Rashidi Jololo
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 1,704
- 2,858
Kumbukizi ya Siku ya Kuzaliwa Kwa Waziri wa Maji Jumaa Aweso amekuwa na wakati mwema wa kukata keki pamoja na Rais Mstaafu Dkt Jakaya Kikwete nyumbani kwake hapa New York Marekani.
NB. Watanzania chapeni kazi muondokane na kelele za maisha magumu, hakuna njia ya mkato ya kukuleteeni chakula mezani. Serikali haina shamba
View attachment 2565319
View attachment 2565320
View attachment 2565321
Hata Samia kama hana atanunua nyumba London au New-York.JK ana nyumba state? Mwanasiasa si mwenzio
Hata Samia kama hana atanunua nyumba London au New-York.
Kwa hizi safari zilizo pamba moto ni suala la muda tu, ama tayari ipoHata Samia kama hana atanunua nyumba London au New-York.
Kwa mtu kama yeye sidhani kama ni jambo la kushangazaJK ana nyumba state? Mwanasiasa si mwenzio
Hawajafunga?Kumbukizi ya Siku ya Kuzaliwa Kwa Waziri wa Maji Jumaa Aweso amekuwa na wakati mwema wa kukata keki pamoja na Rais Mstaafu Dkt Jakaya Kikwete nyumbani kwake hapa New York Marekani.
NB. Watanzania chapeni kazi muondokane na kelele za maisha magumu, hakuna njia ya mkato ya kukuleteeni chakula mezani. Serikali haina shamba
View attachment 2565319
View attachment 2565320
View attachment 2565321
Huoni tende hapo?Hawajafunga?
Ila wanasiasa wengine wakiwa na makazi nje ya nchi ndio kosa, sivyo?Kwa nafasi aliyekuwa nayo JK sio mbaya kuwa na nyumba US.
Mbona kila mbunge ana nyumba Dar es salaam?