Machame Juu
JF-Expert Member
- Jul 25, 2013
- 1,514
- 3,363
Watanzania bana. Wengi tu wanaobeba boksi wana nyumba US. Hata Ay ana nyumba US.JK ana nyumba state? Mwanasiasa si mwenzio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania bana. Wengi tu wanaobeba boksi wana nyumba US. Hata Ay ana nyumba US.JK ana nyumba state? Mwanasiasa si mwenzio
Acheni hizo nyieMarais mafisadi ndo walivyo.
Ulisikia Nyerere ana nyumba nje ya nchi?Acheni hizo nyie
Marekani hata mtanzania mwenye mln 300,400 Ana nunua nyumba hukoHata Samia kama hana atanunua nyumba London au New-York.
Kumbukizi ya Siku ya Kuzaliwa Kwa Waziri wa Maji Jumaa Aweso amekuwa na wakati mwema wa kukata keki pamoja na Rais Mstaafu Dkt Jakaya Kikwete nyumbani kwake hapa New York Marekani.
NB. Watanzania chapeni kazi muondokane na kelele za maisha magumu, hakuna njia ya mkato ya kukuleteeni chakula mezani. Serikali haina shamba
View attachment 2565319
View attachment 2565320
View attachment 2565321
Kwa Mambo ya hovyo aliyoyafanya na kusababisha hadi leo sisi ni maskini kwa kutuachia CCM maksudi bora tu angemiliki tu makasri hata huko Uswiz.Ulisikia Nyerere ana nyumba nje ya nchi?
Ay mwenyewe alinunua nyumba hukoSiyo Kawe Beach hapo?
Tena waambie huko us $200,000 tu unapata nyumbaUnashangaa Rais kuwa na ntumba states???
Rais sio mtu mdogo ujue
Mwanaume wa dsm anasherehekea birthday yakeSiamini macho yangu!!, ni kweli analishwa keki au !!!??😏😏😏😏
We unafikiri hyo nyumba huko ameanza kuwa nayo leoKuwa na nyumba US wakati una miaka 80 ina faida gani? Au kwa faoda ya Rizwani? Sii angejenga hata hoteli hapa tz watu wakapata kazi ?
hahahah! [emoji2957][emoji2957]Una mashaka kama mimiHapo NYC kweli?
Mwanaume wa dsm anasherehekea birthday yake
Kwanini unasema hivyoFather jk tunakueshimu sana
.......
No one like you father hope ungekua rais tena.....
Watu wana hasira kweri kweri [emoji1]Nimesoma comments zote hadi page ya 4 nimegundua wengi hapa wana chuki na hasira kali sana zinazosababishwa na umaskini wao na familia zao. Mh Jakaya kwa sasa ana vyeo vikubwa sana kidunia kwa mfano mojawapo ya cheo chake kwa sasa ni mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ya Global Partner for education na hata juzi niliona katoa tamko kulaani vitendo vya Taleban kuzuia watoto wa kike kupata elimu. JK ana vyeo vingine huko UN hali inayomlazimu kuwepo nchini Marekani mara nyingi sana. Kwa hadhi yake ni lazima UN wangempatia tu nyumba endapo JK angeona sio poa kukaa five star hotel kila mara. Hata mimi ningechagua kuwa na nyumba ndani ya New York kuliko Five Star Hotel.
Hata tuki-assume kwamba nyumba ni yake kajenga au kanunua pia JK asingeshindwa kufanya hivyo. Mtu alikuwa waziri wa fedha enzi za mwinyi na akaja kuwa waziri wa mambo ya nchi za nje kwa miaka 10 atashindwaje kununua nyumba? Isitoshe akamalizia kwa kuwa Rais wa nchi kwa miaka 10. Na kikatiba ana mshahara 80% ya mshahara wa rais aliye madarakani kwa maisha yake yote baada ya kustaafu. Pia tukiachana naye binafsi hivi yeye, Ridhiwani na Mama Salma wakiamua wachange hela baba awe na nyumba New York watashindwa?
Punguzeni hasira ili muweze kutumia akili zenu kwa usahihi. Hapa duniani hatuwezi kuwa sawa. Marehemu peke yao ndo wako sawa. Tulio hai ni kupeana vichapo tu hakuna namna.
Tatizo nini!?AY aliwahi kuwa Rais wa nchi wewe ?,Tatizo si pesa.
Sahihi, hata mzalendo Nyerere angeweza kufanya hivyo kama angekua haiNimesoma comments zote hadi page ya 4 nimegundua wengi hapa wana chuki na hasira kali sana zinazosababishwa na umaskini wao na familia zao. Mh Jakaya kwa sasa ana vyeo vikubwa sana kidunia kwa mfano mojawapo ya cheo chake kwa sasa ni mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ya Global Partner for education na hata juzi niliona katoa tamko kulaani vitendo vya Taleban kuzuia watoto wa kike kupata elimu. JK ana vyeo vingine huko UN hali inayomlazimu kuwepo nchini Marekani mara nyingi sana. Kwa hadhi yake ni lazima UN wangempatia tu nyumba endapo JK angeona sio poa kukaa five star hotel kila mara. Hata mimi ningechagua kuwa na nyumba ndani ya New York kuliko Five Star Hotel.