viwandani, tengenezeni dawa. Kugawa dawa waachieni technicians.
 
Sema unachojua. Ukishindwa kutengeneza dawa unaishia kujipa kazi ya kugawa dawa. Unahitaji kujua kemia ili kugawa madawa? Ingieni viwandani, tengenezeni dawa. Kugawa dawa waachieni technicians.
Umeona walivo wagumu kuelewa had huku Jamvini, na ndivyo jinsi ambavyo hawajui kutengeeza dawa,
Nishaur tena serikali waende japo Kenya wapewe ABZ kuhusu viwanda tuwaokoe ndugu zetu Pharmacist
 
Eeeeh, kumbe unajua anasoma kemia ya dawa, wewe unadhani huo ni urembo? Kwa kuwa hujui maana yake (yaani ni mjinga juu yake), basi ndiyo iwe sababu ya dunia kufuata ujinga wako?
This man is heavypointless
 
Sema unachojua. Ukishindwa kutengeneza dawa unaishia kujipa kazi ya kugawa dawa. Unahitaji kujua kemia ili kugawa madawa? Ingieni viwandani, tengenezeni dawa. Kugawa dawa waachieni technicians.
Sheria pote duniani zinasema, teknisian ni lazima afanye kazi chini ya uangalizi wa famasia.

Kama daktari anataka kufanya kazi ya kugawa dawa, kama teknisian, basi akubali kufanya kazi hiyo chini ya uangalizi wa mfamasia. It is as simple as that.
 
Eeeeh, kumbe unajua anasoma kemia ya dawa, wewe unadhani huo ni urembo? Kwa kuwa hujui maana yake (yaani ni mjinga juu yake), basi ndiyo iwe sababu ya dunia kufuata ujinga wako?
Naijua famasia, naijua kemia, naijua kemia ya madawa! Inapokuja kwenye kazi hapo huhitaji kutufundisha. Yaonekana wafamasia wengi munashindwa kuitumia elimu ya kuzalisha madawa, badala yake ni kushinda kwenye vyumba na kujiita ni pharmacist! Viduka munaviita ni pharmacy badala ya dispensing room. TENGENEZENI MADAWA, FINITO!
 
Sheria pote duniani zinasema, teknisian ni lazima afanye kazi chini ya uangalizi wa famasia.

Kama daktari anataka kufanya kazi ya kugawa dawa, kama teknisian, basi akubali kufanya kazi hiyo chini ya uangalizi wa mfamasia. It is as simple as that.
Duniani wapi?? Nchi gani ina ADDO?
 
Hujui kitu. Ungejua famasia usingeonyesha ujinga wote huu unaouonyesha hapa.
Kemia ya madawa uliijulia wapi kama hujawahi kukaa darasani wanakofunzwa famasia, kwa sababu haifundishwi kwingine kokote.

Kazi ya Famasia siyo kutengeneza madawa pekee. Inaonekana hata hili hulijui.

Hivyo vyumba vya madawa ni Pharmacy, mradi pawe na dawa na vikidhi mahitaji ya kuwekea dawa, bila kujali ukubwa wake au sifa nyingine yoyote.
Mahali popote panapokuwa na dawa, sheria inasema ni lazima pawe chini ya uangalizi wa Famasia, na hiyo siyo sheria ya Tanzania pekee, ni duniani kote.
 
Duniani wapi?? Nchi gani ina ADDO?
Hizo habari za ADDO unazijua wewe, mimi ninakueleza kitaaluma hapa.
Kutojua kwako yalivyo mambo duniani kusifanye uone kuwa hayo unayopigia chapuo ndiyo usahihi wa mambo.
 
Mungu ibariki Jf , huu uzi umefungua mambo mengi mno , kiasi ambacho kama serikali ikiusoma tunaweza kurudi na kubadilisha baadhi ya mambo kwenye sera , nimependa sana Wachangiaji kuliko hoja nyingi za mleta uzi .

Japo kuna kila mtu kuvutia kwake , lakini mwisho wa siku kunahitajika mabadiliko , maana kama Daktari anaruhusiwa ku Prescribe inawezekanaje akakatazwa kuuza dukani ( yaani anakatazwa kuweka dawa kwenye bahasha na kumpa mgonjwa nje ya hospitali ) ? ni lazima miongozo iwe twisted somehow .
 
Huu uzi umeanza kuwa wa kipuuzi tu uliposema kuwa Wafamasia hawasomi magonjwa na hawajui "wadudu" kama ulivyosema mwenyewe.

B.pharm student anakaa darasani anasoma

✓microbiology and parasitology.

✓Applied microbiology and pasitology.

✓Pathology

✓Clinical pharmacy

✓Therapeutics.

Then wewe unasema hawajui magojwa,parasites na microorganism wanaosababisha magonjwa..you must be kidding.

Wafamasia shule wanayo kubwa sana..na huwa hawakai dirishani kufanya dispensing..hiyo ni kazi ya pharmaceutical technician au pharmaceutical assistant.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bhasi Mkimaliza Degree ya md mpewee na Degree ya Famasi.. Alafu wawaongezewe na Degree ya Nursing kwani kitu gani nurse anafanya wewe MD huwezi??? Kusafishaa Vidongaa..kulisha wagonjwaa...kuwanywesha dawa mbona rahisi sanaa Daktari hawezi shindwa hayoo... Ila hamtaki mnatakaa Mkae kwenye madawaa huko ndo mnakutamani balaaa madakatari bhana wew ulitaka Helaa sasa Udakatari ulisomea wa nini??? Lengo ni Dawaa zile mnazitamani balaaa muandike Alafu zingine mkanywe nyiee...mnahisi tunafaidi sanaa...[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Mfamasia akilipwa Milion ya Cheti wewe ukishinda kwenye Kipolyclinic asubuhi mpaka jioni ukaambulia laki 5 mwisho wa mwezi unaachaje kuwa na roho ya kwanini..roho ya kilonzi?? Yani lazima Muumiee roho tu ila poleni mtazoea vijanaa
 
Hao lengo lao wawe karibi na dawaaa mkuu wapigee helaa ndo akili zaooo.. waanzishe famasi kama maduka ya ya machingaa sababu wamesoma MD bhasi wauzee dawa kama njuguuu..!! Ni watu flani wenye Akilii za ovyooo sana ambao wanawaza helaa zaidi kuliko kitu chochote walidhani ukiwa MD bhasi ndo ushakuwa tajiri kumbe hawakujua hawakujuaaa..[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Unajua kwamba pharmacist anasoma CLINICAL PHARMACY......

Nakuomba nenda kaangalie contents ya hii kozi pharmacist almost anasoma for 4 semister
Sasa ni mfamasia gani hajui dawa gani zinatumika after surgery or before surgery kwa ajili ya prophylaxis?..

Kuwa serious mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…