Waziri Uweso akisherehekea birthday yake nyumbani kwa JK hapa New York, Marekani

Waziri Uweso akisherehekea birthday yake nyumbani kwa JK hapa New York, Marekani

Nyumba ni kitu gani, mwenzako amekuwa Waziri kwa miaka mingi, amekuwa Rais kwa miaka 10, jamani mambo mengine ni madogo sana kuuliza au kushangaa.

basi siku ile kapewa nyumba ya serikali na Magufuli angesema jamani nimekuwa waziri na rais wenu miaka kedekede, nishakusanya mijumba ya kutosha dunia nzima, hizo hela za kunijengea lijumba lingine kanunueni mashine za dialysis pelekeni hospitali za wilaya kwa waliofeli figo na hawapelekwi John Hopkins Hospital kama mimi...

Jana kafa mwamba mmoja wa IT, Mzee Gordon Moore, aliyegundua semiconductors za INTEL zinazo run computers...

Kafa ana utajiri wa dola bilioni 7, bilioni 8 nyingine zilikuwa kwenye mfuko wake wa misaada, nyingine bilioni 5 alishagawa.
Mswahili angekufa nazo 20 mfukoni.
 
Back
Top Bottom